Wafanyakazi wa mgombea wa CCM wazingira ofisi

Huo ni uzushi na uzandiki mkubwa sana,na pia mtu huyu mchafuaji hafai ktk jamii,kama umekuta tukio kwanini usipige picha?kama kweli wewe ni mwanahabari uliyesomea?Kuwa na maadili ya kiuanahabari acha ukanjanja then askari huwapo kila siku asubuhi ofisini kwa ajili ya parade na kutawanywa kwenye malindo,Unaemsema kaingia mitini si ukweli hata kidogo maana alikuwapo ofisin,na hakuna suala la madai ya miezi minne.

Angalizo:Msipende kuzungumzia kitu msichokuwa na uhakika nacho NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK NYAMBAFFFFFFFFFFF
 
Nakukumbusha hapa JF sio habari leo (kwa wanahabari) hapa ni kwa ma-great thinkerz, mimi Engineer nikipata habari naitupia ki-engineer vivyovivyo na maprofeshenist wengine.

Wana Kirumba mmestuka maana mngemchagua jamaa tu lazima angetafuta mishahara ya wafanyakazi wake kwenye miradi ya kata na ndio njia za ufisadi zinavyopamba moto. Mungu aliyewaongoza atawafikisha
 
Huo ni uzushi na uzandiki mkubwa sana,na pia mtu huyu mchafuaji hafai ktk jamii,kama umekuta tukio kwanini usipige picha?kama kweli wewe ni mwanahabari uliyesomea?Kuwa na maadili ya kiuanahabari acha ukanjanja then askari huwapo kila siku asubuhi ofisini kwa ajili ya parade na kutawanywa kwenye malindo,Unaemsema kaingia mitini si ukweli hata kidogo maana alikuwapo ofisin,na hakuna suala la madai ya miezi minne.

Angalizo:Msipende kuzungumzia kitu msichokuwa na uhakika nacho NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK NYAMBAFFFFFFFFFFF

Jibu hoja mkuu acha kutokwa povu hapa ni kwa gts...kama madai siyo ya miezi 4 eleza ni ya muda gani?...Ukiendekeza LUSINDE style utapigwa bann.
 
Ni aliyekuwa mgombea wa udiwani kata ya Kirumba kupitia CCM bwana Jackson Robert maarufu kama Masamaki.Hajalipa mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi anayoimiliki iitwayo Victoria Support Services kwa takribani miezi minne sasa.Kwa sasa wafanyakazi wamezingira ofsini kwake pale mtaa wa Nera jijini Mwanza na jamaa kaingia mitini...Kwa sasa wanapanga kuandamana kwenda kwa RC.

Jamaa ameripotiwa kuyumba ki uchumi baada ya kutumia kiasi kikubwa cha fedha kwenye kampeni kuupata udiwani na kuambulia patupu baada ya wana Mwanza,kata ya Kirumba kula CCM kama kawaida yao na hatimaye kupiga kura yao CDM na kumwezesha mgombea wa CDM kuibuka kidedea.

MY TAKE:Ni bora uongozi wa CCM ukaandaa utaratibu wakuwa unawawezesha wagombea wao hasa wafanyabiashara wanapofikia hatua ya kufulia kwa manufaa ya chama chao.
Source:Mimi mwenyewe nimepita viunga vile vya m

KAKA THANX SANA KWA TAARIFA HIYO,HUYO JAMAA NA MJUA VIZURI NA NILISIKITISHWA SANA KUSIKIA JAMAA ANAGOMBEA UDIWANI PALE KIRUMBA HIVI CCM NDIO KIMEKUFA KIASI HICHO HAPO MWANZA MPAKA KINA KOSA WATU WENYE SIFA ZA UONGOZI KAMA HUYO MZEMBE....JAMAA HANA ELIMU HANA BUSARA WALA HAJUI LOLOTE KHS UONGOZI.....NILISHANGAZWA SANA KUSIKIA ANATAKA KUWA DIWANI WA WANA KIRUMBA KWA KUA YEYE NI MAARUFU PALE KIRUMBA.KWA JINSI ZOEZI LA UCHAGUZI LILIVYOKUA LINAENDA JAMAA ALIKUA ANA MWAGA HELA KAMA HANA AKILI NZURI....AKIWA BEGA KWA BEGA NA MPAMBE WAKE MUDDY MTABORA,KAMA ANGESHINDA HUO UCHAGUZI...NINGE KATA RUFAA,THEN NIKAARISHA MASOMO YANGU HAPA UDOM ILI NIENDE MUNGOA HUYO MZEMBE......

VUA GAMBA VAA GWANDA
 
...Matumizi ya pesa,wapambe na vikao vya ndani pekee kwenye kampeni haviwezi kubadilisha mwelekeo wa kisiasa katika ulimwengu wa sasa...Kwa maelezo yako hapo juu mkuu ni wazi jamaa na timu yake ya Kina MTABORA hawakujibidisha kusoma upepo wakapiga kampeni za kizamani matokeo ikala kwao. Naona kuna mtu anajiita MATAPISHI humu jamvini si ajabu ndiyo MTABORA..Wacha tumusikilize japo nayeye haonekani kujibu hoja naona anapima upepo humu JF...ngoja tungojee wakuu watumwagie dataz coz JF huwa ni kulonga bila chenga.
 
Back
Top Bottom