Wafipa bado wanakula panya, symbilis na maduduwasha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafipa bado wanakula panya, symbilis na maduduwasha?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M-pesa, Nov 20, 2011.

 1. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  panya a.k.a koyo....panya buku, symbils a.k.a ndezi panya na maduduwasha a.k.a viwavi ni chakula cha enzi kwa jamii ya wafipa. Niliwahi tembelea kijiji kimoja kilichopo mpakani mwa zambia na TZ kinaitwa matai na kushuhudia kwa macho yangu vyakula tajwa vikiliwa
   
 2. k

  kapiki JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Watu wengine!! Nilidhani utasema wanakula sumu.
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Sasa umeshuhudia mbona kuna alama ya kuuliza?

  Huna uhakika na ulichokishuhudia au?
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ... tena wanakula na nyanya pori na nyanya mpwipwi hahahahaha ni wataalam sana wa kubaka nswa (kumbikumbi)
   
 5. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wanakula nutritious food tu! Kumbikumbi nasikia ni full maprotini.
   
 6. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Viwavi jeshi, guinea pigs na panya vinaongeza nini mwilini? Vitamin Q au Z??
   
 7. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hao simbilisi ni watamu sana , duh sijawala siku nyingi.
   
 8. m

  muhanga JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  duh huyu jamaa kanikumbusha mbaaaali sana!!! hao simbilisi ni watamu sanaaa nilikuwa nawala huko Iringa kwa mabibi lloh I miss those old days, bibi yetu alikuwa anatupeleka kwao Iringa kutembelea ndugu zake... ilikuwa ni utalii wa kutosha
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  wajapan na wachina wakila panya...tunaelewa...
  wakila watanzania...'tunashangaa'......utumwa haujatuisha kabisaa...
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Bado baadhi ya sehemu wanakula lakini zaidi Simbilis a.k.a ndezi, viwavi jeshi siku hizi sidhani kama vinaliwa sana kama zamani, panya(tunko) wanaliwa bado ila pia baadhi ya sehemu.......!!
  Unatushangaa wafipa kula viwavi jeshi, huko kusini niliwahi ona wanakula konokono.
  Karibu sana m-pesa Matai nikuandalie ugali kwa koyo na uuchi(asali)
   
 11. Kwisimla

  Kwisimla Senior Member

  #11
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hivyo ulivyovitaja ni vyanzo vya protein. Something may be a resource to one communty, and may not be to another community. Hivyo usishangae ndugu. Kwanza jamii za panya zaliwa sehemu nyingi Tz, mfano Mtwara na wanamwita samaki nchanga. Tanga wanamwita ntoke vipi.
   
 12. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  pamoja mkuu, binafsi nimewahi kula konokono (spanish food) ni watamu usipimie. Mwanzoni nili resist sana, kuna mzungu mmoja alinishawishi sana ni test ....then ndipo nikagundua uhondo wanaofaidi.
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  ah? Wewe umekariri kuwa piza na burger ndo vyenye virutubisho eh? Katika vyanzo vya protini, wadudu nao wanahusika, nadhani viwavi ni wamojawapo.
   
 14. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu lakini kula viwavi jeshi mmmmh
   
 15. N

  Ndole JF-Expert Member

  #15
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndo hapoooo the Boss, mi sioni tatizo hapo. Hicho ni chakula safi kabisa.....hacheni hizo..
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Na kula konokono je??
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Nov 20, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hakuna ubaya wowote kula hao wadudu.
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa, tunaona panya wa wazungu ni tofauti na hawa wetu!
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Tukubaliane kuwa tamaduni zetu zinatofautiana hata vyakula tunavyokula pia vinatofautiana.
   
 20. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #20
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Umelonga Boss,

  Hakuna cha kushangaa hapo
   
Loading...