Wafanyakazi wa eatv wajitosa na kutembea juu ya moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyakazi wa eatv wajitosa na kutembea juu ya moto

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 6, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  [h=3]WAFANYAKAZI WA EATV WAJITOSA NA KUTEMBEA JUU YA MOTO[/h]


  [​IMG]Uanaume wa shoka

  Wafanyakazi wa East Africa TV juzi walilazimika kutembea juu ya moto kama ishara kuwa wanaweza kukabaliana na changamoto zozote wanazokutana nazo mbele.

  Zoezi hilo limefanyika baada ya kupewa semina ya siku mbili kutoka kwa wahamasishaji wa Peak Perfomance.

  “Kutembea juu ya moto ilikuwa ni kuhamasisha moyo wa kujiamini na kuthubutu. Walilenga kumpa kila mtu morale ya kujitambua kuwa ana uwezo wa kufanya kitu unachohofia kuwa huenda huwezi kujichanganya,” alisema mmoja wa wafanyakazi wa EATV.

  Unaweza kutembea juu ya moto?
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][h=2][/h]
   
 2. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  To be fair tuonyeshen picha baada ya kutembea juu ya MOTO na maoni ytao juu ya hilo zoezi na maana yake kwa jamii inayowazunguka kwani kwangu naona kaa viinimacho.
   
 3. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kamanda Kova alikuwa anafikiri ni ngunguli tu ndo wanaweza kutembea juu ya moto kumbe hata waimba taarabu! Jeshi la bongo ni maigizo tu!
   
 4. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  mafuta ya taa hayo!!!
   
 5. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Can somebody tell us kwanini wanaangalia juu na sio mahali ambapo wanapita?
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hahahahahaha huyo dada na yeye anatembea juu ya mot, mmh huo utakuwa moto wa KIBISA hahahahaahah hauunguzi
   
 7. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,318
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  So what?
   
 8. Possibles

  Possibles JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Kumbe Wa Kusoma yupo!!!!!
   
 9. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Huo utakua moto baridi

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 10. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni ibada si bure!
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hili ni zoezi very common linalofanyika kwenye mikutano ya management za makampuni. Actually ni juu ya uthubutu na kuaminiana kama viongozi. Kwamba mmoja akitoa wazo msiogope na kukataa.
  Huo ni moto unawekwa wa makaa. Kisha unamwagiwa petrol na maji. Wakati maji yanazima moto petrol inatengeneza flame. There is no way unaweza kuungua, the feeling afterwards is marvelous too ukiwaza before ulivyoogopa kutembea hapo.
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Ujumbe ni kuwa unapokutana na magumu ama kufanya maamuzi magumu, angalia target na sio hatua unazopitia. A good trainer would ask you kumuangalia yeye usoni wakati unatembea. Its about focus.
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Free marson hehehe.
   
 14. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Physics ina maelezo tosha ya kwanini mtu anaweza kutembea juu ya makaa ya moto na asiungue.

  Kama mtu hodari atembee juu ya chuma cha moto na sio makaa :]
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ya Ngoswe?
   
 16. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wewe ulikuwa wapi?
   
 17. Anthony Lawrence

  Anthony Lawrence JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,544
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Usifanye mchezo na moto. Huo bila shaka si moto halisi.
   
 18. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Mi sijauona
   
 19. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ooh yes, umesomeka King'asti.
   
 20. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  iwe iwavyo kuna katatizo kidogo kuhusiana na uhalisi wa huo moto.
   
Loading...