Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,136
Katika kuonyesha hatima ya mgao wa ngeleja na madhara yake madada wa arusha waliokuwa wakifanya kazi kwenye saloon wengi wamehamishia makazi yao usiku kwenye baadhi ya hotelna bar,,wakiongea kwa uchungu wanasema nyie dar mnanyimwa leokesho mnao sie tuna kaa hadi siku tatu bila umeme na saloon bila umeeme utafanyaje..ni jambboo lakusikitisha kuona mh ngeleja bado anaendelea na wadhifa wake h\jamani huyu baba hizi laana atazipeleka wapi
aoni watoto wangapi wasio na mababa zao wanaenda kuzaliwa na nani atawatunza
aoni anaongez idadi za watoto wa barabarani..ninyi vijana wa ubungo mkiona gari la huyo waziri embu limwagien maji awe na heshima kwa mama zenu inasikitisha sana m sikuamini kama attadai kurudi tena na bajeti nilijua anajiuzulu walete wengine hiyo bajeti anyway
mola waepusha na ukimwi kwenye biashara hii mpya