Wafanyakazi tuliofukuzwa kwa madai ya vyeti fake bila kulipwa mafao mwaka huu tuungane kuifuta CCM

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,564
15,919
Tupo wengi,tumeumia serikali ya ccm ilikosa ubinadamu kwa sisi tuliokuwa watumishi.kwa kutufukuza bila huruma na bila hata kifuta jasho.

Ikumbukwe kwa muda wote tuliokuwa tunafanya kazi shughuli zilienda na wengine tulipewa mpaka vyeti vya ufanyakazi bora.lakini yote hayo hayakuonekana.

Shime! Huu ni wakati wetu sasa Kumkata kama alivyotukataaa.

Imetolewa na Muungano wa wafanyakazi wa serikali Tuliofukuzwa kikatili bila huruma na serikali ya ccm.
 
Haisaidii maana utaacha kupiga kura au kuupigia upinzani lakini wale waliosoma na kuchukua nafasi zenu wao wataipigia hiyo CCM, sasa hasira zako hazisaidiu kitu,fanya kuendelea na maisha mengine tu ya kwako,hapa unaota
Alikudanganya nani kuwa nafasi zao zilijazwa? Hadi leo wafanyakazi wengi wako overworked kwani baada ya wale waliotuhumiwa kutumia vyeti feki hakuna walioajriwa kuziba nafasi zao, na hao waliobaki wanafanyishwa kazi za ziada bila nyongeza ya mishahara wala kupandishwa madaraja kwa miaka yote hii mitano. Ukweli wafanyakazi wana donge mioyoni mwao na sehemu pekee ya kutolea donge hilo ni 28/10/2020

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Haisaidii maana utaacha kupiga kura au kuupigia upinzani lakini wale waliosoma na kuchukua nafasi zenu wao wataipigia hiyo CCM, sasa hasira zako hazisaidiu kitu,fanya kuendelea na maisha mengine tu ya kwako,hapa unaota
Kwa taarifa yako hakuna walioajiriwa na bado bajeti ya mishahara iko juu na waliobaki kazini hawajaongezwa mishahara, posho wala nyongeza za kisheria za kila mwaka!
 
Tupo wengi,tumeumia serikali ya ccm ilikosa ubinadamu kwa sisi tuliokuwa watumishi.kwa kutufukuza bila huruma na bila hata kifuta jasho.

Ikumbukwe kwa muda wote tuliokuwa tunafanya kazi shughuli zilienda na wengine tulipewa mpaka vyeti vya ufanyakazi bora.lakini yote hayo hayakuonekana.

Shime! Huu ni wakati wetu sasa Kumkata kama alivyotukataaa.

Imetolewa na Muungano wa wafanyakazi wa serikali Tuliofukuzwa kikatili bila huruma na serikali ya ccm.
Shame on you. Yani wewe mwenye vyeti feki unalalamika je wale walio na madegrii yao na wanasaka tonge kwa mbinde wasemeje?.
 
Tupo wengi,tumeumia serikali ya ccm ilikosa ubinadamu kwa sisi tuliokuwa watumishi.kwa kutufukuza bila huruma na bila hata kifuta jasho.

Ikumbukwe kwa muda wote tuliokuwa tunafanya kazi shughuli zilienda na wengine tulipewa mpaka vyeti vya ufanyakazi bora.lakini yote hayo hayakuonekana.

Shime! Huu ni wakati wetu sasa Kumkata kama alivyotukataaa.

Imetolewa na Muungano wa wafanyakazi wa serikali Tuliofukuzwa kikatili bila huruma na serikali ya ccm.
Magu MTU wa Mungu sana, tulifoji vyeti katusamehe tungekuwa jela tunanyea debe! Ashukuliwe sana! Sasa hivi tunachapa kazi za kilimo cha maparachichi
 
Tupo wengi,tumeumia serikali ya ccm ilikosa ubinadamu kwa sisi tuliokuwa watumishi.kwa kutufukuza bila huruma na bila hata kifuta jasho.

Ikumbukwe kwa muda wote tuliokuwa tunafanya kazi shughuli zilienda na wengine tulipewa mpaka vyeti vya ufanyakazi bora.lakini yote hayo hayakuonekana.

Shime! Huu ni wakati wetu sasa Kumkata kama alivyotukataaa.

Imetolewa na Muungano wa wafanyakazi wa serikali Tuliofukuzwa kikatili bila huruma na serikali ya ccm.
Sasa nyie ndio Kwanza muanze kuilipa serikali kwa kupata mapato yasiyo halali kwa kutumia vyeti fake
 
Tupo wengi,tumeumia serikali ya ccm ilikosa ubinadamu kwa sisi tuliokuwa watumishi.kwa kutufukuza bila huruma na bila hata kifuta jasho.

Ikumbukwe kwa muda wote tuliokuwa tunafanya kazi shughuli zilienda na wengine tulipewa mpaka vyeti vya ufanyakazi bora.lakini yote hayo hayakuonekana.

Shime! Huu ni wakati wetu sasa Kumkata kama alivyotukataaa.

Imetolewa na Muungano wa wafanyakazi wa serikali Tuliofukuzwa kikatili bila huruma na serikali ya ccm.
Mliokosa ubinadamu nyie mliotumia vyeti fake na kujaza nafasi za watoto na ndugu zetu, mnatumia uzoefu wakati wenzenu wamesota kusomea hizo fani, halafu wengi wenu walikuwa wanoko kweli maofisini hata hivyo mumshukuru hakuwashtaki, sidhani kama ungekuwa na muda wa kuandika haya maana ungekuwa gerezani na wenzio.
 
Hahahhaahahah! Nakumbuka ticha mmoja alivyo pitia dirishani akiwa class na kutimua mbio vibaya sana ni baada ya kuambiwa anakuja kukamatwa kwa kufoji vyeti ...vinaafunzi viscouti vilimtimua balaa
 
Kwanza mlipaswa na mfungwe kabisa jela sio kufukuzwa tu haikutosha nyie katika maka yote hiyo mmeiibia serikali na kuzulumu watu wenye haki mnatumia vyeti bya watu pengine wenye navyo wamekufa au hawafaidiki navyo ..Ukatili huu mlofanya ulikuwa wa kukaa jela na kurudisha mishahara yote mlokula.
 
Back
Top Bottom