Wafanyakazi wa supermarket huko Moshi waandamana kupinga rushwa ya ngono wanayoombwa na boss wao

Kuleta other staffs toka Kenya,ukimtoa Meneja Na msaidizi wake it means Hakuna watanzania wenye sifa ya kufanya kazi hizo,uhamiaji Na wizara ya kazi Na ajira mnahona hayo matusi? Hii ni kuzalilisha elimu yetu kwamba hatuwezi hata kuuza duka,natanguliza pole zangu kwa wale wote waliotoa penzi Na viboga ili wapate kazi,daaah hatariiii sanaaa,Watanzania tuamke,it's our country,daah mpaka Vijana mnatoa viboga mpate kazi,Hatariiii sanaaa
 
Tatizo la sisi WaTZ ni kweli ni wavivu na watu wapenda Majungu ya kutaka kujua fulani kala nini jana leo fulani amevaa nini! Wakenya watatupiga bao tu tupende tusipende!

My take: Naunga mkono hii hoja! Kwani kazi ni baba yako!

Alisema katika duka lake
NDALLO uko sahihi kabisa!!!! wabongo,uvivu, majungu, uongo, wezi nk.!!!!
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja. Katika SUPPERMARKET NAKUMATT MOSHI ILIOKO MKOANI KILIMANJARO kuna wakenya na watanzania.Tatizo kubwa pale ni kwamba wale viongozi watatu toka Kenya ambao ni Manager [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Alfrick]#Alfrick _Milimo[/URL] , assistant manager #Francis_Kamau na chief supervisor #Masika wanatongoza sana wafanyakazi wa kike. Mfano assistant na chief suppervisor wanawaambia kuwa watawapa vyeo. Kwa hiyo wanakubali kwa sababu wanachoka kusimama kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 2:30 usiku bila kukaa.Wakikaa ni mda wa chair na chakula tena ukizidisha mda lazima uulizwe.u Hawa wawili wametembea na wasichana wengi sana na hata wengine wameacha kazi kwa sababu hiyo maana wakiombwa mapenzi na kukataa wanajengewa mazingira magumu ya kazi. Manager naye tabia yake ni hiyo na anaendesha Duka kwa kutumia mawazo ya mpenzi wake ambaye ni staff wa hapohapo. Huyo mpenzi wake ana madharau makubwa sana na akifanya kosa hafanywi lolote. Kwa hiyo watu wanafanya kazi katika mazingira magumu sana. Mapenzi yanaharibu kazi. Halafu kazi yenyewe ni ngumu sana kusimama masaa yote hayo then mizigo yote inyoletwa kwa malori staff hao hao ndo wanashusha na kupeleka stop. Mshahara wenyewe haulingani na kazi inayofanyika hapo. Wakenya wao wanalipwa milioni na ushee. Hao wakenya wengine hawana hata umuhimu wa kuwa hapo Nakumatt kama vile Katiso ni kuzurura tu na kuchezea simu. Kwa hali hiyo staff wengi wameacha kazi ambapo kwa taarifa nilizozipata ni kwamba zaidi ya #staff_45 tayari wameacha. Hao ni pamoja na #Andrew_Shee driver mzuri sana, #Ally_shaame accountant, [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Allen]#Allen _Mbena[/URL] I.T mzuri sana, #Getrude_Marandu Customer service represantative mzuri sana, #Jaffari_Odhiambo floor suppervisor mchapakazi, [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Ruth]#Ruth _Msambi[/URL] till suppervisor mchapakazi, [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Thobias]#Thobias _Mahammed[/URL] receiving suppervisor mchapakazi. Wengine ni #Betha_Maua ,#Asha_Ramadhani , [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Samwel]#Samwel _Sela[/URL] Electrician qualified, #Lucrecia_Kessy , #Glory_Emmanuel , [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Mary]#Mary _Samky[/URL] , #Joseph_Assey , #James_Masanja ,[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Selemani]#Selemani _Hamisi[/URL] security, [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Grace]#Grace _Moshi[/URL] , #Ally_Sumaye , #Lucy_Makundi , #Nyamalwa_Nchilu security, #Jigu_Yassini , #Flora_Prospa nk. Ni wengi sana na watano hapo juu waliondoka January mwaka huu wa 2014 ambao ni #Selemani , #Odhiambo , #Thobias , #Saweli na #Grace kwa sababu ya kuhoji mkataba na kuachishwa kazi bila kujali bidii yao kazini. Mfano huyo #Samwel electrician alikuwa anaitwa hata saa 6 au 8 usiku ikitokea tatizo. #Odhiambo naye alikuwa makini sana kwa kuchapa kazi na alianzia store ya suppermarket. Staff wote walikuwa wanamfahamu sana na walimuogopa maana hakutaka mchezo kazini. Mwingine ni #Thobias ambaye pia alianzia store ya general naye hakutaka mchezo. #Allen alikuwa mzuri sana. Wengine ni #Gatrude , #Ruth ,#Mary na wachache ambao sikuwataja.Swali kwa nini manager #MILIMO asikae na staff kusikiliza mawazo yao? Unaambiwa afisa mwajiri toka Kenya kwa jina #KIMOTHO kabila mkikuyu aliwahi kuwaambia staff kuwa ambaye hataki kufanya kazi aache lakini pesa haiongezwi. Kinachoshangaza pia ni kwamba staff hawaruhusiwi kuongea na #DIRECTOR ambaye ndiye mwenye Duka na amewahi kuja mara nyingi tu. Je, kuna siri gani hapo? Lazima kuna kitu maana kuna tetesi kuwa hela za watanzania zinaliwa na baadhi ya wakenya wakiongozwa na mananger wa Nakumatt Moshi mh.#Alfrick Milimo. Jambo lingine wanasema kuwa mwezi Desemba mwaka jana 2013 staff wote waliambiwa hakuna off na hizo off badala yake watalipwa. Kilichotokea ni kunyimwa hela na kupewa off 2 kila wiki judicial jambo ambalo limewakera wengi sana.

Mkuu tunaomba Picha walahu tuwatambue sura zao nadhani ingekuwa vyema zaidi
 
Walioacha kazi ndo hawa hapa ;#pascal;ally;yassini;ruth;allen:betha;mary;glory;lucy;yusufu;renald;hilda;allice;getrude;masanja;joseph;nyamalwa;lucrecia;flora;rehema;sia;michael;asha;mwanaidi;hendrika;john;ally;joseph;mashoko;odhiambo;selemani;thobias;grace;andrew;ngilisho;kijanna_wa_novath na wengine zaidi ya #10 ambao majina yao hayakupatikana kwa haraka maana walikuwa bado wageni. Pale nakumatt hawataki watu wanaojua haki zao ukikaa kimya hata ukitendewa mabaya hapo utafanya kazi.
 
Doh
Kweli hawa jamaa nimamluki
Kwani hii Compuny inamiaka isiyozidi miwili tu sasa tukirudi kwenye ukweli usiokuwa Na hata chembe chembe za unafiki tujiulize mwasali yafuatayo..!!

Je..
""je nikweli hawa vijana walioacha Kazi wameshindwa kufanya Kazi ...!!
Je ..
''Je nikwasababu ya mishahara au kunamengine katikati apo yamejificha.
Kwasababu sitaki kuamini yakwamba hao WAFANYAKAZI woooote wanaweza kuacha Kazi Kwa mda Mfupi namna iyo..
Kama nikweli hiyo ni idadi ya WAFANYAKAZI walioacha Kazi basi lazima Hiyo Compuny ya NAKUMAT itakuwa Na matatizo Na serekali inapaswa kuangalia ilo swala Kwa upana zaidi..!!
My take:
 
wakati jambo hili liko serikalini.watanzania wakazi wa moshi mnaombwa kutonunua bidhaa yoyote ktk hiyo sex shop.acha wakenya ndio waende huko.
 
Hao vijana hawajashindwa kufanya kazi maana kwa taarifa nilizozipata ni kwamba; 1:Mshahara wanaolipwa haulingani na kazi wanayoifanya hapo NAKUMATT 2: Wamezidisha mapenzi kazini maana mkenya mmoja anatembea na staff wa kike zaidi ya wawili na wanahakikisha kila anayekuja mgeni wanaye.Hasa #KAMAU NA #MASIKA ndo wamezidi. 3:Ukiwa pale na kuleta ujuaji wa kuhoji hoji mambo ili ujue tayari unatiliwa Shaka na unaitwa ofisini kuonywa. 4: Wakenya wanakaa kwenye vikao usiku watanzania wakiondoka kwenda nyumbani. 5: Watanzania ndo hufanya kazi ngumu sana ambapo wakenya wengine ni ilimradi tu pale mfano #KATISO-MRUGA_MUINDI wakiwa back office unakutaga wamelala ambapo watanzania wanaofanya back office ndo wanaumia na ambao ni #DEO KYARA(procurement), RONALD EMILLY (marketing) NA JACOB PETER( I.T ). Hao vijana watatu wanafanya kazi sana. Mkenya mwingine ambaye ni MASIKA naye akiwa receiving ni kulala tu. 6: Damage yoyote iliyosababishwa na customer bila kuona unalipishwa wewe mhusika wa section hiyo ambapo unakuta ulikuwa umepangiwa kazi nyingine ya kufanya. 7: Watanznia wanasachiwa na K.K.K SECURITY wanapotoka kwenda nyumbani ambapo wanawake wanasachiwa hadi kwenye chupi kitendo ambavyo ni kibaya sana. Hao K.K.K waliambiwa kufanya hivyo na mkenya airways JARED MWANGI. 8: Wakenya wanakula vizuri zaidi kuliko watanzania. 9: Mtanzania alikuwa akinunua chakula nje anaambiwa ni kosa wakati wakenya wakifanya hivyo hawaruhusiwi. 10: Watanzania hawaruhusiwi kuonana na DIRECTOR ambapo hao wakenya wanahofia kuwa watatoboa siri. 11: Watanzania wakiomba kuitishwe kikao cha staff wote watoe kero zao manager anakwepa keeps tu kwa kutoa sababu ambazo haziridhishi.12: MILIMO kumleta mdogo wake kutoka Kenya na kumficha store ya general(godown) pia ni jambo ambalo limewakera sana wa tz. Wakenya ambao angalau ni wazuri kidogo ni KENNEDY na SIRO ila wengine wazuri walienda akina MAGEMBE, MBURU,KANDIE, KABUTHIA, & SAMMY. Kiujumla kuna hali ngumu sana pale na hayo maneno ni kweli kabisa ambapo serikali ingeweka mpelelezi pale kila kitu kingekuwa wazi. Hizo taarifa ni za ukweli na uhakika na ambaye haamini aende NAKUMATT awapeleleze wafanyakazi watamueleza yote hayo. Nimeyatoa huko #NAKUMATT_MOSHI_BRANCH .
 
Haya ni majanga.
 
mkuu texas, unajua hii super market kipindi wanaanza kuingiza kuingiza vitu mule ndani kuna mtu wangu wa karibu sana( sitaki kumtaja ni nani) alikwenda pale kuomba kazi. tena aliniomba kuwatumia barua ya kuomba kazi mtandaoni kwa makao makuu yao pale nairobi maana kipindi hicho palikuwa na walinzi tu na watu wachache sidhani kama time ile huyu meneja unaemsema alikuwapo.
akaambiwa kuwa hawajaanza kupokea wafanyakazi so kama wakianza watatangaza kwa ma-radio so asikonde. ila naoma kama mwenyezi mungu alikuwa anamuepushia maana alikuja kugundua baadaye kuwa watu washaitwa na baadhi yao washaanza kazi. kazi nyingi za pale watu waliajiriwa kwa kujuana(hii nina ushahidi) so baada ya kuona mambo yamekwenda kwa dizain hiyo basi akaona basi tu akaushe. tukasikia wafanyakazi wa pale unaingia asubuhi na kutoka saa nne usiku, imagine uko na mtoi home siku saba za wiki wala haina cha kupumzika jumapili wala nini mwenyewe akajisemea ni bora hata aliikosa hiyo nafasi sabu hata kama angeajiriwa hizi ratiba zao angezishindwa. sasa nnapoona dada zetu wanalazimishwa rushwa ya ngono ndo wapate kazi hii kitu inatia hasira, ndo hapo najiuliza hizi mamlaka ziko wapi.
 
Mmefanyiwa kila kitu na mkaoneshana wote(na mm na mm) ndpo mkachukua maamuz tuandamane!Ulipokutana hal hyo mwanzo kabsa ulichukua hatua zp? Tatizo la ajira tz!
 
hivi vikampuni uchwara vya wakenya ni majanga matupu,kuna kingine kinaitwa ADVATECH kinahusika na kusupply EFD ni janga kwa wabongo mambo ni hayo hayo kama ya huko moshi,cha ajabu kipo jengo moja na wizara ya kazi
 
Mkuu sidhani Kama kunauvivu apo.
Apo kunajambo,
Watu zaidi ya arobaini wameacha Kazi Alaf uniambie watu wavivu..!?
Fikiria Nje ya Box Mkuu..!!

Mh TOFU, wale vijana wa Nakumatt Moshi wanabidii sana ya kufanya kazi japokuwa wananyanyaswa. Kwa sasa Manager Milimo ameamishiwa Dar na Kamau kuchukua hiyo nafasi. SWALI NINALOULIZA NI KWAMBA WALIISHA ONGEZWA MSHAHARA?
 
Last edited by a moderator:
Hii topic kama inajirudia ni kitambo sana niliwahi kuisoma tena humu humu nna kumbukumbu sasa sijui ni husda au ni uhasd maana sisi wabongo ndo maendeleo yetu haya ya kupakaziana na kwendeana kwa waganga na kwa wachawi na hizi chuki naona hazitaisha hadi kiama kifike maana zina zidi kila kukicha
 
Back
Top Bottom