Wafanyabiashara zaidi ya 150 katika kituo kikuu cha mabasi Moshi wamegoma kufungua maduka wakipinga ongezeko la kodi

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Imeripotiwa kuwa wafanyabiashara wa stendi ya mabasi Moshi wamelazimika kufunga maduka yao baada ya ongezeko la kodi ya pango kwa mwezi, wamedai kuwa ongezeko la kodi linawataka kulipa kiasi cha shilingi 400,000 kwa mwezi kutoka shilingi 30,000 ya awali
 
Kuna upotoshaji mkubwa katika suala hili. Kulikuwa na wawekezaji walioingia mkataba wa uwekezaji na Halmashauri wa kujenga jengo la stendi kuu ya mabasi Moshi. Kwa mujibu wa mkataba huo, baada ya jengo kukamilika, walilipa kodi ya Sh30,000 kwa mwezi kwa miaka 15.

Mkataba huu wa miaka 15 ulimalizika Desemba 2018 na jengo sasa limerudi mikononi mwa wananchi kupitia Halmashauri ya Manispaa ya Moshi. Mwaka mmoja kabla ya kumalizika kwa mkataba, halmashauri iliwapa notisi kuwa ifikapo Desemba 2018 mkataba baina yao utakuwa umemalizika na Halmashauri ndio atakuwa landlord hivyo wale watakaotaka kuendelea kuwa wapangaji wangepewa kipaumbele.

Halmashauri ilifanya uchunguzi na kubaini kuwa hao waliowekeza sio waliokuwa wakifanya biashara bali nao waliwapangishia wafanyabiashara ambao kwa vyumba vya biashara vilivyopo ground floor wanawatoza kodi ya kati ya Sh500,000 na Sh600,000 wakati vyumba vya biashara vilivyopo ghorofani wakitoza kodi ya kati ya Sh300,000 na Sh400,000.

Kutokana na utafiti huo, halmashauri ikagundua hao wanaodai kodi imepandishwa kutoka sh30,000 kwa mwezi hadi Sh600,000 sio ambao wanafanya biashara. Ikatangaza zabuni kwa wanaotaka vyumba vya biashara kuwasilisha kuomba. Zabuni zilipofunguliwa Halmashauri ikashangaa wapo waliotenda kwa kati ya Sh600,000 na Sh900,000 kwa mwezi katika nyumba vile vile ambavyo wale walioingia mkataba wa uwekezaji walikuwa wanalipa Sh30,000 kwa mwezi.

Kelele zinazosikika sasa hazitoki kwa wafanyabiashara halisi bali wale waliokuwa wananufaika kwa kuwapangishia pesa ya juu hadi Sh600,000 wakati wao wakiilipa halmashauri kodi ya Sh30,000. Kifupi huu ni uhujumu uchumi na Rais John Magufuli na Serikali yake wanapaswa kuwakamata hao na kuwatupa mahabusu.

Wanachokifanya hakina tofauti na nyumba za NHC. Kuna mchezo mchafu sana wa subletting kwa baadhi ya nyumba za biashara na za kuishi zilizopo maeneo ya kibiashara au CBD. Kama hao wawekezaji wanaona hawawezi kupanga hapo stendi, wawaachie wale waliowapangisha ambao wanalipa viwango hivyo tangu miaka 10 hadi 15 iliyopita. Waache wizi wa mchana huo upigaji dili ulishapitwa na wakati

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
 
Kuna upotoshaji mkubwa katika suala hili. Kulikuwa na wawekezaji walioingia mkataba wa uwekezaji na Halmashauri wa kujenga jengo la stendi kuu ya mabasi Moshi. Kwa mujibu wa mkataba huo, baada ya jengo kukamilika, walilipa kodi ya Sh30,000 kwa mwezi kwa miaka 15. Mkataba huu wa miaka 15 ulimalizika Desemba 2018 na jengo sasa limerudi mikononi mwa wananchi kupitia Halmashauri ya Manispaa ya Moshi. Mwaka mmoja kabla ya kumalizika kwa mkataba, halmashauri iliwapa notisi kuwa ifikapo Desemba 2018 mkataba baina yao utakuwa umemalizika na Halmashauri ndio atakuwa landlord hivyo wale watakaotaka kuendelea kuwa wapangaji wangepewa kipaumbele. Halmashauri ilifanya uchunguzi na kubaini kuwa hao waliowekeza sio waliokuwa wakifanya biashara bali nao waliwapangishia wafanyabiashara ambao kwa vyumba vya biashara vilivyopo ground floor wanawatoza kodi ya kati ya Sh500,000 na Sh600,000 wakati vyumba vya biashara vilivyopo ghorofani wakitoza kodi ya kati ya Sh300,000 na Sh400,000. Kutokana na utafiti huo, halmashauri ikagundua hao wanaodai kodi imepandishwa kutoka sh30,000 kwa mwezi hadi Sh600,000 sio ambao wanafanya biashara. Ikatangaza zabuni kwa wanaotaka vyumba vya biashara kuwasilisha kuomba. Zabuni zilipofunguliwa Halmashauri ikashangaa wapo waliotenda kwa kati ya Sh600,000 na Sh900,000 kwa mwezi katika nyumba vile vile ambavyo wale walioingia mkataba wa uwekezaji walikuwa wanalipa Sh30,000 kwa mwezi. Kelele zinazosikika sasa hazitoki kwa wafanyabiashara halisi bali wale waliokuwa wananufaika kwa kuwapangishia pesa ya juu hadi Sh600,000 wakati wao wakiilipa halmashauri kodi ya Sh30,000. Kifupi huu ni uhujumu uchumi na Rais John Magufuli na Serikali yake wanapaswa kuwakamata hao na kuwatupa mahabusu. Wanachokifanya hakina tofauti na nyumba za NHC. Kuna mchezo mchafu sana wa subletting kwa baadhi ya nyumba za biashara na za kuishi zilizopo maeneo ya kibiashara au CBD. Kama hao wawekezaji wanaona hawawezi kupanga hapo stendi, wawaachie wale waliowapangisha ambao wanalipa viwango hivyo tangu miaka 10 hadi 15 iliyopita. Waache wizi wa mchana huo upigaji dili ulishapitwa na wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]Aseee .....

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Kuna upotoshaji mkubwa katika suala hili. Kulikuwa na wawekezaji walioingia mkataba wa uwekezaji na Halmashauri wa kujenga jengo la stendi kuu ya mabasi Moshi. Kwa mujibu wa mkataba huo, baada ya jengo kukamilika, walilipa kodi ya Sh30,000 kwa mwezi kwa miaka 15.

Mkataba huu wa miaka 15 ulimalizika Desemba 2018 na jengo sasa limerudi mikononi mwa wananchi kupitia Halmashauri ya Manispaa ya Moshi. Mwaka mmoja kabla ya kumalizika kwa mkataba, halmashauri iliwapa notisi kuwa ifikapo Desemba 2018 mkataba baina yao utakuwa umemalizika na Halmashauri ndio atakuwa landlord hivyo wale watakaotaka kuendelea kuwa wapangaji wangepewa kipaumbele.

Halmashauri ilifanya uchunguzi na kubaini kuwa hao waliowekeza sio waliokuwa wakifanya biashara bali nao waliwapangishia wafanyabiashara ambao kwa vyumba vya biashara vilivyopo ground floor wanawatoza kodi ya kati ya Sh500,000 na Sh600,000 wakati vyumba vya biashara vilivyopo ghorofani wakitoza kodi ya kati ya Sh300,000 na Sh400,000.

Kutokana na utafiti huo, halmashauri ikagundua hao wanaodai kodi imepandishwa kutoka sh30,000 kwa mwezi hadi Sh600,000 sio ambao wanafanya biashara. Ikatangaza zabuni kwa wanaotaka vyumba vya biashara kuwasilisha kuomba. Zabuni zilipofunguliwa Halmashauri ikashangaa wapo waliotenda kwa kati ya Sh600,000 na Sh900,000 kwa mwezi katika nyumba vile vile ambavyo wale walioingia mkataba wa uwekezaji walikuwa wanalipa Sh30,000 kwa mwezi.

Kelele zinazosikika sasa hazitoki kwa wafanyabiashara halisi bali wale waliokuwa wananufaika kwa kuwapangishia pesa ya juu hadi Sh600,000 wakati wao wakiilipa halmashauri kodi ya Sh30,000. Kifupi huu ni uhujumu uchumi na Rais John Magufuli na Serikali yake wanapaswa kuwakamata hao na kuwatupa mahabusu.

Wanachokifanya hakina tofauti na nyumba za NHC. Kuna mchezo mchafu sana wa subletting kwa baadhi ya nyumba za biashara na za kuishi zilizopo maeneo ya kibiashara au CBD. Kama hao wawekezaji wanaona hawawezi kupanga hapo stendi, wawaachie wale waliowapangisha ambao wanalipa viwango hivyo tangu miaka 10 hadi 15 iliyopita. Waache wizi wa mchana huo upigaji dili ulishapitwa na wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Hili janga lilishanikuta sumbawanga kwenye fremu za stand kuu, mi namlipa aliyenipangishia laki na ishirini wakati yeye anapeleka manispaa 20 tu
 
He!!! Kuna kazi hapo
 
Back
Top Bottom