Wafanyakazi Guardian waandamana kupinga kutimuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyakazi Guardian waandamana kupinga kutimuliwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chuma, Oct 16, 2008.

 1. C

  Chuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wakuu Kuna hii imepachikwa leo Mwananchi...

  Mwananchi Read News

  Kweli hii habari au watu wana nia Mbaya na Mzee Mengi?...Kufukuza wafanyakazi wengi kiasi Hiki imekuwaje?....

  Kwanini waende mwananchi...?wasiende Gazeti Jiingine?...
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wafanyakazi Guardian waandamana kupinga kutimuliwa

  Na Gedius Rwiza wafanyakazigurdian.jpg Baadhi ya wafanyakazi wa Gurdian LTD waliotimuliwa wakiwa nje ya ofisi za gazeti hili.... .

   
 3. C

  Chuma JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ..."Nilidhani wakati wa kufanya ukatili huu mtu kama mimi mlemavu asingenidhurumu haki yangu kama unavyoniona mguu wangu una matatizo, kwani nilikuwa nikiona tajiri yetu akitoa misaada kwa walemavu kumbe ni kuwazuga watu,"alisema Joseph Mshamu

  Hii imekaaje...?Katumwa nini kupakaza...?
   
 4. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2008
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa mtazamo wa haraka haraka hawa watu wanakiri kosa walilolifanya ila wanaona hwajatendewa haki kwenye malipo.

  Mimi sijui kosa lakini kuna kipengele kwenye mikataba ya Summary dismissal kutokana na makosa fulani fulani. So kama walitenda hayo makosa sioni sababu ya kuleta complains hizi.

  Pili kwenye contract nyingi zinaeleza kiasi cha fedha utakazolipwa incase of termination/Dismissal na mara nyingi zinabase kwenye % of current salary times the number of months uliyofanya na company. So kama mtu kapunjwa nadhani kuna legal proceedure ya kufuatilia, sikuona maantiki ya kwenda mwananchi WAMETUMWAAAAAAAAAA tusubiri majibu ya IPP NA MKUU WAO ATASEMA NINI

  bowbow
   
 5. BadoNipo

  BadoNipo Senior Member

  #5
  Oct 16, 2008
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huyo ndo Mengi. ukimwona hivi kwa usoni utadhani ni mtu mwema sana lakini mh!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...