OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,525
Kuna Shida ya uelewa na Siri kubwa iliyojificha kwa baadhi ya wafanyabiashara kariakoo ambao wanitumie majina ya watu ambao hawapo kwenye kusajili biashara zao , mfano inakuta Mtu anasajili biashara moja kwa jina lake la kwanza na ukoo then biashara nyingine anasajili kwa jina lake na la baba yake then nyingine kwa jina la ukoo na la baba!
Shida na balaa imeanza pale unapotakiwa kuweka biometric zako ( vidole na Picha yako kwenye system ya TRA) Mtu Huyu hawezi kujibadili lazima achague jina moja na kubwa zaidi unamkuta Ana leseni ya gari ambayo hizo biometric zimechukuliwa anakuwa blocked kujisajili Mara ya pili na system ndio mambo ya technology !! Sasa baadhi ya watu wenye Shida hii ndio wanaimiza mgomo kariakoo nakubaliana bei iko juu lakini kwa wafanyabiashara aw kariakoo wanashida ya kulipa kodi ndio maana hata Mwaka huu waliliwa baada ya kuagiza Mizigo ilipokamatwa bandarini waliikimbia maana walikuwa wamefanya udanganyifu mwingi sana ! Wafanyakazi wanalipa kodi kwa uaminifu sana ni time ya business people.
Hayo maneno tu ya kijiweni bana,hii ni mamlaka kamili kabisa tulitegemea waje na njia inayotekelezeka na endelevu kwa gharama zao na kuanzisha mfumo wa kuweka hizo mashine madukani halafu ufuatiliaji uwe computerized kwa clusters husika na field officers wachache kuhakikisha na kufanya repair,then "phantoms" wote wangenasa tu! !!!!!!!!!!
Hivi unakaaje na mtu unayemshuku mwizi kumbemebeleza avae tag ili wengine wamjue kwa tabia yake.Sheria inakuruhusu,kamata valisha tag weka sensitization miongoni mwa jamii liachie jizi watu watalitambua!!!!!!!!
Wewe hata tag unataka anunue huyo huyo mwizi wako, unadhamira kweli wewe,unajitambua,umeamua kweli kukamata mwizi????!!!!!!!
Halafu kwa nini mnataka sana kuamsha antagonism kati ya wafanya kazi na wafanya biashara???!!!Wote kwa pamoja tuwabane TRA waje na njia inayoonesha nia na uwekezaji endelevu katika muundombinu wa kukusanya kodi kwa manufaa ya Taifa.