Wafanyabiashara wanaouza sukari kinyume na bei elekezi wakamatwa.

SheriaE

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
606
446
Kamishna wa operesheni na mafunzo CP Liberatus Sabas amesema Jeshi la Polisi linashirikiana na mamlaka nyingine kufanya operesheni ya kuwakamata wafanyabiashara wanaouza sukari kinyume na bei elekezi ya serikali, ambapo tayari wafanyabiashara 36 wamekamatwa katika mikoa sita na tani 106,939 za sukari zimekamatwa.

Chanzo: ITV.
 
Back
Top Bottom