Wafanyakazi wa CRDB Meru Branch Arusha wafundishwe adabu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyakazi wa CRDB Meru Branch Arusha wafundishwe adabu!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pdidy, May 19, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,265
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  Ndugu wapendwa natoa dukuduku langu kwa branch manager wa tawi la CRDB meru branch...nimesikitishwa na kitendo cha watu kutoipenda kazi yao na hili ni kutokana na ajira ningi hivi sasa wamekuwa wakipeana kwa undugu badala ya kupenda kazi unayokwenda kufanya.....inasikitisha sana tena sana kwa bank kama crdb kuwa na urasimu kiasi hiki

  Nilikuwa natoa hela kwenye acc matokeo yake jana naambiwa siwezi pata hela zangu mpaka nikatoe hela kwenye ATM....nikaenda kwenye ATM kumbe wanajua mbovu hawasemi nikawafwata na kuwaambia kwa nini mnasema wateja waje huku wakati mnajua machine mbovu wakasema nisubiri nimesubiri mpaka yesu alipokaribia kuja maana mpaka inafungwa tunaambiwa nisubiri nje nikawambia si mniambie kwa heri tuonane kesho....

  Nikaondoka zangu leo hii asbh nikaenda na kukuta ATM inafanya kazi nikawapelekea salio kisa walichotaka ni salio nikawambia kwa nini hamkufax dar si ndio kazi zenu hakna alie jibu nikaenda nilipofika kwa saler nikampa walivyoniuliza jana mara akaanza kumuuliza dada mmoja ambae ni supevisor wake...amevaa nguo ya blue ni mshenzi kupindukia yule daada mungu angemjalia mwili wa umodo sijui ...ndio angetukana kabisa ...kuna kitu alimuuliza yule dada saler no 2...akajibu nmwambie aende branch ya mbele kule si tunakunywa chai...shame on you mama.....yule dada akaanza kulalamika na kumwambia mbona wengine unawasaidia kwa nini usimtoe huyu dada akasema aaah mambo ya kuanza ku log in tena....heeeeeeeeeeeee jamani hawa watu wanafikiri kazi ni ufungwa kama uipendi si uwaachie wengine...alipoam,biwa vile nikamwambia yule saler siendi na kitambulisho sikichukui namwomba manager wenu niongee nae...akaenda kumwambia yule dada superrvisor linene jeusi kidogo....llipoona vile likasimmama na kwenda kufungua computer...mara nikaona napewa kaaratasi ya kusaini

  SHAME KIMEI SHAME CRDB SHAME ON YOU SUPERVISOR MERU ARUSHA BRANCH
  GMORNING
   
 2. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  PDidy

  Customer service kwa benki nyingi hapa Bongo ni Zero (0).Pole kwa yaliyokukuta Nafikiri Ujumbe umewafikia CRDB Meru Branch na Benki nyingine zote
   
 3. Zero

  Zero JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 301
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  I completely agree with you. Customer service banks nyingi ni utumbo mtupu. Mtu unakwenda pale as if wewe ni maskini na umekwenda kuomba. Inaudhi kweli.
   
 4. Mau

  Mau Senior Member

  #4
  May 19, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Asante sana kaka umenimezesha nyama iliyokuwa imenikaba muda mrefu, hili swala sio kwa CRDB pekee Bank zote tanzania ndo zilivyo, Hivi wataalam hamjagundua njia nyingine za kuhifadhi hela tuachane na mabenki?
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,265
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  Hivi wataalam hamjagundua njia nyingine za kuhifadhi hela tuachane na mabenki?

  MKUU MAU TUNATAMANI KWELI KUHIFADHI KAMA MZEE KAPINGA ALIVYOKUWA NA PESA KWENYE VYUMBA LAKINI SI ULISIKIA ALIKUFAJE...MPAKA SASA NA MPAKA MKAPA ANATOKA PAMOJA ALIKUWA AKIMHIFADHIA PESA ZAKE AKUHANGAIKA KUJUA CHANZO MAANA WAH WALISHAANZA....

  MI NAFIKIRI TATIZO LILOPO SIJUI NI MISHAHARA AMA KUTOPENDA KAZI ZAKE...KUNA WENGI WANAFANYA KAZI LAKINI HAWAIPENDI KAZI ZAO.....NDIO MAANA NIKASHAURI KAMA AWAPENDI WAACHANE NA KAZI WAWAPE WANAOIPENDA...HILI WANANDGU LIMETOKEA DK 20 ZILIZOPITA SHAME AGAIN KIMEI N UR COLLEAGUE
  BYE
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Aaaaargh!! Meru Branch .... i will vomit sasa hivi!

  They are good for nothing those animals!

  Nilikuwa pale 15/5/2009 kudeposit cheque, nilitumia karibia dakika 30 kwa watu wa counter! Wamekaa tu kule ndani, they dont dare look to customers.

  Bahati nzuri muda huohuo akaingia Mh.mwenye jimbo la Simanjiro, ndo wote pale wakastuka na hatimaye na sisi tukahudumiwa kupitia mgondo wake!

  Haloo, acheni kuuza nyago huko vibandani bana!! Watu wanatafuta kazi ati!!!

  Umeaga kwa bwanako unaenda kazini-fanya kazi bana.

  Mkipewa Lidandanzi mnakimbilia kuchonga...!

  We see you daily, lakini kwa vile majina yenu tunawajua,

  tutawafanyia kazi immediately!
   
  Last edited: May 20, 2009
 7. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Malalamiko kama haya yangepelekwa moja kwa moja kwa uongozi wa CRDB Makao Makuu ingesaidia sana kuliko hapa JF....Magonjwa mengine tunayafuga sisi wenyewe wateja !!!

  Tafadhali peleka malalamiko yako kwenye email iliyopo hapo chinini na yatafanyiwa kazi mara moja !

  customer-hotline@crdb.com
   
 8. A

  Audax JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  benki zimekuwa kero ila mbeya crdb wanongoza,niwasumbufu saana,wateja wengi lkn branch ni 2 tu mbeya nzima.Mabenki nayo yamezidiwa.Tungeletewa account za kwenye internet kama wenzetu ingekuwa bora tondokane na kero.Wenyewe mapozi kibao!!
   
 9. m

  mande Member

  #9
  May 19, 2009
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana mkuu!Benk za bongo mteja si mfalme wala nini!tellers wanajiona utadhani ni managers!hapo unataka kuweka vijisenti vyako!ukitaka mkopo ndio usahau kabisaaaaaaaaaa!kama hujacheua chochote kitu kwa loan officers bas kalaghabaho!

  Cashiers kuna wateja wao wakubwa ambao huwa wanawahudumia chapchap ili wapate chambichambi kidogo!akishamhudumia anampa 5,000 ya chai!

  Swali ni kwamba kama hutaki kazi ya cashier si bora uombe ku resign kuliko kuudhi wateja?pole sana mkuu
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ladies and gentlemen can you stop lamenting and using unwisely JF bandwidth, by simply drop a line to customer-hotline@crdb.com all your claims will be dealt faster than wat JF can do!?
   
 11. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Halafu matawi yao Arusha yanajaa sana kisha hamna aircondition. Upuuzi mtupu
   
 12. M

  Msindima JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamani sio CRDB peke yake bank nyingi hapa nchini ziko hivyo,siku moja nilikuwa NMB Clock tower nilichoka halafu nikamwangalia teller kisomo chake mmhh nilishangaa sana kumkuta pale maana namfahamu nilisoma na dada yake chuo,kwa hiyo Branch ya Mount Meru juzi pia jtatu baba yangu pia alinieleza usumbufu alioupata.
   
 13. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kama una malalamiko CRDB yatume kwa mabosi wao.

  Dr. Charles Kimei (Managing Director): cskimei@crdbbank.com


  Deputy Managing Director: jopedersen@crdbbank.com  Bosi wa Customer care: customer-hotline@crdbbank.com

  Nafikiri wakipata malalamiko toka kwa watu wengi itabidi washituke kulikoni na kuwaelimisha hao wafanyakazi wao. Kweli customer care ni ziro kabisa. Wengine wanadiriki hata kukufokea au kukujibu hovyo pale unapotaka kujua zaidi kuhusu kitu fulani.
   
 14. S

  Swabiri Member

  #14
  May 20, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hiyo kidogo kali zaidi ya yote ni NMB and NBC we acha bwana pesa zako mwenyewe lakini siku ukizitaka utakoma na foleni na ubovu wa ATMs na kuna wenzetu wakiingia kwenye ATM wanakaa nusu saa. bongo hii bwana ukiitimba hadi private sector
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mimi ndo maana hivi vibank uchwala vya wazawa nilisha funga account zangu pesa yako manyanyaso unapata utafikiri unapewa pesa bure wakati ni haki yako na pesa yako mwenyewe na umeivujia jasho mwenyewe.
  Badilikeni nyie mnao jiita wazawa NBC,NMB,CRDB
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu hao manyangumi hata utume email unajisumbua tu mbona bank pale kuna kasanduku kamaoni na sijui kama iwa wanafungua kusoma maoni.
  Hawa viongozi ndo wanaonyesha tabia mbaya ndo maana wafanyakazi wanafanya kazi kwa kujivuta vuta si anamwona Charles Kimei anavyo jivuta vuta unategemea atawakemea?
  Naomba Mungu ukoloni uje utunyoshe angalau kwa miaka 10 hivi naona watu watanyoka maofisini humo ni mboko tu.
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  vile vidada madirishani vitongozeni mtakuwa mnapata presidential huduma.....
   
 18. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nafikiri hii kazi (maandishi kwenye rangi nyekundu)Kanali Albert Mnali (former Bukoba DC) anaweza kuifanya vizuri, wamwajiri hapo.
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sasa mzee tukifanya hivi Bellies atanielewa? utatongoza wangapi? Posta, Airport vile vieahosites, mabenki, ofisi mbali mbali za serikali ni mwendo huo huo vidada vinajidai kweli ...hasa vinapokula uroda na maboss hata huduma kwa umma ni shida!
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu ukiwa boss ukisha anza kutafuna mfanyakazi basi hata ufanisi wa kazi unapungua kabisa fanya research home kandamiza house girl uone kama unabisha
   
Loading...