Wafanyakazi wasipoandishwa madaraja(promotion) mna sababu gani ya kuendelea kuichagua CCM?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Nawauliza watumishi wa umma ambao wana miaka 6,7,8,9 kazini bila kupandishwa vyeo wana sababu gani ya kuendelea kuichagua CCM?Kumbuka sheria inatamka mtumishi kupanda cheo kila baada ya miaka 3.

Acheni ujinga ni wakati wa kuwatia adabu hawa watu.
 
Mimi sijawahi kuichagua na sitokuja kujaribu hadi naingia kaburini
 
Back
Top Bottom