Wafanyabiashara walia ukata na utitiri wa kodi wa serikali ya awamu ya tano maduka yazidi kufungwa, k'koo inakufa

Tulihitaji ndege au LA? Tulihitaji umeme was maji au LA? Tulihitaji SGR au LA? Kama vyote tulihitaji alternatively tungefanyaje?
Vyote ni muhimu,kilichotakiwa vifanyike bila kiathiri mzunguko wa ndani maana mzunguko wa Pesa ukiwa chini utaathiri mapato ya mmoja mmoja ambao utaathiri mapato ya ndani ya nchi,hivo umasikini utaongezeka,umasikini ukioongezeka njaa uongezeka njaa ikiongezeka uchochea watu kuichukia serikali serikali ikichukiwa na watu wake haihitaji dakika adui kuisambaratisha.Shibe uleta uzalendo shibe uleta umoja
 
Duh, kama ni hivyo basi na mimi niungane na viongozi wangu kuwalaani Mabeberu hawa, wanatufilisi.
Mabeberu hawana shida,shida tunawatumia vipi kwa faida,hakuna taifa lolote duniani lililoshirikiana na mabeberu likawa fukara.
 
Tulihitaji ndege au LA? Tulihitaji umeme was maji au LA? Tulihitaji SGR au LA? Kama vyote tulihitaji alternatively tungefanyaje?

Tulihitaji ndege lakini haikuwa kipaombele, hatukuhitaji umeme wa maji kwani tayari tuna project ya umeme wa gas, SGR pia ingeweza kusubiri kisha zikafufuliwa na kuboreshwa reli zilizopo, kisha mapato kutoka kwenye hizo reli ndio yajenge SGR.
 
Haw

Hawa sumatra siji kuwasahau kwakweli kulupia hiyo 40000 vugezo vyake sio mchezo vinaweza fika garama laki5. Ukikamatwa hujalipa fine inenda mpaka 250000 ni moja ya vitu vilinifanya niuze gari la biashara. Traffic nao mpaka sasa sijaelewa lengo lao kuu la kukaa barabarani mpaka sasa ni kikwazo kweli kwa wamiliki wa magari
" Nikiwa Rais Mtalimia meno "
 
Magu alichemka hapo tu na amefanya hivyo ili apige pesa,ananua vitu nje ili afiche dili haramu za 50% maana akifanya ndani itakuwa rahisi kuvuja.

Hela aliyonunua ndege angeiweka kuwekeza kwenye Barabara kwa kiwango cha moramu au lami daraja la kawaida,kusambaza umeme vijiji vyote,tungekuwa mbali sana kiuchumi.

Leo ripoti inasema umasikini umepungua kwa 2% lakini katika real life masikini wameongezeka milioni 2 katika miaka hii minne yaani tangu magu aingine madarakani ameongeza masikini milioni 2 ina maana fedha ya watu milioni 2 imeenda kwa watu wachache ambao ni cartel yake kina BASHITE.
2milioni ni waathirika Wa ajira rasmi za moja kwa moja kila sekta kuanzia mabenk,viwandani,nk kwa sekta zisizo rasmi jumla ni 5 milioni wameathirika.Hakuna ajira mpya awamu hii
 
Vyote ni muhimu,kilichotakiwa vifanyike bila kiathiri mzunguko wa ndani maana mzunguko wa Pesa ukiwa chini utaathiri mapato ya mmoja mmoja ambao utaathiri mapato ya ndani ya nchi,hivo umasikini utaongezeka,umasikini ukioongezeka njaa uongezeka njaa ikiongezeka uchochea watu kuichukia serikali serikali ikichukiwa na watu wake haihitaji dakika adui kuisambaratisha.Shibe uleta uzalendo shibe uleta umoja
Umasikini hujaongezeka umepungua kwa ripoti ya karibuni..
 
Tulihitaji ndege lakini haikuwa kipaombele, hatukuhitaji umeme wa maji kwani tayari tuna project ya umeme wa gas, SGR pia ingeweza kusubiri kisha zikafufuliwa na kuboreshwa reli zilizopo, kisha mapato kutoka kwenye hizo reli ndio yajenge SGR.
Raha ya ngoma ingia uicheze...usichukulie mambo kirahisi rahisi hivyo...
 
Kwakifupi uchumi wa nchi umekua sio shirikishi, fedha nyingi imeelekezwa kwenye ujenzi wa miundombinu hivyo lazima maumivu yaonekane kwa wananchi, watumishi na wafanya biashara, watamtafuta mchawi kila siku lakini chanzo cha tatizo kinafahamika.
Kale kafomuka kwa GDP= C+I+ G( Exp --Imp) sijui hawa wadau wanakajua au mradi wao mambo yao yanawaendea tu basi ndio hawajali tena.
 
Umeeleza kidogo ila points ni nzuri Sana.
Ukweli Ndio huo. Pesa inaondoka sana kwenda ujenzi, serikali ingejitahidi kuboresha kilimo cha mazao ya bihashara, sekta ya ng'ombe na maziwa, kuku na bila kusahau uvuvi pia

Serikali inataka tangible achievements kwaajiri ya kampeni za 2020. Ili wakisema tumejenga flyover, zinaonekana. Tumejenga Stigler’s, inaonekana. Hawataki kusema tumeongeza ajira kwa sababu ambao hawana ajira hawatoamini kama ni kweli
 
nimefunga fremu zangu tano mapema sana. Utawala huu wa awamu ya5 uliingia na fujo za “lipa kodi kuwa mzalendo” kama mnakumbuka, nikafunga kila kitu. Serikali ya kijambazi sana hii.
 
Mimi nimeamua kufunga kampuni azilizokuwa kwenye ubia, kampuni 5.

Biashara ni kutengeneza faida na kukua, ukiona trend ni downward, usisubiri mpaka uanguke. Take tough decision, always there is a way out.

Kufunga biashara kabla hujaanguka na kupoteza mtaji ni uzalendo wa hali ya juu maana mazingira yatakapokuwa mazuri utarejea tena kwenye biashara na kutengeneza ajira na kuipatia serikali mapato stahili siyo ya kinyonyaji.
kabisa ni logic na ni kanuni. Kama vile unapohisi kizunguzungu unatakiwa ukae chini na ufumbe macho.

Ukipambana nacho na kuendelea kusimama utaanguka kwa kishindo, utazimia na unaweza ku paralyze au kufa kabisa
 
Awamu hii imekuwa sawa na kiwanda cha kuzalisha masikini aichochei ukuaji Wa Ajira kama awamu iliyopita, ili kuepusha bomu la ajira.
 
Ugumu wake ni nini? Au mnalazimisha tu yawe magumu? Kama kuna nia ya upigaji huenda ndio ugumu unapoanzia.
Mkuu usijidanganye.., ebu kuna hicho kichwa ufikir..., eti umeme wa gesi,unajua bei ya uniti moja ya umeme wa gesi wewe... Mnaongea hivi halafu kitu kikiwekwa mnaanza kuanzisha thread za kuiponda serikali...umeme wa maji ndo cheapest of all...,kwa nini tusiwekeze huko kwenye gharama nafuu ili most Tanzanians waweze afford..... Umeme wa gesi na ule wa nuclear ndo wenye gharama za juu zaidi kuliko source zote.... Halafu eti mapato ya reli hizi ndo yajengee SGR!!...unajua mapato yenyewe ni kiasi gan?...Au unafikir watu wanapenda kupanda treni siku tatu wako njiani waache mabasi ya siku moja tu..😕😕😕
 
Hapo kwenye maelezo ya Mwanza nimeshangaa mno, nilienda Mwanza wiki iliyopita nikiwa na private, basi nikawa napaki maeneo tofauti kumbe kuna watu wanapiga picha tu na wanaondoka na hawakuambii kitu.
Nilichokifanya baada ya siku 3 nikaondoka nikasema waje waikamate Dar tuone.
Mambo ya kuviziana awamu hii yameshika kasi bila hata kutumia akili.
Ndio maana huwa nashangaa Mwanza unakuta gari imepigwa chuma ikiwa kwenye parking kumbe ni mambo ya TARURA
 
umenena kweli ukweli ndoo huo
Hali ya Maisha hata biashara lzm iwe ngumu sababu tunaexport Pesa nyingi nje kuliko kuimport Pesa Pesa zinakwenda kukuza uchumi Wa uturuki ( SGR) kukuza uchumi Wa Misri( ujenzi wa stirlglers dam),pesa zimeenda Canada na USA kununua ndege.Zaidi ya tilioni 30 zilizoenda nje kwa hii miaka 4 kujenga nchi zingine mfano zingebaki mzunguko Wa ndani zikatumika kuchochea uzalishaji Wa ndani ili tuuze nje tuimport zaidi ya hizo tilioni ziingie ndani,zingesaidia kuinua uchumi na kuboresha unafuu Wa maisha
 
Back
Top Bottom