Wafanyakazi wa CRDB Meru Branch Arusha wafundishwe adabu!

Mkuu ukiwa boss ukisha anza kutafuna mfanyakazi basi hata ufanisi wa kazi unapungua kabisa fanya research home kandamiza house girl uone kama unabisha

Nimekusoma mpwa....hizo balaa najitahidi sana nisizipitie...mzee unaishiwa kauli unakuwa bwabwa kabisa iwapo wameisha onautupu wako kauli hamna!
 
Hawa CRDB wababaishaji ,ATM Card zao zinaharibika mapema sana,card yangu iliharibika nikaipeleka wakaniambia njoo baada ya wiki 3 nilifuatilia kwa muda wa miezi 4 ndio nikaipata
 
Ngoja niwape vijitips vya kupatia huduma nzuri kwenye mabenki yetu, uwe na salio nono kwenye account, vaa vizuri na uongea kiingerereza kama sio kiswahili kwa taabu,jaribu kwenda kwa the same teller kila siku-umjue jina nae ajue lako, uwe unamwachia 'hela ya chai',etc hapo utatetemekewa na kuhudumiwa kama mfalme!
 
Mkuu hii sasa ni rushwa sijui TAKUKURU ukiwalengesha wanaweza washughulikia?
 
Njia nyepesi bwan ukienda kwenye tawi omba kuonana na meneja! Ukiwa naye ofisini unamkatisha mastory baadaye unamwambia mazee nilikuwa nataka huduma hii...jamaa anakuitia mtu unahudumiwa first class na ukimaliza unamwomba meneja simu yake. Ukija siku nyingine unaanza naye tu! Bongo hiyo.....hata dirishani hupotezi muda!
 
Nilienda NBC tawi la k/koo kuingiza pesa zilikuwa nyingi BULK MONEY nilifika pale saa 4 matokeo yake nilitoka saa 8 kasoro cha ajabu watu tunarushwa tu wanakuja watu wanahudumiwa juu kwa juu nililaani sana bora ningepanga foleni tu.
 
Tatizo lenu nyie mnakuwa na fedha nyingi mno...BuLk mhhhh !
 
Mkuu hii sasa ni rushwa sijui TAKUKURU ukiwalengesha wanaweza washughulikia?

Hee? Wee Fidel kumpa mtoto mzuri hela ya lunch akale wali roast au apate vitumbua nayo ni rushwa? tena kwa mapenzi yangu, wala hajaomba? Nimevutiwa tu na huduma zake nikaamua kumpa tip? Mbona kwenye mabaa na hotel mnatoa?
 
Kama una malalamiko CRDB yatume kwa mabosi wao.

Dr. Charles Kimei (Managing Director): cskimei@crdbbank.com

Deputy Managing Director: jopedersen@crdbbank.com

Bosi wa Customer care: customer-hotline@crdbbank.com

Nafikiri wakipata malalamiko toka kwa watu wengi itabidi washituke kulikoni na kuwaelimisha hao wafanyakazi wao. Kweli customer care ni ziro kabisa. Wengine wanadiriki hata kukufokea au kukujibu hovyo pale unapotaka kujua zaidi kuhusu kitu fulani.

Mkuu, nimependa sana information zako. Unaweza kunisaidia email za namna hiyo hiyo za wale jamaa wa ACCESSBANK pale Kijitonyama? Natanguliza shukurani!
 
Ngoja niwape vijitips vya kupatia huduma nzuri kwenye mabenki yetu, uwe na salio nono kwenye account, vaa vizuri na uongea kiingerereza kama sio kiswahili kwa taabu,jaribu kwenda kwa the same teller kila siku-umjue jina nae ajue lako, uwe unamwachia 'hela ya chai',etc hapo utatetemekewa na kuhudumiwa kama mfalme!

...halafu unakuwa umeongeza tatizo kwa walalahoi wenzako walio wengi!! teh teh teh.
 
Sasa mzee tukifanya hivi Bellies atanielewa? utatongoza wangapi? Posta, Airport vile vieahosites, mabenki, ofisi mbali mbali za serikali ni mwendo huo huo vidada vinajidai kweli ...hasa vinapokula uroda na maboss hata huduma kwa umma ni shida!
aah Bellies atulie maslahi ya taifa kwanza.....
 
Masaki
user_offline.gif

Masaki has no status.
JF Senior Expert Member
Join Date: Tue Mar 2006
Location: Dar es Salaam
Posts: 393
Thanks: 366
Thanked 218 Times in 126 Posts
Rep Power: 24
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Credits: 926,255

icon1.gif
Re: Wafanyakazi wa crdb meru branch arusha wafundishwe adabu
Malalamiko kama haya yangepelekwa moja kwa moja kwa uongozi wa CRDB Makao Makuu ingesaidia sana kuliko hapa JF....Magonjwa mengine tunayafuga sisi wenyewe wateja !!!

Tafadhali peleka malalamiko yako kwenye email iliyopo hapo chinini na yatafanyiwa kazi mara moja !

customer-hotline@crdb.com

mkuu natumaini si wote wanajua email ya crdb na kama uko mmoja wapo huna budi kusaidia kutuma email maana tatizo hili si la pdidy pekee bali ni kwa jamii sidhani jf watakuchaji ukibonyeza
kwenye email this page rather than kuwatisha watu wasilete malalamiko huku wayapeleke ****** hakuna aliekuja huku kukimbizana na wakina rostam mwakyembe tuko ka ajili ya jamii nzimatuache uzandiki
 
Masa
user_offline.gif

Masanilo is Alcoholic
JF Premium Member
Join Date: Tue Oct 2007
Location: Lahore
Posts: 2,465
Thanks: 612
Thanked 1,173 Times in 730 Posts
Rep Power: 66
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Credits: 496,449,260

icon1.gif
Re: Wafanyakazi wa CRDB Meru Branch Arusha wafundishwe adabu!
Ladies and gentlemen can you stop lamenting and using unwisely JF bandwidth, by simply drop a line to customer-hotline@crdb.com all your claims will be dealt faster than wat JF can do!?

mkuu masa uko sawa kabisa lakini nafikiri nae huyu jamaa ana haki ya kuandika huku hata kama si kimei basi wadogo zake wako humu jamvini...so la maana ni kuwapa hizo email badala ya kuwatisha wasilete humu sidhani hii forums ni ya masanilo na familia yake
dk
 
Ladies and gentlemen can you stop lamenting and using unwisely JF bandwidth

hey dem r u the one wrote this...sikusoma vizuri..excuse masa change ur language
mbona umemshambulia hivi huyo jamaa ama kuna dadako kaguswa huko,....pole
tuangalie masilahi ya wananchi kwanza ya kuangalia masilahi binafsi
 
Hawa CRDB wababaishaji ,ATM Card zao zinaharibika mapema sana,card yangu iliharibika nikaipeleka wakaniambia njoo baada ya wiki 3 nilifuatilia kwa muda wa miezi 4 ndio nikaipata
__________________

HHHHHEEEE HHHHHEEE MKUU BELO MIE NILIPATA TATIZO KAMA LAKO ILASIKU MOJA NIKAONA MWENZAK\NGU NIMERIPOTI NAE KESHO YAKE ANACHUKUA KADI NIKAULIZA NDIPO NIKAPATA HUDUMA THABITI KWAMBA UKITOA ALFU KUMI TU KESHO IMECHELEWA SANA PASSWORD KESHOKUTWA

WA MADHABAHUNI ATAFUNE MADHABAHUNI

KAZI KWELI KWELI
 
Mkuu, nimependa sana information zako. Unaweza kunisaidia email za namna hiyo hiyo za wale jamaa wa ACCESSBANK pale Kijitonyama? Natanguliza shukurani!

WATAFUNGA BANK JAMANI KWA FUKUZA FUKUZA...AM KID..
 
CRDB ilipoteza mwelekeo baada ya kulewa na sifa ilizopata mwanzoni. Baadhi yetu tulikuwa na viji akaunti pale, tukatumia njia nzote kuelezea ubora wa huduma unavyodorora siku hadi siku, hakuna kilichobadilika. Kama kawaida ya waungwana tukaanza kimya kimya kwenye 'vibenk' vidogo vidogo. Walahu kwa sasa ATM za UMOJA SWITCH hazinipi headache kama ilivyokuwa CRDB
 
Nawaunga mkno wadau wote kuhusu suala la CRDB MERU BRANCH ARUSHA huduma zake ni z ovyo mno, na wanadharau wateja ile kupitiliza, plese Kimei try to check this branch ni ovyo
 
Kama una malalamiko CRDB yatume kwa mabosi wao.

Dr. Charles Kimei (Managing Director): cskimei@crdbbank.com

Deputy Managing Director: jopedersen@crdbbank.com

Bosi wa Customer care: customer-hotline@crdbbank.com

Nafikiri wakipata malalamiko toka kwa watu wengi itabidi washituke kulikoni na kuwaelimisha hao wafanyakazi wao. Kweli customer care ni ziro kabisa. Wengine wanadiriki hata kukufokea au kukujibu hovyo pale unapotaka kujua zaidi kuhusu kitu fulani.

...Za Dizaini Hiyo Hiyo za AccessBank, Kijitonyama, Bayamaaa!?
 
Mkuu hao manyangumi hata utume email unajisumbua tu mbona bank pale kuna kasanduku kamaoni na sijui kama iwa wanafungua kusoma maoni.
Hawa viongozi ndo wanaonyesha tabia mbaya ndo maana wafanyakazi wanafanya kazi kwa kujivuta vuta si anamwona Charles Kimei anavyo jivuta vuta unategemea atawakemea?
Naomba Mungu ukoloni uje utunyoshe angalau kwa miaka 10 hivi naona watu watanyoka maofisini humo ni mboko tu.

No! but it makes a lot of diffence if you just send it ... as many times as possible!!!

Ni manyangumi but ni watu tu!! hata unyangumi una yielding point ...itafikiwa tu ...hakuna kuchoka ni kuwa pressurise in many ways as possible..!!
 
Back
Top Bottom