Wafanyakazi wa supermarket huko Moshi waandamana kupinga rushwa ya ngono wanayoombwa na boss wao

CDM mkiingia madarakani watu wavivu wachapwe yaani itungwe sheria kudhibiti uvivu, mashamba yako mengi tuu watu kutwa vijiweni
 
ngoja nipite hapo kuna jamaa yangu kanifundisha kichaga kila mhudumu nitamsalimia kichaga akiitika nitajua kama kabila la kichaga limeshaingiliwa.
 
Mie nawaonea wale vijana wa pale huruma kweli...yaani kwa sasa wamekwisha kuwa viboga tayari sasa sijui nyuumbani huwa anamwambiaje mke wake au mpenzi wake..
 
moshi imeingiliwa na wakenya sana kila mahali hasa mahotelini lazima utakuta wakenya.

moshi wamethubutu kama kuna watu wengine wanaofanyiwa mambo kama hayo wasikae kimya
 
Wizara ya kazi ni MFU vitendo wanavyofanyiwa wafanyakazi wa secta binafsi ni vya kutisha. [/QUOTE Naam! Kuwepo kwa wizara hii hakujaonyesha kishindo na hasa kubwa zaidi ni kwenye matukio ya unyanyasaji wa wafanyakazi kijinsia/kiasili (rangi ya ngozi)
 
Mie nawaonea wale vijana wa pale huruma kweli...yaani kwa sasa wamekwisha kuwa viboga tayari sasa sijui nyuumbani huwa anamwambiaje mke wake au mpenzi wake..

teh teh...,lkn mkuu inasemwa huwa wanaombwa kabaaang!! Labda hakuna me aliyewah kutoa
 
mbona malalamiko hayana ushahidi,ilitakiwa waweke mtego live kisha watoe malalamiko hayo!ila kiukweli wakenya wamechukua nafasi nyingi za kazi tanzania kwa sasa,mahoteli,maduka,mabenki,kampuni za insurance,utalii,mashule zimeajiri wakenya kwa wingi kuliko watanzania.Watu wa uhamiaji mpo huyo kakiri kuajiri wakenya katika duka jee sheria zinaruhusu kada ya shopkeeper kuwa foreigner?Duu hapo kwenye wanaume kuombwa kabaang ili apate ajira ndiyo leo naisikia ni kali ingekuwa na tego ingependeza zaidi au hata record ya huyo meneja akiomba hiyo tiGO

wewe ungekubali kutegeshwa unaliwa kiboga ili ushahidi upatikane?
 
bila shaka wafanyakazi wa kiume wa hiyo nakumatt katu hawawezi kujitambulisha publicly ati wanafanya kazi hapo, coz wataonekana sio rizk tenaa..mambo ya mombasa yamehamia mo town duh
 
Hiyo ingekuwa Dar bas kila kampuni wangeandamana


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
WAFANYAKAZI wa Supermarket ya Nakumatt, iliyopo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, wameulalamikia uongozi wa duka hilo kwa madai ya kuwanyanyasa na kuwaomba rushwa ya ngono.

Wafanyakazi hao ambao tayari walishafikisha malalamiko yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama walidai wamekuwa wakifanyiwa vitendo vya unyanyasaji ikiwemo kuombwa rushwa ya ngono na Meneja Mkuu na na msaidizi wake.

Walisema imekuwa kawaida kwa kila msichana anayefika kuomba nafasi kazi, lazima aombwe rushwa ya ngono huku wanaume wakitakiwa kinyume na maumbile: “Kila msichana anaefika hapa kuomba nafasi ya kazi, anaombwa rushwa ya ngono ndipo apatiwe kazi huku wanaume wakiingiliwa kinyume na maumbile,” walisema.

Aidha walisema sababu iliyowafanya wafikie maamuzi ya kuandamana hadi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa


kutaka msaada ni kukithiri kwa vitendo hivyo.

Akizungumzia tuhuma hizo, Meneja wa Nakumatt Moshi, Alfrick Milimo alikanusha tuhuma hizo na kudai kwamba zote hizo ni njama za kupakana matope za watu wasiolitakia mema duka hilo.

Alisema kumekuwa na watu wanaozunguka kuwashawishi wafanyakazi huku akikumbushia matatizo yalitokea kipindi cha nyuma kati ya uongozi na wafanyakazi wake na kuwa tayari wameshabaini njama hizo.

Alisema katika duka lake kuna wafanyikazi wa Kenya na Tanzania lakini mara nyingi tatizo linatokea pale wanapowalazimisha Watanzania kufanya kazi maana wengi hawapendi kufanya kazi bila kushurutishwa:

“Niko hapa kwa ajili ya kuwafundisha, kuwaonya na kuwaelekeza lakini inaonekana kuwa unapofanya hivyo unaonekana kuwa wewe ni mbaya na wanafika kazini na mavazi yasizoendana na maadili ya kazi pia wanasinzia kazini,” alisema.

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, amekiri kupokea malalamiko hayo kutoka kwa wafanyakazi hao na kuahidi kuyashughulikia.


Alisema tayari ameshaagiza Idara ya kazi kulifuatilia suala hilo kwa karibu na kutoa taarifa mapema ikiwa ni pamoja na idadi kamili ya Watanzania na Wakenya wanaofanya kazi katika duka hilo.

SOURCE: nimeyaokota huko mpekuz


Ngoja niweke wazi swala hili cz nimeona watu wanajaribu kupotosha ukweli wa Jambo hili...!!!
Ishu kubwa Kwa wafanyakazi wa Nakumatt Moshi ni uwiano wa Kazi ambao mfanyakazi huingia kazini kuanzia saa Mbili kamili mpaka saa 2 na nusu ua wakati mwingine mpaka saa 3 ya Usiku ...
Nakwawakati wote huwa wafanyakazi hushurutishwa na waKenya Kwa dharau ya hali ya juu...!!
Mtu yoyote pale Nakumatt anaweza kutolewa kwenye sehemu yake usika na kupelekwa jikoni, kufanya Usafi vyooni na n.k..
Kwenye swala la mishahara ndio kichefuchefu sasa...!!!
Mkenya wa kiwango Cha chini anapokea Millioni 1.6 per mnth wakati mBongo analipwa chini ya laki mbili tena namakato makato yasiyoeleweka na manyanyaso chungu nzima...!!!
Stil waKenya husimama simama bila kujishuhulisha na Kazi yoyote...!!!
Nasikitika sana ninaposikia Maneger akisema wafanyakazi hawawezi Kazi na husinzia kwenye sehemu Zao za Kazi ...
Huwa ni uwonga na uwonevu Kwa watanzania cz sidhani kama kunamtu anaeweza kulala akiwa amesimama cz asilimia 90 ya wafanyakazi huwa wamesimama kwenye sehemu Zao za Kazi Kwa masaa yote wawapo kazini alaf pili akumbukwe wafanyakazi Hao Hao wanaoitwa wavivu ndio walioifikisha Nakumatt pale ilipo sasa tena Kwa bidii na uvumilivu wa hali ya juu Kwa kuwaahidi mazuri apo baadae....!!!
Kwaswa la kutakwa kingono Kwa wanaume ilo halina ukweli nanilakizushi kama uzushi mwingine ...!!
Kwa wanawake hayo huwa nimakubaliano Yao Nasiwezi kulidhibitisha ila wenye ukweli wa Jambo Hilo ni wao...!!!
Kiukweli wa Dhati kabisa serakali inafaa iwaangalie wafanyakazi wa Nakumatt Moshi ili waweze kupata haki Zao za kimsingi cz wakenya wao wamekuja kuchota pesa na kupeleka nchini kwao ...!!!

Sorce: kutoka Kwa rafiki wa karibu
 
Ndio maana yake.

Na mimi kuna mkenya nataka kumuajiri kwenye shamba langu lazima nimle kiboga, haiwezekani wawabandue wachaga ambao ni shemeji zangu halafu mimi nimchekee huyu mkikuyu

Sasa kama shemeji zako walibelali tuwafanyeje,wenyewe wanataka viroba kisha waende ktk m4c,mbona katibu kashazoea na sasa yupo Ujerumani anatafuta michango ktk masupermaket ya huko
 
Thubutu; mchagga wa wapi atakubali kuliwa kiboga? Nenda kaulize utakuta men zinazijiachia ni wakutoka nje ya Knjaro

Acha maneno ww mbona wengi tuu wanashughulikiwa kama vipi ww ibuka tu uje ujionee makamanda wanavyofanyiwa
 
malalmiko yanaweza kuwa ya kweli au la. Ila kuna kaukweli kuwa wa Bongo ni wavivu kazini!!! Hata Unilever hapa Dar walianza na waBongo lakini kila mara ruksa nimefiwa na mke wa mpwa, naumwa huku dalili hazionyeshi mtu kuumwa etc. Wakaleta waKenya wachapa kazi kila jioni ikifika maboxi ya sabuni hayooo yanajaa godown.

CDM mkiingia madarakani muanze na hili la uvivu na utor kazini. Mtu ni lazima ale jasho lake..ebo!

Sasa wakiingia si wataliwa kiboga hata na wachina,wabaki huko huko kwa mkikuyu ah ah haaaaa
 
ngoja nipite hapo kuna jamaa yangu kanifundisha kichaga kila mhudumu nitamsalimia kichaga akiitika nitajua kama kabila la kichaga limeshaingiliwa.

mkuu karibu wote wanaongea rafidhi ya dj na babu yaniii 2015 foleni za kupiga kura zisiwepo kabisaaa kabaaang mekuu
 
Mie nawaonea wale vijana wa pale huruma kweli...yaani kwa sasa wamekwisha kuwa viboga tayari sasa sijui nyuumbani huwa anamwambiaje mke wake au mpenzi wake..

Huwa hawaishi na familia zao,wenyewe si huwa wanajidai watafutajii yani vibogaa tuu
 
Back
Top Bottom