Wafanyakazi wa serikali na mashirika ya umma watibiwe hospitali za serikali tu

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,994
Kuna jipu lingine liko kwa wafanyakazi wa serikali na mashirika ya umma kutibiwa hospitali binafsi.Pesa nyingi na ufisadi mwingi hufanyika huko.

Wafanyakazi wote wa serikali na mashirika ya umma wote watibiwe hospitali za serikali tu wakitaka kutibiwa hospitali binafsi watumie gharama zao
 
Back
Top Bottom