Wafanyabiashara wenye maduka Kariakoo wagoma kufungua Maduka wakipinga mashine za TRA

Kuna Shida ya uelewa na Siri kubwa iliyojificha kwa baadhi ya wafanyabiashara kariakoo ambao wanitumie majina ya watu ambao hawapo kwenye kusajili biashara zao , mfano inakuta Mtu anasajili biashara moja kwa jina lake la kwanza na ukoo then biashara nyingine anasajili kwa jina lake na la baba yake then nyingine kwa jina la ukoo na la baba!
Shida na balaa imeanza pale unapotakiwa kuweka biometric zako ( vidole na Picha yako kwenye system ya TRA) Mtu Huyu hawezi kujibadili lazima achague jina moja na kubwa zaidi unamkuta Ana leseni ya gari ambayo hizo biometric zimechukuliwa anakuwa blocked kujisajili Mara ya pili na system ndio mambo ya technology !! Sasa baadhi ya watu wenye Shida hii ndio wanaimiza mgomo kariakoo nakubaliana bei iko juu lakini kwa wafanyabiashara aw kariakoo wanashida ya kulipa kodi ndio maana hata Mwaka huu waliliwa baada ya kuagiza Mizigo ilipokamatwa bandarini waliikimbia maana walikuwa wamefanya udanganyifu mwingi sana ! Wafanyakazi wanalipa kodi kwa uaminifu sana ni time ya business people.

Hayo maneno tu ya kijiweni bana,hii ni mamlaka kamili kabisa tulitegemea waje na njia inayotekelezeka na endelevu kwa gharama zao na kuanzisha mfumo wa kuweka hizo mashine madukani halafu ufuatiliaji uwe computerized kwa clusters husika na field officers wachache kuhakikisha na kufanya repair,then "phantoms" wote wangenasa tu! !!!!!!!!!!

Hivi unakaaje na mtu unayemshuku mwizi kumbemebeleza avae tag ili wengine wamjue kwa tabia yake.Sheria inakuruhusu,kamata valisha tag weka sensitization miongoni mwa jamii liachie jizi watu watalitambua!!!!!!!!

Wewe hata tag unataka anunue huyo huyo mwizi wako, unadhamira kweli wewe,unajitambua,umeamua kweli kukamata mwizi????!!!!!!!

Halafu kwa nini mnataka sana kuamsha antagonism kati ya wafanya kazi na wafanya biashara???!!!Wote kwa pamoja tuwabane TRA waje na njia inayoonesha nia na uwekezaji endelevu katika muundombinu wa kukusanya kodi kwa manufaa ya Taifa.
 
Cheka.ukimaliza njoo kwenye hoja ya msingi as kucheka ni sehemu ya kupumzisha ubongo na oia hutumika kuficha confusion!!!!

Mimi nafanya kazi na ninafanya biashara na kote nalipa kodi,sisi wafanya kazi inakatwa juu kwa juu hata wewe muhusika hujashika hayo malipo yako!!!!!

Nakuhakikishia hakuna mfanyabiashara mwenye ubavu wa kugoma kama huu mchakato ungekuwa smooth,feasible,justy and sustainable!!!!!Watu hawa miongoni mwao wanasafiri sana nje na wanajua mengi juu ya kodi kuliko labda hata hao wakusanya kodi wa "hapo mikocheni" hawa ndio wanaingiza samasung na sumsang na wanajua bei za kuzalishia na kuuzia ndio maana wanasema they are damn too expensive!!!!!!!!!!

Hivi umejiuliza kwa nini TRA hawajaleta mashine wenyewe na kusema kuwa tutapita madukani na kufunga na monitoring iwe centrally administered with field supervisors on and off????!!!!!Was not this the prooer way of enforcing the law you are talking about?????!!!!!Rather than bargaining on wether one should buy and to be paid later on????!!!!!!! Utekeleze sheria kwa pesa ya mlengwa wa sheria hiyo tena unamkopa kwa lazima,lazima ushindwe tu!!!!!!!!

Mkuu binafsi sijaona kosa la TRA. Isipokuwa nawaona wale wakwepa kodi wanaosajili biashara zao kwa majina tofauti tofauti ili wasijulikane kama wana biashara kubwa. Sasa linapokuja suala la kutumia mashine linageuka kuwa kikwazo kwao maana zitaminya mianya ya ukwepaji kodi. Labda niseme kitu kimoja, serikali si ya kipuuzi kama tunavyofikiri. Nyie wafanyabiashara endeleeni kugoma. Ila zoezi la vitambulisho vya taifa likiisha, mianya ya ukwepaji kodi itafungwa. Kitambulisho cha taifa ndicho kitakachotumika. No multiple registration or fake names zitapita kwenye system.
 
Mambo mawili makubwa kuhusu hili - Kwanza ni kwamba wafanyabiashara hawa siyo wanagoma kufungua maduka yao, bali wanagoma kulipa kodi. Hili ni jambo ambalo hakuna Serikali yoyote duniani inayoweza kulikubali. Kwenye hili, Serikali inaweza kabisa kuamua kuwanyang'anya liseni zao za biashara na wasiwe na la kufanya isipokuwa kuandamana. La pili, kwa Serikali ya Mhe JK ambayo ni Serikali sikivu na yenye huruma mkubwa kwa wananchi wake, ni kuamua kuwakopesha wafanyabiashara mashine hizo na kuamua kuwakata fedha hizo polepole. Ili kufanikisha hili, TRA inaweza kumlipa anayewa-supply mashine hizo na yenyewe ikawakata fedha hizo hawa wafanyabiashara wadogo. Kwenye hili, TRA inaweza kujifunza kutoka TANESCO na ulipiaji gharama za kuunganisha umeme. Mwisho, nadhani ni upuuzi kwa wafanyabiashara hao kugoma kwa sababu ugomaji huu unawaumiza wao zaidi kuliko Serikali. Watagoma mpaka lini na huu ndiyo uhai wao?
 
Biashara kubwa ni ipi????!!!!
Nikiwa na duka la nguo,hardware(Gypsum materials na rangi) na duka la nyaya na vifaa vya umeme yote yako mitaa tofauti kutokana na biashara! !!!!!!!

Na mwingine ni agent wa Tiles kutoka China nani mfanyabiashara mkubwa hapo???!!!

Mnazunguka tu tatizo; establish the system and sustain it kwa kila duka hata kama mtu anayo mia maduka si atakutana na mashine mia sasa taabu iko wapi mpaka tusubiri vitambulisho vya Taifa??!!!!!!
 
Mambo mawili makubwa kuhusu hili - Kwanza ni kwamba wafanyabiashara hawa siyo wanagoma kufungua maduka yao, bali wanagoma kulipa kodi. Hili ni jambo ambalo hakuna Serikali yoyote duniani inayoweza kulikubali. Kwenye hili, Serikali inaweza kabisa kuamua kuwanyang'anya liseni zao za biashara na wasiwe na la kufanya isipokuwa kuandamana. La pili, kwa Serikali ya Mhe JK ambayo ni Serikali sikivu na yenye huruma mkubwa kwa wananchi wake, ni kuamua kuwakopesha wafanyabiashara mashine hizo na kuamua kuwakata fedha hizo polepole. Ili kufanikisha hili, TRA inaweza kumlipa anayewa-supply mashine hizo na yenyewe ikawakata fedha hizo hawa wafanyabiashara wadogo. Kwenye hili, TRA inaweza kujifunza kutoka TANESCO na ulipiaji gharama za kuunganisha umeme. Mwisho, nadhani ni upuuzi kwa wafanyabiashara hao kugoma kwa sababu ugomaji huu unawaumiza wao zaidi kuliko Serikali. Watagoma mpaka lini na huu ndiyo uhai wao?

Hakuna mfanyabiashara ambaye hajui wajibu wa kulipa kodi; kwani mwanzo walikuwa hawalipi???!!!! Kabla ya mashine hizi; kama ndio then udhaifu si wa hao wenye mamlaka????

Kwa nini mnalazimisha huu muundo mbinu wa wao kifanyia kazi ubebwe na wafanya biashara???!!!! Hivi tangu kuanzishwa kwa hii taasisi wamewekeza kwenye nini kwa ajili ya wao kufanya kazi kwa ufasaha???!!!

Tanroads wananunua mizani yao,ewura wana vitendea kazi vyao,tbs wana maabara zao, msd wana cold chain/system,nfra wana ma go down,wakala wa mbegu ukitayarisha shamba wanakupa mtaalamu ma mbegu,kampuni za simu wanaweka mpaka mabango achilia mbali promotions;hawa TRA wamewekeza sehemu gani ya kurahisisha ufanyaji kazi wao?????!!!!!!
 
Mkuu binafsi sijaona kosa la TRA. Isipokuwa nawaona wale wakwepa kodi wanaosajili biashara zao kwa majina tofauti tofauti ili wasijulikane kama wana biashara kubwa. Sasa linapokuja suala la kutumia mashine linageuka kuwa kikwazo kwao maana zitaminya mianya ya ukwepaji kodi. Labda niseme kitu kimoja, serikali si ya kipuuzi kama tunavyofikiri. Nyie wafanyabiashara endeleeni kugoma. Ila zoezi la vitambulisho vya taifa likiisha, mianya ya ukwepaji kodi itafungwa. Kitambulisho cha taifa ndicho kitakachotumika. No multiple registration or fake names zitapita kwenye system.
acha ujinga mkuu,
tatizo ni bei ya hizo mashine ni bei za kifisadi,
thamani ya hizo mashine haziki hata laki2,
 
acha ujinga mkuu,
tatizo ni bei ya hizo mashine ni bei za kifisadi,
thamani ya hizo mashine haziki hata laki2,

Usipende kutumia akili za kushikiwa. Hakuna mashine ya laki mbili acha kutafuta sifa za kijinga. Usipende kuchanganya mambo na siasa muda wote. Bei za kifisadi bei za kifisadi who told you? Mbona pombe mnanunua kwa bei za kifisadi hamgomi? Lalamikeni mwisho wa yote lazima kodi mlipe.
 
Hayo maneno tu ya kijiweni bana,hii ni mamlaka kamili kabisa tulitegemea waje na njia inayotekelezeka na endelevu kwa gharama zao na kuanzisha mfumo wa kuweka hizo mashine madukani halafu ufuatiliaji uwe computerized kwa clusters husika na field officers wachache kuhakikisha na kufanya repair,then "phantoms" wote wangenasa tu! !!!!!!!!!!

Hivi unakaaje na mtu unayemshuku mwizi kumbemebeleza avae tag ili wengine wamjue kwa tabia yake.Sheria inakuruhusu,kamata valisha tag weka sensitization miongoni mwa jamii liachie jizi watu watalitambua!!!!!!!!

Wewe hata tag unataka anunue huyo huyo mwizi wako, unadhamira kweli wewe,unajitambua,umeamua kweli kukamata mwizi????!!!!!!!

Halafu kwa nini mnataka sana kuamsha antagonism kati ya wafanya kazi na wafanya biashara???!!!Wote kwa pamoja tuwabane TRA waje na njia inayoonesha nia na uwekezaji endelevu katika muundombinu wa kukusanya kodi kwa manufaa ya Taifa.

Neno haswa......baadaye tuwabane kwenye matumizi ya kodi zenyewe.....
 
Bravooooooo! Kiukweli huu ni wizi! unaweza kupata home theater au flat screen tv ya maana kwa laki 6 tu! sasa hiki kimashine hiki laki 9?Kariakoo ndio Tanzania sasa tuone jeuri ya TRA!!!
Heshima yako Mkuu wa Kaisho, Rwambaizi, Omurushaka. Ukweli wa mambo ni kwamba wafanya biashara wanaona mashine hizi zinawabana sana hapa wanaleta visingizio tu, kama wanauwezo wa kulipia pango mpaka million mbili kwa mwezi kwa nini washindwe kununua mashine za TRA wala sijui kama wanahuziwa mimi nilifikiri wanaweka deposit wanaweza kurudishiwa hela zao wakiacha biashara kama ilivyo kwa MaxMalipo na Selcom - (sina hakika na hilo). Mkuu unajua wafanyakazi wana mchango mkubwa sana kwa taifa hili kutokana na ulipaji wa kodi kila mwisho wa mwezi, hawana ujanja wa kukwepa kulipa kodi i.e P.A.Y.E . Tukija kwa wenzetu wafanya biashara suala la ulipaji kodi stahiki wanalichukulia kimzaa mzaa na actually wana mbinu nyingi za kukwepa kodi - ukilinganisha kodi na profit wanayo generate ni kama kulinganisha Mbingu na Dunia; ukienda dukani awaoni tabu kukuhuliza kama unataka risiti au la? hawana aibu hata kidogo! Alafu hii dhana ya kupotosha watu eti mashine hizo zinahuzwa kuanzia $50 - $250 huko Dubai hiyo naona ni hadaa tu, wenyewe wana utaalamu gani wa mashine hizo? wasiangalie sura za mashine cha muhimu ni mashine hizo zinaweza kutumika kufanya nini zaidi ya kutoa risiti i.e software zilizo kuwa installed kwenye mashini, waranti, after sale services etc ndio zina determine bei ya mwisho ya ununuzi wa mashini, kama ni suala la bei kuwa juu mbona hawalalamikii bei za mashini za Makampuni ya Selcom na MaxMalipo wako radhi kulipia mashine hizo kwa bei mbaya laki tisa onwards lakini inapokuja mashini za TRA wanaleta kiswahili kingine tena? Niliwahi kusoma sehemu wakilalamika eti hawajapewa semina ya kutosha kuhusu matumizi ya mashini za kulipia kodi, hiyo si kweli hata kidogo - kinacho tokea ni kwamba ma afisa wa TRA wanapo toa taarifa kwamba wafanya biashara waende kwenye Seminar zinazo husu matumizi ya mashine wenye maduka hawaendi wanacho fanya wanawatuma wasaidizi wao kuhudhulia mikutano! Which means wenye maduka hawako serious na zoezi zima lakini ndio wanaongoza kuleta migomo hisiyo na tija. Kama kuna tatizo kwa nini hawakai chini na TRA wakaelewana, mimi na sisitiza walipe kodi wasilete visingizio - waone aibu ya kushindwa na wafanyakazi ambao wanalipa kodi sahihi kila mwisho wa mwezi bila kusita, wakumbuke ulipaji kodi si hiari ni lazima - kama wana uchungu wa kweli wa Maendeleo ya Taifa letu wasitafute mbinu za kukwepa kulipa kodi.
 
hawa watu walipe kodi bhaana, tuache ii mambo ya kuskilizana saaana.........taifa tunalivuruga wenyewe mbona. juzi wasafirishaji, leo wenye maduka wagomee ......uu ni mshikamano wa kijuha kabisa. tulipe kodi tuinuke...!
 
Wakuu
Tufanye Kauchunguzi kadogo kuhusu hizi Electronic cash Ragister, na kwa kuanzia Tuanze na bei stahiki,
kwa mfano Nchi ya Republic of Georgia ni Georgian Lari GEL350 ( The price of the cash register and its maintenance), ambazo si zaidi ya TSH330,000/-

link; Cash Registers

kama wewe unaujua ukweli wowote tafadhali tusaidiane kuumwaga hapa kuliko kuingia katika malumbano ya kuwalaumu wafanyabiashara au kuwalaumu TRA na serikali bali tujikite katika kuweka ukweli bayana na data sahihi kuhusu huu mradi wa TRA !

Mimi naendelea kugoogle!
 
Muheshimiwa mbunge Mp Kalix2
yaani hawa ni zaidi hata ya traffic maana hwa hufunga kabisa biashara
traffi akila mwekundu wake anakuachia

Mkuu Inkoskaz
Asante kwa kunipaisha kwa sasa pamoja na kwamba mie si Mbunge ila naamini one day yes!Na nitakuwa mwaminifu kwa Umma na Masilahi yao.
 
Last edited by a moderator:
huyu ritz ni kidampa tu muokota chupa za plastik , sio ritz moko kikwekwe unayemjua, manake nawona umeanza kujipendekjeza sijui untaka tenda ya kuwa punda....
Mimi ninafanya Kazi yangu yenye Hshima kubwa sana katika jamii.
Namfahamu Ritz thru JF na ninajua kuwa ni Mwana Buku FC Lumumba, hayo ya kuwa ni Prince unayasema wewe, hata kama angekuwa ndiye, kwangu ni mtu wa kawaida sana aisee.
 
Last edited by a moderator:
Huku Mbeya mashine ikiharibika mtengenezaji ni mmoja tu,naye anachaji laki tano ya matengenezo...Nahisi mashine feki zinauzwa kwa makusudi ili kuwatengenezea ulaji watu fulani...Serikali inatakiwa kuchukua hatua kudhibiti hali hii.

hahaahaaa, nimecheka sana, JAMANI KUNA WATU WAONGO DUNIANI!...au mwenzetu uko mbeya ya wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom