Wafanyakazi wa Tanesco na kufuru ya Matusi.

Dafugwadu

JF-Expert Member
Dec 24, 2012
4,487
4,756
Habari wanajamvi:
Hapa nawazungumzia hawa wafanyakazi wa tanesco upande wa kubeba/kushusha/kuchimba na kuweka nguzo kisha kuunganisha nyaya. Hivi hawa jamaa ni kipi kinawasibu hasa! Maana ni mara nyingi nimepata bahati mbaya kupita sehemu wanakofanyia hizo kazi tajwa hapo aisee wanatukana si mchezo hakuna tusi wanaloacha wakati wakifanya hizo kazi hapo na hawaheshimu mtu yeyote kibaya zaidi apite mwanamke mwenye wowowo atajuta nauliza hivi, wanapotafuta hiyo kazi kule Matusi ni moja kati ya vigezo vinavyohitajika ktk kudahiliwa?
 
Back
Top Bottom