Adrian Stepp
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,581
ndio style zao ntoke vipi?..je tutafika......!!!
na nyimbo zao zinaishia hapa hapa bongo hazitoki nje ya bongo kutokana na hayo
Mkuu Jiwe Linaloishi upo aise umepotea sana
huenda alikuwa narekodi taarabu manake ile si lazima ubane pua na kinyeo...!!!
Mkuu nipo malimwengu yanatufanya tuwe bussy.... si unajua tena mwisho wa mwaka achivment hata nusu hatujafika
Hahahaha eti taarabu mna mipasho kwani ndo inaimbwa kwa kubana pua
Sawa sawa mkuu Jiwe Linaloishi pambana bana mwaka unakatika huu
Studio iko Bonyoko kwa Mchambawima, unategemea harufu gani hapo?