Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,785
- 12,227
Ili kuinua uchumi na kukuza viwanda vya nguo vya Kenya serikali imeamuru wafanyakazi wote wa serikali na umma kuvaa nguo zilizotengenezwa Kenya kutokana na pamba iliyolimwa nchini humo kila ijumaa na siku za sikukuu. Kwa kufanya hivyo inategemewa kilimo cha pamba kukuzwa na pia kuvipatia soko viwanda vya nguo.
Je Tanzania tuige mfano huo ili kukuza zao la pamba na viwanda vya nguo?
Je Tanzania tuige mfano huo ili kukuza zao la pamba na viwanda vya nguo?