zahiri ulaya
Member
- Nov 29, 2015
- 58
- 30
Wanajamii habarini. Mie kama Mtanzania mwenzenu nina maumivu sana na hawa waajiri wa Private sector. Naomba mnisaidie yafike kwa Waziri wa Kazi.
1.Wafanyakaz wa Private wengi tumeajiriwa lakini mikataba hatuna.
2.Hatuna bima ya afya
3.Kama umeumia kazini halafu ni asubuhi au ukaumwa siku hailipwi
3.SALARY Slip nina miaka mitatu kazin sijawahi kuiona ikoje
4.Mifuko ya hifadh ya jamii hatuna Uhuru wa kuchagua
Hayo ni baadhi tu. Mishahara ndo kituko