Wafanyakazi barrick-bulyanhulu kugoma kesho.

menyidyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
1,339
194
Taarifa nilizopata toka kwa informer aliyeko mgodini zinasema kuwa kesho wafanyakazi wa underground kugoma iwapo general meneja hatawasikiliza madai yao. wiki iliyopita kulikuwa na kikao kati ya production meneja na wafanyakaz lakini mwisho wa kikao aliwataka wafanyakazi ambao hawajarizika na mgodi waache kazi. pamoja na vikao vingi na vingine vinavyoendelea mpaka sasa matakwa ya wafanyakazi hayajapatiwa ufumbuzi. hivyo kesho gm asipowasikiliza hawatashuka underground. lakini mpaka jioni hii bado kulikuwa na mkanganyiko wa wafanyakazi wengine wakiunga mkono na wengine kutokuunga mkono mgomo.
 
wanachotakiwa kufanya ni kugoma na kuitisha mkutano na waandishi wa habari/wananchi waeleze kinagaubaga production ikoje, itatusaidia kujua takwimu dhahabu yetu inakombwa kiasi gani. uone wananchi watakavyo-react.
 
binafsi sekta nzima ya madini inatakiwa kupitiwa mpya. kesho wafanyakazi barrick wanaweza kuandika historia.
 
Back
Top Bottom