Wafanyayo wasanii wa bongo flava wakiwa studio!

Adrian Stepp

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
2,764
2,581
wabana pua.png

Kwahiyo usishangazwe na matokeo ya nyimbo zao!
 
Studio iko Bonyoko kwa Mchambawima, unategemea harufu gani hapo?
 
Ndio maana baada siku chache wanaanza kuvaa herini ni mikufu, ili sauti zizidi kuwa nyororo !!
what a tragedy is this !!
 
ila nahisi kuna ukweli kidogo hapo ila siwezi kugeneralize kuwa ni wote dah nimecheka sana wabongo ni hatari kwa ubunifu
 
huenda alikuwa narekodi taarabu manake ile si lazima ubane pua na kinyeo...!!!

Mkuu nipo malimwengu yanatufanya tuwe bussy.... si unajua tena mwisho wa mwaka achivment hata nusu hatujafika

Hahahaha eti taarabu mna mipasho kwani ndo inaimbwa kwa kubana pua
Sawa sawa mkuu Jiwe Linaloishi pambana bana mwaka unakatika huu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha eti taarabu mna mipasho kwani ndo inaimbwa kwa kubana pua
Sawa sawa mkuu Jiwe Linaloishi pambana bana mwaka unakatika huu

taarabu si ndio wanabana pua mkuu.... na ndio chimbuko la mashoga..... namaichukia kweli

Poa mkuu tuombe Mungu tuumalize mwaka salama manake siku zilizobaki israel ndio anazipenda kweli
 
tatizo la vijana siku hizi waona bila kuimba hakuna maisha.
 
Chidi katoboa pua,almasi a.k.a daimondi anapaka wanja...duuh!!kazi wanayo hawa jamaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom