Wafanyakazi atcl walilia mshahara;serikali yajiuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyakazi atcl walilia mshahara;serikali yajiuma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 5, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,319
  Likes Received: 5,645
  Trophy Points: 280
  Habari zilizotufikia hivi punde na mwandishi wetu bahati mwangulume zinasema kwamba wafanyakaazi wa ATCL hawajalipwa mshahra wa mwezi mpaka sasa na huku wengine wakiendelea kukopa kwenye taasisi bila mafanikio kutokana na uwezo wa kampuni;akiongea na mwandishi wetu bibie mmoja anasema kwa kweli mama yangu amekuwa akiteseka sana hatuna baba mpaka sasa ajalipwa mshara mpaka namwonea huruma;huku watoto wakiangaika kuna habari zinasema wengine wameanza kutafuta kazi mashirika mengine kwa ajili ya kazi;halii hii naona imeikumba mashirika makubwa hata majuzi kampuni kubwa za simu CELTEL wametangaza kupunguza wafanyakazi 400 baada ya kuwaajiri ovyo kwa ajira za mapenzi hatimae SASA WAMEMAMUA KUWATOSA MABINTI WA WATU;
  Msikate tamaa wafanyakazi wa ATCL hilo ndilo shirika lenu;na hii ndio nchi yenu...tulipomtafuta mhusika mkuu wa mshahara walituelekeza kwa bwana mmoja ambae nae alitukana na kuomba tusimwandike kwenye habari kwa kulinda ajira zake;yeye alisema anashugulika na swala la cheque tu;
  Swali langu naomba kuuliza seriikali ina msimamo gani kuhusu hii kampuni;haiwezekani leo hii kuwapa pressure wazee waliolitumikia shirika zaidi ya miaka 30 kwa kusota mshara hata kshindwa kunulia wajukuu zao nguo za sikukuu ya pasaka;kama mnajua hali ndio hii kwaninimsiwape watu haki zao wakaondoka kwa amani...hata baadhi ya wafanyakazi walipoulizwa walikiri kweli hali ni ngumu mshahara unatoka katikati ya mwezi wizi mtupu;kama hivyo kwa nini msiwape watu nafasi wakaamua kuondoka na kulipwa haki zao ;
  ;kwa niaba ya wote wapenda nchi yetu tunawatakia mema wafanyakazi wote wa ATCL sikuku njema ya EASTER.......
   
Loading...