Babu Lao
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,043
- 179
Hiyo sheria ya mifuko ya jamii amepitsha Irene au wabunge wenu vilaza
Tunajua vizuri kuwa ni vilaza wabunge ndo walopitisha hiyo sheria.... lakini siku zote utekelezaji wa sheria mbovu unahitaji busara zaidi na hapo ndio uzoefu unapochukua nafasi yake, kuna sheria mbovu nyingi na zenye madhara makubwa kwa raia.... lakini watekelezaji wake wanatumia busara na sio kukurupuka kama alivofanya Irene!!!!!