bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,016
- 4,961
Jaman nimecheka Mimi, kweli kufa kafaanaAjira zitangazwe haraka ndugu na jamaa zetu wapate ajira. Hongera magufuri. Ccm mbele kwa mbele.
By
Babu okotookota wa Ifakara
Jaman nimecheka Mimi, kweli kufa kafaanaAjira zitangazwe haraka ndugu na jamaa zetu wapate ajira. Hongera magufuri. Ccm mbele kwa mbele.
By
Babu okotookota wa Ifakara
Hawa ni watu wenye ujuz kabisa leo wanaondoka muhimbili pamoja na changamoto zote za utabibu zilizopo pale, MH. Ungedeal na hawa wanaonza kuingia makazini hao waliopo wangepotea wenyewe tu nje ya hapo mtaua watu pressure na pia tutapungukiwa na wataalamu hasa katika sekta muhimu kama ya afya.
Yaani wewe unawazia kupata ajira juu ya maumivu ya wenzio?
Hata hiyo ya Jeshi ikiwekwa hadharani haiwafaidii chochote hawa waliokwisha tajwa. Maana hawa elimu zao walizopata juu ya cheti fake zinaenda kufutwa wakaanze shule upya kulingana na vyeti vyao Halisi.Kuna kasoro kubwa sana mahali na watakaoumia ni wale ambao hawana watetezi. Kama hili zoezi ni la haki na huru kwa Watanzania wote kwanini list ya wahusika wa Jeshi na Polisi nayo haiwekwi hadharani? KULIKONI?
ndo kiswahili gani,andazi wewe...bila shaka hao ndio wale wa kupasua kicha badala ya goti tehetehe
Mdau ungerusha pdf document ili tuisome vizuri.
Lete pdf
Wataalam gani hao wa kufoji tunaanza upya wapo wataalam wa ukweli ma hawana ajira hao wezi wa elimu wakae tu pembeniHawa ni watu wenye ujuz kabisa leo wanaondoka muhimbili pamoja na changamoto zote za utabibu zilizopo pale, MH. Ungedeal na hawa wanaonza kuingia makazini hao waliopo wangepotea wenyewe tu nje ya hapo mtaua watu pressure na pia tutapungukiwa na wataalamu hasa katika sekta muhimu kama ya afya.
Watakaa pembeni na haajiriwi mtuWataalam gani hao wa kufoji tunaanza upya wapo wataalam wa ukweli ma hawana ajira hao wezi wa elimu wakae tu pembeni
Natambua mkuu kwamba experience ni muhimu.Ila experience ije baada ya kujua kilicho nyuma ya pazia au kujua the theory behind what you are doing,hii inaongeza efficiency.Halafu mkuu jiulize,anayekufanya wewe uwe na experience ni nani?Nadhani ni mtu aliyesomea hiyo fani.Sasa tukisema experience inatosha,hiyo experience itapatikanaje bila wasomi wakui-impart?Huoni kwamba ni kitendawili.In addition mkuu experience pekee inaweza kusaidia kiasi fulani in some areas,lakini sio kila sehemu.Na hata huko ambako experiece peke yake inaweza kusaidia,ili kuongeza efficiency,lazima mtu awe na appropriate education and certificates.Sasa mkuu utaniambia kweli kwamba "kuunda'' simu (sio kutengeneza)unahitaji experience peke yake au kuzalisha variety ya Mpunga you only need experience,nadhani itakuwa kichekesho.Kila eneo linahitaji elimu mkuu,tusijidanganye.Na kama tunaweza kuwa na mtu ambaye ana elimu na experience,kwa nini tu opt for one with only experience,I think it doesn't make sense.Dunia nzima wanakubaliana ya kuwa Elimu ni muhimu sana na pia tunatakiwa kutambua kuna Elimu nje ya kuta nne za darasa, kuna Elimu za aina nying sana lakini Elimu bora kuliko zote ni Elimu ya Maarifa au Ufahamu ambayo inapatikana kupitia Experience. Ndio maana Dunia nzima hakuna kazi inayotangazwa kwa sasa kusiwepo kipengere cha Experience so kutambua umuhimu ya Elimu hii pia ni muhimu sana
Leo ukiangalia waliofukuzwa wengi ni kutokana na vyeti vya O &A level sasa niambie kuna mtaalamu gani anazalishwa kuanzia form 1-6?
Pia jambo hili ni aibu sana kwa nchi madhara yake hayawezi kuonekana sasa lakini nataka kukwambia Watanganyika mnakwenda kuonekana ni watu wenye Mifumo ya Elimu ya kimagumashi mifumo ambayo mtu anaweza kufoji cheti au kuchukua cheti cha mtu mwingine nakuendelea na Elimu ya juu watu wanajiuliza kama zaidi ya watu 10000 tena ni kada mbili tu Afya na Elimu bado kwingine wameweza kudanganya Serikali yenye Necta na TCU je itakuwa mashirika na taasisi ambazo hazina vitu hvyo ajira za taasisi na mashirika ya kimataifa zinakwenda kuwa ngumu sana kwa Watanganyika soon
Hakika, tena sekta ya afya haitaki ubabaishaji, lakini wanawatetea.Ndio hawa kila mara unasikia wamesababisha vifo kwa uzembe..
Na kuna viazi wanawatetea..
Ndugu tunapozungumzia Elimu ambayo inazalisha wataalamu ni Elimu ya juu na tatizo ambalo wengi limewakumba ni vyeti vya O & A level ambapo ni Elimu ambayo ni kama basics ya kile utakachokikuta mbele kielimu. Hakuna wataalamu wanaozalishwa kuanzia form 1-6 pia utakubaliana na mm kuwa pamoja na Elimu ya darasani kuna Elimu nyingine nje ya kuta nne za darasa ambayo ni Elimu ya Ufahamu au Maarifa ambayo inapatikana through Experience kitu ambacho wengi waliofukuzwa kazi tayari Elimu hii wanayoNatambua mkuu kwamba experience ni muhimu.Ila experience ije baada ya kujua kilicho nyuma ya pazia au kujua the theory behind what you are doing.Halafu mkuu jiulize,anayekufanya wewe uwe na experience ni nani?Nadhani ni mtu aliyesomea hiyo fani.Sasa tukisema experience inatosha,hiyo experience itapatikanaje bila wasomi wakui-impart?Huoni kwamba ni kitendawili.In addition mkuu experience pekee inaweza kusaidia kiasi fulani in some areas,lakini sio kila sehemu.Na hata huko ambako experiece peke yake inaweza kusaidia,ili kuongeza efficiency,lazima mtu awe na appropriate education and certificates.Sasa mkuu utaniambia kweli kwamba "kuunda'' simu (sio kutengeneza)unahitaji experience peke yake au kuzalisha variety ya Mpunga you only need experience,nadhani itakuwa kichekesho.Kila eneo linahitaji elimu mkuu,tusijidanganye.Na kama tunaweza kuwa na mtu ambaye ana elimu na experience,kwa nini tu opt for one with only experience,I think it doesn't make sense.
Kwa idadi ya watu wanaolalamikia necta....nina mashakaSijui ni wazuri kiasi gani hawa kwenye record keeping. Haki itendeke au kutakuwa na vilio vya kusaga na meno.
Nakubaliana na wewe mkuu 100% kwamba zoezi limekosa credibility kwa kuwa wengine wameachwa.Hata hivyo ni mwanzo mzuri. I do not however concur with you on the other points.Ndugu tunapozungumzia Elimu ambayo inazalisha wataalamu ni Elimu ya juu na tatizo ambalo wengi limewakumba ni vyeti vya O & A level ambapo ni Elimu ambayo ni kama basics ya kile utakachokikuta mbele kielimu. Hakuna wataalamu wanaozalishwa kuanzia form 1-6 pia utakubaliana na mm kuwa pamoja na Elimu ya darasani kuna Elimu nyingine nje ya kuta nne za darasa ambayo ni Elimu ya Ufahamu au Maarifa ambayo inapatikana through Experience kitu ambacho wengi waliofukuzwa kazi tayari Elimu hii wanayo
Mfano mm sisemi kwamba waliofoji vyeti wako sawa hapana wamekosea sana lakini pamoja na kukosea tayari hii ni Product ambayo hipo tayari kwa matumizi tofauti na leo ukiajiri watu wengine wapya. Hapa tayari kosa limeshafanyika na hii ni kutokana na mifumo ya Kielimu na ajira kuruhusu watu ambao ni Fake kuingia kwenye sehemu ya Original
Ningekuwa ni mm wala nisingefukuza Product hii, ndugu hakuna jambo gumu na baya kama kumuumiza mtu kiakili ni kufanya yule aliyefoji cheti cha form 4 akasome na yule aliyefoji cha sex naye wakasome unatoa muda wa miaka 2 kwani kuna Elimu ya QT then ni kutengeneza mfumo ambao hautoruhusu tena ujinga huu kujirudia kwani mpaka sasa hata wakifukuzwa hawa bado mfumo unaruhusu watu fake kuendelea kufoji na kupata ajira au kuendelea na Elimu ya juu, pia swala hili linakosa credibility kwa sababu limegusa watu wachache tu na wengi wameachwa
Kuna kasoro kubwa sana mahali na watakaoumia ni wale ambao hawana watetezi. Kama hili zoezi ni la haki na huru kwa Watanzania wote kwanini list ya wahusika wa Jeshi na Polisi nayo haiwekwi hadharani? KULIKONI?