Wafanyakazi tusichangie hivi vyama vya wafanyakazi!!

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,509
Hi GT,
Nawashauri tujiondoe katika hivyi vyama vya wafanyakazi kwani naona havina msaada wowote bali kutula tu hela zetu,yani chama kimoja tu cha TAMICO(migodi) ndio naona kipo strong lkn vingine vyote vimelala! Hakuna cha Mgaya wala nini wote kimya,chonde chonde wanfanyakazi tujitoeni ktk hvyo vyama na kuwaomba wanasheria wa TAMICO watusimamie!

Nawasilisha.
 
I would say the opposite, badala ya kujitoa, wafanyakazi wanatakiwa kushiriki zaidi katika uongozi na unedeshwaji wa vyama hivyo. Wakijitoa wanajipunguzia nguvu na uwezo wa kudai haki yao. Tatizo lililopo ni kwamba mara nyingi vyama hivyo vinaongozwa na "wasanii"...
 
Back
Top Bottom