Wafariji wa wanawake waliotendwa tunafanya kazi ya Mungu

tiGo Live it | Love it.

Wakuu mzichunge hizo tiGo kuliko kitu chochote,,, Wahuni wameharibika sana siku hizi,,, fumanizi kidogo tu Futa limefika..

Achaneni na wake za watu... Nawashauri tu...
 
Kuna singo maza namfariji full kunipa zake zote mpaka inafikia point naona habakizi kitu.
Ni muajiriwa mpya kaja kuanza kazi Happ ofisini na alikotoka kashapigwa chini yupo tu na mtoto.

Mimi nishao, nilikua nataka nimle ila kwa maumivu alopitia nikahairisha maana sitaki kumuongezea maumivu mengine.

Bas tu saivi namfariji huku mate yananitoka sijui itakuwaje maana shetwani na yeye Ana nguvu.
Upo Dodoma mkuu unipigie hiyo pasi mkaa
 
Mwanamke mmoja baada ya kumfariji sana kwa muda mrefu cku aliniuliza unaweza kula ugali miaka 10 bila kubadilisha chakula kingine? Mwanzo wala ckumwelewa ila masaaa yalivyozidi kwenda na mm ufahamu ndio ukafunguka sasa ,wala ckumfanya chochote japo naendelea kumfarij
 
Hiz mambo sio nzuri unaweza jikuta unavunja na mahusiano yako kisa kufariji mtu mwingne
 
Back
Top Bottom