Si kweli kama ukigoma kwa nchi uliyotolea mfano(USA) kuwa unafukuzwa kazi. Kuna sheria zinazowalinda wafanyakazi, migomo siku zote hai-result kufukuzishwa watu kazi.
..kwa Tanzania unafukuzwa.
Si kweli kama ukigoma kwa nchi uliyotolea mfano(USA) kuwa unafukuzwa kazi. Kuna sheria zinazowalinda wafanyakazi, migomo siku zote hai-result kufukuzishwa watu kazi.
..kwa Tanzania unafukuzwa.
Mkuu heshima mbele, Huwezi kugoma ukiwa unafanya kazi kwa State au Federal, huko US unakuwa umejifukuza mwenyewe,
Na hata sekta za private, waajiri wana haki ya kukufukuza na kuajiri wengine kuku-replace, ukigoma kutii deadline yao, hiyo ni hata kwa UK mkuu!
Kwa nini hawa wafanyakazi wamegoma? Je, sababu za mgomo wao ni reasonable? Kama ni reasonable, sheria zetu za nchi zinasemaje kuhusu sababu kama hizo? Je, pale viongozi wakuu wanapokuwa na hisa katika makampuni kama haya sheria itatendeka?
Nchi nyingi za Ulaya ndiyo zinaruhusu Migomo kama njia ya shinikizo kwa waajiri kupitia vyama vya wafanyakazi.Mzee Dua, heshima yako mkuu!
Majibu ya maswali yako yanaweza kutoa taswira halisi ya kinachoendelea nchini kwetu. Tatizo la nchi nyingi masikini duniani ni kuwa na miundo ya Serikali inayowapa watu wachache sana (mmoja au wawili) madaraka makubwa mno kupita kiasi. Katika nchi zilizoendelea, kama kuna dilema kati ya moral/ethical na sheria, basi the law takes over. Katika nchi zetu unapotokea mkanganyano wa namna hii, basi sheria inachukuwa mkondo pia. Lakini tusisahau kuwa tofauti na nchi zilizoendelea, katika nchi yetu, sheria ni viongozi wachache kwa maana kwamba viongozi ndio sheria yenyewe. Ni nadra sana kutenganisha viongozi na sheria katika nchi masikini.
Mojawapo ya kazi kubwa ya sheria ni kuweka mazingira ya kutendeana haki. Ikitokea kwamba viongozi ambao ndio sheria yenyewe wanamiliki hisa katika mojawapo ya makampuni makubwa, basi upatikanaji wa haki unakuwa haba. Hali inakuwa mbaya zaidi kama haya makampuni yameingia mikataba kwa mtindo wa kupenyeza rupia kwa viongozi wetu.
Ndio maana majuzi Rais wetu na timu yake ya baraza la mawaziri wamejitosa hadharani kutetea uvundo wa mikataba ambayo wameingia na haya makampuni. Our dear president is appealing to the corporate conscience to act more responsibly. Rais wetu anataka kutuaminisha kwamba the corporation such as Barrick has qualities and moral sensibilities of a human being (yeah right!). Ukweli ni kuwa Makampuni kama Barrick yanaendeshwa chini ya kivuli cha mkataba waliowekeana na viongozi wetu. Such a legal contract has no conscience and no loyalty to people or place. The people who work for Barrick are merely employees subject to dismissal if they bring to bear any interests other than the short-term profits of wanaomiliki hisa.
Tufanye nini?
It is sobering to note that the corporation is one of the most authoritarian of human institutions. Kama alivyosema Mzee Field Mashal ES, in the US system for instance, the corporation can virtually hire and fire any worker, open and close any plant, change transfer prices, create and drop product lines almost at will-with no meaningful recourse by the persons or communities affected. Kinacholeta sura ya utu na kuthubutu kuficha unyama wa makampuni makubwa ndani ya Marekani ni kuwepo kwa demokrasi ndani ya nchi na kuhakikisha kuwa hakuna mtu anakuwa juu ya sheria.
Si kweli kuwa watu hawapendi kugoma Marekani, na pia si kweli kuwa makampuni yana roho za utu ndani ya Marekani. Demokrasia + Sheria ndani ya Marekani ndivyo vinahepusha shari. Hata kama kampuni umeianzisha wewe mwenyewe na unaimiliki wewe, usipokuwa mwangalifu unaweza kwenda jela au ukafa kwa ugonjwa wa moyo.
Kinachoniuma ni kuwa wanayaamrisha haya makampuni yao makubwa yazifanyie nchi zetu vitu ambavyo wao hawawezi kukubali kufanyiwa. Kwa mantiki hii, we need to de-corporatise Globalisation. To establish the democratic accountability of our national and local governments through reforms that sharply curtail the political influence of corporations and big money. Only then will the way be cleared to create society that place human and natural interests ahead of corporate interests.
Lazima tukumbuke kwamba kampuni hii inasifika nchini kwetu kwa mikataba ya kiulaghai isiyo na manufaa kwa taifa letu. Kama hawana manufaa kwa nchi yetu, hawawezi kuwa na manufaa kwa wana wa nchi yetu pia.
Nimeona niweke Extract ya New Labor law:
sehemu ya migomo tu:
Kyoma,
Nimekupata sana mkuu. Well said sina la kuongeza.
Cha muhimu ni kuhakikisha kila tukipata nafasi tunawaelimisha watanzania, mwisho wa siku wote watakuwa wanaelewa haki zao za msingi.
Mambo yatakuwa super kuanzia hapo.
Mifano ni kama wale wafanyakazi wa Northwest Airlines, ule mgomo mkubwa wa manesi, au wale wafanyakazi wa treni to name a few. Anyhow...
Muajiri, anayo haki ya kutoa deadline kwa wafanyakazi kurudi kazini wasiporudi, yeye anwaajiri wengine under temporary clause na hiyo temporary thing inaweza kudumu hata kwa miaka mitano, muajiri akisubiri UNIONS kukubali offer yake on the table mkuu! Mkuu nimeishi kule na nimewahi kufanya kazi under the UNIONS mkuu toka nikiwa baharia, Greece na Belgium, ndio mana hili ninalielewa sana mkuu, sio kwamba ninabahatisha, huwezi kuwa baharia wa kweli bila kuwa under UNIONS!........
Naomba kukupa mfano mdogo ambao unaweza kufuatilia hata kwenye internent, kuna kampuni moja inaitwa Waste Management, wafanyakazi wake waligoma mwaka jana, shirika hilo la kukusanya uchafu wa nyumbani likatoa offer ambayo mpaka leo UNIONS za hao waajiriwa hawajazikubali, kwa hiyo kampuni ile iaajiri watu wapya wa temporary, mku mpaka leo bado mgomo unaendelea na kampuni hiyo inaendelea!