Wafanyakazi wa atcl kupata barua zao leo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyakazi wa atcl kupata barua zao leo...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Nov 27, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Wafanyakazi wa shirika la ndege la tanzania wapatao 181 wanatarajiwa kugawiwa barua zao za mkono wa ahsante leo hii....akionngea na mwandishi wetu katibu mkuu wa wizara ya miundo mbinu Bw omary chambo amesema leo lazima kila mfanyakazi awe ameshapata haki yake....akiulizwa swali la kuhusu mbia alisema bado hakuna aliejitokeza kuichukua atcl bali mchina amesema atajitahidi kuisaidia kwa kuwaletea ndege kadhaa...huku akikwepa kujibu baadhi ya maswali kwa nini mkataba wa trl mmesaini kihuni huku watu wakiwahasa madhara yake alisema lile shirika atuwezi kuliacha nalo siku za usoni linatarajiwa kupunguza wafanyakazi ili kuendana na hali halisi....huku baadhi ya waandishi wakimuuliza iweje mna mpango wa kuleta ndege kwenye shirika la atcl huku mkipunguza idadi kubwa hivyo Mh chambo alisema hilo alikwepeki kama zikija basi ajira zitakuwepo tu na kila mtu atakaribishwa kutuma maombi....baada ya hapo mh chambo anatarajiwa kuwa na mkutano mwingine na waandishi wa habari kuhusu wizi uliofanyika miundo mbinu ambapo alijitahidi kukwepa maswali kuhusu ulaji wa pesa za vipuri pamoja na pesa za ikulu......
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  hakia ya mungu ukisikia watu kwewnda kusomea utawa na miaka 60 na mapadre ndio huu sasa...mmmh kazi ipo....
  kila la kheri ndugu zanguni yapo maisha baada ya hapo...itabidi niende na form za forever huu ndio wakati muafaka wa ndugu tuanze kujitegemea ni mdomo wako tu unakuwa millionea
   
Loading...