Wafanyakazi TLR na TAZARA wataka meneja masilahi aishie..........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Katika hali inakanganya kabisa yaelekea TLR na TAZARA wana meneja masilahi mmoja na wamechoshwa na utawala wake wa kiimla wa kupuulizia mbali masilahi ya wafanyakazi...................sasa wamemzuia asikanyage ofisini na huku wakishinikiza aondolewe mara moja.................
 
Back
Top Bottom