Wafipa bado wanakula panya, symbilis na maduduwasha?

Tunko, ntundu na kateka ukimla na chikanda ukachanganya na uuchi inakuwa tamu sana. Utamu wake usiupimie wakumwitu!

Tehe tehe eeh!!! Mkuu Chikanda ni cha kipekee, inabidi kiliwe pekee bila ya kuchanganya na hao akina tunko na kateka.
 
Tofauti ya tunko, ntundu na kateka ni nini??

Tunko ni panya ambae haoni isipokuwa anatumia pua,kutambua hatari.huyu kumkamata kwake ni kwa njia ya upepo,kwamba unaacha shimo lake wazi,then kwa kuwa hapendi upepo anakuja mara moja kufukia pale palipoachwa wazi.anapoanza kufukia wewe unapiga jembe kwa mbele na hvyo anashindwa kurudi ndani na kukamatwa.wengn badae
 
Bado baadhi ya sehemu wanakula lakini zaidi Simbilis a.k.a ndezi, viwavi jeshi siku hizi sidhani kama vinaliwa sana kama zamani, panya(tunko) wanaliwa bado ila pia baadhi ya sehemu.......!!
Unatushangaa wafipa kula viwavi jeshi, huko kusini niliwahi ona wanakula konokono.
Karibu sana m-pesa Matai nikuandalie ugali kwa koyo na uuchi(asali)

+ usisahau kumuandalia na chikanda, akila atajua kwanini wafipa wanatawala Tanzania.
 
Kuna SIKAPUKU>>>(hawa wanaweza kuwa hata 30 ndani ya shimo moja),CHAUNDWA>>>(Hawa hula mpaka kinyesi ya binadamu,pia ni mahodari wa kuhifadhi chakula katika shimo moja,ukiigundua hazina yao unaweza kujaza hata ndoo ya lita 20 yenye mixer ya ulezi,viazi,mtama,mihogo,mahindi n.k.,wanadamu tulivyo katili pindi inapoingia njaa basi hazina yote ya msosi wa hawa panya huvamiwa.TONDO>>Haka kapanya ni kadogo sana kimaumbile lakini wafipa na wanyamwanga wanakapenda sana,eti kana mafuta kama kitimoto.Tatizo huwa kanakaa kwenye kina kirefu sana.TUNKO/FUKO>>Kama alivyoelezewa,hana uwezo wa kuona ila ni muharibifu mkubwa wa viazi.VIWAVI/MAUNGU>>Actually hawa ni stage ya larva wa vipepeo kwani msimu wao ukiisha ndipo vipepeo huibuka kwa idadi kubwa sana.
 
Tunko ni panya ambae haoni isipokuwa anatumia pua,kutambua hatari.huyu kumkamata kwake ni kwa njia ya upepo,kwamba unaacha shimo lake wazi,then kwa kuwa hapendi upepo anakuja mara moja kufukia pale palipoachwa wazi.anapoanza kufukia wewe unapiga jembe kwa mbele na hvyo anashindwa kurudi ndani na kukamatwa.wengn badae

Dah!! Mkuu inaonekana wewe ni muwindaji mzuri sana wa tunko, sikujua kama tunko haoni!
 
Kuna SIKAPUKU>>>(hawa wanaweza kuwa hata 30 ndani ya shimo moja),CHAUNDWA>>>(Hawa hula mpaka kinyesi ya binadamu,pia ni mahodari wa kuhifadhi chakula katika shimo moja,ukiigundua hazina yao unaweza kujaza hata ndoo ya lita 20 yenye mixer ya ulezi,viazi,mtama,mihogo,mahindi n.k.,wanadamu tulivyo katili pindi inapoingia njaa basi hazina yote ya msosi wa hawa panya huvamiwa.TONDO>>Haka kapanya ni kadogo sana kimaumbile lakini wafipa na wanyamwanga wanakapenda sana,eti kana mafuta kama kitimoto.Tatizo huwa kanakaa kwenye kina kirefu sana.TUNKO/FUKO>>Kama alivyoelezewa,hana uwezo wa kuona ila ni muharibifu mkubwa wa viazi.VIWAVI/MAUNGU>>Actually hawa ni stage ya larva wa vipepeo kwani msimu wao ukiisha ndipo vipepeo huibuka kwa idadi kubwa sana.

Unatisha..
 
Mimi nilidhani ni wamakonde tu ndio wanaokula panya, kumbe hata wafipa wamo...:lol:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom