Wafanyabiashara wauchambua utawala wa Rais Magufuli

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,172
23,975
Wadai nchi iko kwenye kipindi cha mpito ambapo haitakuwa ajabu kusikia baadhi ya watu wakilalamika sana kuhusu hali ya maisha.

Wamesema, kwa muda mrefu ilikuwa haijulikani ni nani anayefanya biashara halali na haramu kwa sababu kulikuwa na mfungamano wa biashara halali na haramu. Wametoa mfano, mtu aliyekopa benki na kujenga nyumba lakini anapata wapangaji ambao kipato chao kilikuwa haramu. Kudhibitiwa kwa biashara haramu kunamfanya mpangaji kushindwa kulipa kodi ya upangaji na matokeo yake hata mwenye nyumba anajikuta kwenye tatizo na benki kwa sababu wapangaji wake wameshindwa kulipa kodi.

Mabenki yalikuwa yanatoa mikono kwa watu wasiofaa kupewa mikopo na matokeo yake kwa sasa wameshindwa kulipa huku hali hiyo ikiathiri hata wale ambao wanafaa kupewa mikopo.

Wamedai uchumi uliokuwepo haukuwa endelevu na haunufaishi wananchi wote. Kwa mfano, viwanja kama kigamboni vilikuwa vinauzwa kwa bei ya shilingi milioni 100 kwa sababu kulikuwa na kundi la watu wenye pesa chafu ambao walikuwa wanaziwekeza kwenye ardhi na majengo. Bei hii ya viwanja na nyumba iliwaondoa katika soko wafanyakazi watii wengi serikalini na kwenye mashirika mbali mbali kwa sababu vipato vyao halali haviwawezeshi kununua kiwanja kwa bei hiyo mbaya zaidi hata serikali haikuweza kuongeza vipato vyao kwa sababu haikuwa na pesa za kutosha.

Baadhi yao wamedai, nchi inakoelekea kwa sasa ndio kwenye uchumi halisi wa mtanzania na katika kufanya hivyo kuna wengine wataathirika wakati huu wa mpito hasa ikichukuliwa kuwa asilimia 40 ya pesa za serikali zimeelekezwa kwenye maendeleo na siyo matumizi ofisini.

Anachokifanya Rais Magufuli ndicho kinachofanywa na wafanyabiashara makini. Fikra na shabaha yake ni sawa na wafanyabiashara makini kama vile kuzidisha mapato na kukata matumizi yasiyo ya lazima ambapo faida nzuri hupatikana ili kuwekeza tena kwenye jamii. Mafanikio ya kazi za Rais yataonekana baada ya miaka miwili na kuendelea.

Baadhi yao wamedai tulikuwa kwenye uchumi ambao kwa nje unaonekana mzuri lakini kwa ndani ulikuwa unaelekea shimoni.

Wengine wamewakosoa watendaji wa serikali kwa kutafsiri vibaya ujumbe wa Rais kuhusu vita vya ukwepaji kodi, ufisadi na rushwa kiasi kwamba kwa sasa wanadhani kila mfanyabiashara ni mkwepa kodi. Wanahitaji kuelewa sio kila mfanyabiashara ni mkwepa kodi na kwa maana hiyo, waboreshe huduma za customer service na kuwaona wafanyabiashara ni wadau muhimu wa maendeleo nchini.

VIDEO:
 
Chanzo tafadhali.
 
Hata mimi nilimsikia minja mwenyekiti wa wafanyabiashara akisema serikali ya awamu ya nne iliwaumiza sana wafanya biashara waadilifu kwa kua walikua wanafanya biashara na watu wasiolipa kodi,na haya mapesa ndiyo yalikua yanatengeneza ukuaji fake wa uchumi wetu. Ni wazi kua tulikua tumeuzwa hasa sisi maskini tulikua hatuna ushindani sawa na wakwepa kodi.
 
Wadai nchi iko kwenye kipindi cha mpito ambapo haitakuwa ajabu kusikia baadhi ya watu wakilalamika sana kuhusu hali ya maisha.

Wamesema, kwa muda mrefu ilikuwa haijulikani ni nani anayefanya biashara halali na haramu kwa sababu kulikuwa na mfungamano wa biashara halali na haramu. Wametoa mfano, mtu aliyekopa benki na kujenga nyumba lakini anapata wapangaji ambao kipato chao kilikuwa haramu. Kudhibitiwa kwa biashara haramu kunamfanya mpangaji kushindwa kulipa kodi ya upangaji na matokeo yake hata mwenye nyumba anajikuta kwenye tatizo na benki kwa sababu wapangaji wake wameshindwa kulipa kodi.

Mabenki yalikuwa yanatoa mikono kwa watu wasiofaa kupewa mikopo na matokeo yake kwa sasa wameshindwa kulipa huku hali hiyo ikiathiri hata wale ambao wanafaa kupewa mikopo.

Wamedai uchumi uliokuwepo haukuwa endelevu na haunufaishi wananchi wote. Kwa mfano, viwanja kama kigamboni vilikuwa vinauzwa kwa bei ya shilingi milioni 100 kwa sababu kulikuwa na kundi la watu wenye pesa chafu ambao walikuwa wanaziwekeza kwenye ardhi na majengo. Bei hii ya viwanja na nyumba iliwaondoa katika soko wafanyakazi watii wengi serikalini na kwenye mashirika mbali mbali kwa sababu vipato vyao halali haviwawezeshi kununua kiwanja kwa bei hiyo mbaya zaidi hata serikali haikuweza kuongeza vipato vyao kwa sababu haikuwa na pesa za kutosha.

Baadhi yao wamedai, nchi inakoelekea kwa sasa ndio kwenye uchumi halisi wa mtanzania na katika kufanya hivyo kuna wengine wataathirika wakati huu wa mpito hasa ikichukuliwa kuwa asilimia 40 ya pesa za serikali zimeelekezwa kwenye maendeleo na siyo matumizi ofisini.

Anachokifanya Rais Magufuli ndicho kinachofanywa na wafanyabiashara makini. Fikra na shabaha yake ni sawa na wafanyabiashara makini kama vile kuzidisha mapato na kukata matumizi yasiyo ya lazima ambapo faida nzuri hupatikana ili kuwekeza tena kwenye jamii. Mafanikio ya kazi za Rais yataonekana baada ya miaka miwili na kuendelea.

Baadhi yao wamedai tulikuwa kwenye uchumi ambao kwa nje unaonekana mzuri lakini kwa ndani ulikuwa unaelekea shimoni.

Wengine wamewakosoa watendaji wa serikali kwa kutafsiri vibaya ujumbe wa Rais kuhusu vita vya ukwepaji kodi, ufisadi na rushwa kiasi kwamba kwa sasa wanadhani kila mfanyabiashara ni mkwepa kodi. Wanahitaji kuelewa sio kila mfanyabiashara ni mkwepa kodi na kwa maana hiyo, waboreshe huduma za customer service na kuwaona wafanyabiashara ni wadau muhimu wa maendeleo nchini.

VIDEO:

Huo ndio ukweli. Tulikuwa na artficial economy tunatakiwa turudi kwenye uchumi halisi. Katika kurudi kwenye uchumi halisi ni hakika kuna kuumia lakini baada ya maumivu ya mpito mambo yatakaa sawa bila shaka.
 
Propaganda za ccm kwa kwa kwi kwi MAGUFULI ECONOMIC POLICIES DOOMED TO MAKE ANY SIGNIFICANT CHANGE alidanganya kuwa katika siku 100 tutaonana mabadiriko sasa mwaka na miezi anadaiwa mingine miwili iwe mitatu masikini majigambo yote kumbe nguvu ya soda
 
Katika awamu iliyopita dola ilikua inapanda kila kukicha kwa sasa naona dola imesimama pale pale haipandi wala haishuki naanza kuona mabadiliko ya uchumi. JK aliikuta dola 1 sawa na sh 700, ametoka ikiwa 2100 mpaka 2200
 
Heko kwa maelezo sahihi. Kwa sasa chini ya jpm taifa linapambani kusitisha uchumi wa kijambazi na wale waliyokua wafaidika wa uchumi wa kijambazi.

upande wa pili wa sh lazima ccm itakufa kwani uwepo wake ulitegemea fedha chafu
 
Propaganda za Lumumba utazijua tu!
Chondechonde CCM msitake kuwafanya Watanzania mazuzu!
Unazungumzia Wafanyibiashara gani hasa? Watu wanafunga biashara,mabenki yanauza real estates,watu wanafunga Viwanda, biashara zinahamia nchi za jirani n.k.!!!
Dangote Mfanyibiashsra mkubwa kabisa tayari amesimamisha uzalishaji n.k.
 
Majizi chadema mwambieni Mbowe alipe Deni la Nhc na pia alipe wafanyakazi wa gazeti la Tanzania daima.

Mwambieni aache maigizo ya kukata, funua na kushika ukuta
 
.
Aanze kwanza jpm kurudisha nyumba za serikali alizogaia washikaji kaa njugu.
 
Back
Top Bottom