Wafanyabiashara walia ukata na utitiri wa kodi wa serikali ya awamu ya tano maduka yazidi kufungwa, k'koo inakufa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
FB_IMG_1575685228112.jpg
 
Hali ya Maisha hata biashara lzm iwe ngumu sababu tunaexport Pesa nyingi nje kuliko kuimport Pesa Pesa zinakwenda kukuza uchumi Wa uturuki ( SGR) kukuza uchumi Wa Misri( ujenzi wa stirlglers dam),pesa zimeenda Canada na USA kununua ndege.Zaidi ya tilioni 30 zilizoenda nje kwa hii miaka 4 kujenga nchi zingine mfano zingebaki mzunguko Wa ndani zikatumika kuchochea uzalishaji Wa ndani ili tuuze nje tuimport zaidi ya hizo tilioni ziingie ndani,zingesaidia kuinua uchumi na kuboresha unafuu Wa maisha
 
Umeeleza kidogo ila points ni nzuri Sana.
Ukweli Ndio huo. Pesa inaondoka sana kwenda ujenzi, serikali ingejitahidi kuboresha kilimo cha mazao ya bihashara, sekta ya ng'ombe na maziwa, kuku na bila kusahau uvuvi pia
 
Serikali inayowanyonga wanyonge wawe mafukara ili watawaliwe kirahisi,wao uvimbiwa kwa kunenepeana kwa kodi zetu kama kula kulala ugumu wa maisha wataujulia wapi hali awaendi sokoni.
 
Kuna uwendawazimu mkuvwa sana kwenye kodi na tozo mbalimbali nchi hii. Ukiweka biashara tu au kiwanda, ndiyo utajua kuwa nchi hii ni hopeless.

Utalipishwa kodi mpaka utakoma. Kama una kakiwanda, halafu unachozalisha unasafirisha, baada ya kodi na tozo kama 30 hivi, barabarani utakutana tena na hawa polisi wetu ambao kazi yao kubwa ni kuonea raia. Halafu utakutana na SUMATRA wenye faini za uwendawazimu ambao haupo mahali popote Duniani. Unatakiwa ulipie sh 40,000 kwa mwaka kwa kagari tani moja. Ukichelewa kidogo tu faini sh 250,000.

Kama upo Mwanza ukipaki tu mjini hta kama ni dakika 10, sh 1,500. Ukichelewa tu kulipia, tarehe ikabadilika, utalipa adhabu ya sh 20,000.

Hii nchi, serikali kazi yake kubwa ni kuwakomoa na kuwatesa wananchi wake kuliko kuwasaidia.
 
Na mimi nafunga yangu leo!
Mimi nimeamua kufunga kampuni azilizokuwa kwenye ubia, kampuni 5.

Biashara ni kutengeneza faida na kukua, ukiona trend ni downward, usisubiri mpaka uanguke. Take tough decision, always there is a way out.

Kufunga biashara kabla hujaanguka na kupoteza mtaji ni uzalendo wa hali ya juu maana mazingira yatakapokuwa mazuri utarejea tena kwenye biashara na kutengeneza ajira na kuipatia serikali mapato stahili siyo ya kinyonyaji.
 
Haw
Kuna uwendawazimu mkuvwa sana kwenye kodi na tozo mbalimbali nchi hii. Ukiweka biashara tu au kiwanda, ndiyo utajua kuwa nchi hii ni hopeless.

Utalipishwa kodi mpaka utakoma. Kama una kakiwanda, halafu unachozalisha unasafirisha, baada ya kodi na tozo kama 30 hivi, barabarani utakutana tena na hawa polisi wetu ambao kazi yao kubwa ni kuonea raia. Halafu utakutana na SUMATRA wenye faini za uwendawazimu ambao haupo mahali popote Duniani. Unatakiwa ulipie sh 40,000 kwa mwaka kwa kagari tani moja. Ukichelewa kidogo tu faini sh 250,000.

Kama upo Mwanza ukipaki tu mjini hta kama ni dakika 10, sh 1,500. Ukichelewa tu kulipia, tarehe ikabadilika, utalipa adhabu ya sh 20,000.

Hii nchi, serikali kazi yake kubwa ni kuwakomoa na kuwatesa wananchi wake kuliko kuwasaidia.
Hawa sumatra siji kuwasahau kwakweli kulupia hiyo 40000 vugezo vyake sio mchezo vinaweza fika garama laki5. Ukikamatwa hujalipa fine inenda mpaka 250000 ni moja ya vitu vilinifanya niuze gari la biashara. Traffic nao mpaka sasa sijaelewa lengo lao kuu la kukaa barabarani mpaka sasa ni kikwazo kweli kwa wamiliki wa magari
 
Kwa ujumla SUMATRA, TRAFFIC NA TARURA - huko kuna uwendawazimu wa hali ya juu. Ni wizi, unyonyaji na utumiaji mbaya wa ofisi. Hawa SUMATRA NA TRAFFIC, wanatosha kabisa kukufanya ufunge biashara au hata kiwanda chako TANZANIA kama uwekezaji wako unahusisha magari yako kuwepo barabarani.

Kwa sasa TARURA Mwanza, ni sababu tosha kukufanya usiende na gari mjini. Ukiwa na magari 5, kwa siku unaweza kupoteza sh zaidi ya laki 1 kwa parking tu!
 
Hali ya Maisha hata biashara lzm iwe ngumu sababu tunaexport Pesa nyingi nje kuliko kuimport Pesa Pesa zinakwenda kukuza uchumi Wa uturuki ( SGR) kukuza uchumi Wa Misri( ujenzi wa stirlglers dam),pesa zimeenda Canada na USA kununua ndege.Zaidi ya tilioni 30 zilizoenda nje kwa hii miaka 4 kujenga nchi zingine mfano zingebaki mzunguko Wa ndani zikatumika kuchochea uzalishaji Wa ndani ili tuuze nje tuimport zaidi ya hizo tilioni ziingie ndani,zingesaidia kuinua uchumi na kuboresha unafuu Wa maisha
Duh, kama ni hivyo basi na mimi niungane na viongozi wangu kuwalaani Mabeberu hawa, wanatufilisi.
 
Kuna uwendawazimu mkuvwa sana kwenye kodi na tozo mbalimbali nchi hii. Ukiweka biashara tu au kiwanda, ndiyo utajua kuwa nchi hii ni hopeless.

Utalipishwa kodi mpaka utakoma. Kama una kakiwanda, halafu unachozalisha unasafirisha, baada ya kodi na tozo kama 30 hivi, barabarani utakutana tena na hawa polisi wetu ambao kazi yao kubwa ni kuonea raia. Halafu utakutana na SUMATRA wenye faini za uwendawazimu ambao haupo mahali popote Duniani. Unatakiwa ulipie sh 40,000 kwa mwaka kwa kagari tani moja. Ukichelewa kidogo tu faini sh 250,000.

Kama upo Mwanza ukipaki tu mjini hta kama ni dakika 10, sh 1,500. Ukichelewa tu kulipia, tarehe ikabadilika, utalipa adhabu ya sh 20,000.

Hii nchi, serikali kazi yake kubwa ni kuwakomoa na kuwatesa wananchi wake kuliko kuwasaidia.
Hapo kwenye maelezo ya Mwanza nimeshangaa mno, nilienda Mwanza wiki iliyopita nikiwa na private, basi nikawa napaki maeneo tofauti kumbe kuna watu wanapiga picha tu na wanaondoka na hawakuambii kitu.
Nilichokifanya baada ya siku 3 nikaondoka nikasema waje waikamate Dar tuone.
Mambo ya kuviziana awamu hii yameshika kasi bila hata kutumia akili.
 
Hali ya Maisha hata biashara lzm iwe ngumu sababu tunaexport Pesa nyingi nje kuliko kuimport Pesa Pesa zinakwenda kukuza uchumi Wa uturuki ( SGR) kukuza uchumi Wa Misri( ujenzi wa stirlglers dam),pesa zimeenda Canada na USA kununua ndege.Zaidi ya tilioni 30 zilizoenda nje kwa hii miaka 4 kujenga nchi zingine mfano zingebaki mzunguko Wa ndani zikatumika kuchochea uzalishaji Wa ndani ili tuuze nje tuimport zaidi ya hizo tilioni ziingie ndani,zingesaidia kuinua uchumi na kuboresha unafuu Wa maisha
Tulihitaji ndege au LA? Tulihitaji umeme was maji au LA? Tulihitaji SGR au LA? Kama vyote tulihitaji alternatively tungefanyaje?
 
Hali ya Maisha hata biashara lzm iwe ngumu sababu tunaexport Pesa nyingi nje kuliko kuimport Pesa Pesa zinakwenda kukuza uchumi Wa uturuki ( SGR) kukuza uchumi Wa Misri( ujenzi wa stirlglers dam),pesa zimeenda Canada na USA kununua ndege.Zaidi ya tilioni 30 zilizoenda nje kwa hii miaka 4 kujenga nchi zingine mfano zingebaki mzunguko Wa ndani zikatumika kuchochea uzalishaji Wa ndani ili tuuze nje tuimport zaidi ya hizo tilioni ziingie ndani,zingesaidia kuinua uchumi na kuboresha unafuu Wa maisha
Magu alichemka hapo tu na amefanya hivyo ili apige pesa,ananua vitu nje ili afiche dili haramu za 50% maana akifanya ndani itakuwa rahisi kuvuja.

Hela aliyonunua ndege angeiweka kuwekeza kwenye Barabara kwa kiwango cha moramu au lami daraja la kawaida,kusambaza umeme vijiji vyote,tungekuwa mbali sana kiuchumi.

Leo ripoti inasema umasikini umepungua kwa 2% lakini katika real life masikini wameongezeka milioni 2 katika miaka hii minne yaani tangu magu aingine madarakani ameongeza masikini milioni 2 ina maana fedha ya watu milioni 2 imeenda kwa watu wachache ambao ni cartel yake kina BASHITE.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom