Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Ya wanyongajiNdio Serikali ya wanyonge hio
Umeeleza kidogo ila points ni nzuri Sana.Hali ya Maisha hata biashara lzm iwe ngumu sababu tunaexport Pesa nyingi nje kuliko kuimport Pesa Pesa zinakwenda kukuza uchumi Wa uturuki ( SGR) kukuza uchumi Wa Misri( ujenzi wa stirlglers dam),pesa zimeenda Canada na USA kununua ndege.Zaidi ya tilioni 30 zilizoenda nje kwa hii miaka 4 kujenga nchi zingine mfano zingebaki mzunguko Wa ndani zikatumika kuchochea uzalishaji Wa ndani ili tuuze nje tuimport zaidi ya hizo tilioni ziingie ndani,zingesaidia kuinua uchumi na kuboresha unafuu Wa maisha
Mimi nimeamua kufunga kampuni azilizokuwa kwenye ubia, kampuni 5.Na mimi nafunga yangu leo!
Hawa sumatra siji kuwasahau kwakweli kulupia hiyo 40000 vugezo vyake sio mchezo vinaweza fika garama laki5. Ukikamatwa hujalipa fine inenda mpaka 250000 ni moja ya vitu vilinifanya niuze gari la biashara. Traffic nao mpaka sasa sijaelewa lengo lao kuu la kukaa barabarani mpaka sasa ni kikwazo kweli kwa wamiliki wa magariKuna uwendawazimu mkuvwa sana kwenye kodi na tozo mbalimbali nchi hii. Ukiweka biashara tu au kiwanda, ndiyo utajua kuwa nchi hii ni hopeless.
Utalipishwa kodi mpaka utakoma. Kama una kakiwanda, halafu unachozalisha unasafirisha, baada ya kodi na tozo kama 30 hivi, barabarani utakutana tena na hawa polisi wetu ambao kazi yao kubwa ni kuonea raia. Halafu utakutana na SUMATRA wenye faini za uwendawazimu ambao haupo mahali popote Duniani. Unatakiwa ulipie sh 40,000 kwa mwaka kwa kagari tani moja. Ukichelewa kidogo tu faini sh 250,000.
Kama upo Mwanza ukipaki tu mjini hta kama ni dakika 10, sh 1,500. Ukichelewa tu kulipia, tarehe ikabadilika, utalipa adhabu ya sh 20,000.
Hii nchi, serikali kazi yake kubwa ni kuwakomoa na kuwatesa wananchi wake kuliko kuwasaidia.
Kwa ujumla SUMATRA, TRAFFIC NA TARURA - huko kuna uwendawazimu wa hali ya juu. Ni wizi, unyonyaji na utumiaji mbaya wa ofisi. Hawa SUMATRA NA TRAFFIC, wanatosha kabisa kukufanya ufunge biashara au hata kiwanda chako TANZANIA kama uwekezaji wako unahusisha magari yako kuwepo barabarani.Haw
Hawa sumatra siji kuwasahau kwakweli kulupia hiyo 40000 vugezo vyake sio mchezo vinaweza fika garama laki5. Ukikamatwa hujalipa fine inenda mpaka 250000 ni moja ya vitu vilinifanya niuze gari la biashara. Traffic nao mpaka sasa sijaelewa lengo lao kuu la kukaa barabarani mpaka sasa ni kikwazo kweli kwa wamiliki wa magari
Duh, kama ni hivyo basi na mimi niungane na viongozi wangu kuwalaani Mabeberu hawa, wanatufilisi.Hali ya Maisha hata biashara lzm iwe ngumu sababu tunaexport Pesa nyingi nje kuliko kuimport Pesa Pesa zinakwenda kukuza uchumi Wa uturuki ( SGR) kukuza uchumi Wa Misri( ujenzi wa stirlglers dam),pesa zimeenda Canada na USA kununua ndege.Zaidi ya tilioni 30 zilizoenda nje kwa hii miaka 4 kujenga nchi zingine mfano zingebaki mzunguko Wa ndani zikatumika kuchochea uzalishaji Wa ndani ili tuuze nje tuimport zaidi ya hizo tilioni ziingie ndani,zingesaidia kuinua uchumi na kuboresha unafuu Wa maisha
Hapo kwenye maelezo ya Mwanza nimeshangaa mno, nilienda Mwanza wiki iliyopita nikiwa na private, basi nikawa napaki maeneo tofauti kumbe kuna watu wanapiga picha tu na wanaondoka na hawakuambii kitu.Kuna uwendawazimu mkuvwa sana kwenye kodi na tozo mbalimbali nchi hii. Ukiweka biashara tu au kiwanda, ndiyo utajua kuwa nchi hii ni hopeless.
Utalipishwa kodi mpaka utakoma. Kama una kakiwanda, halafu unachozalisha unasafirisha, baada ya kodi na tozo kama 30 hivi, barabarani utakutana tena na hawa polisi wetu ambao kazi yao kubwa ni kuonea raia. Halafu utakutana na SUMATRA wenye faini za uwendawazimu ambao haupo mahali popote Duniani. Unatakiwa ulipie sh 40,000 kwa mwaka kwa kagari tani moja. Ukichelewa kidogo tu faini sh 250,000.
Kama upo Mwanza ukipaki tu mjini hta kama ni dakika 10, sh 1,500. Ukichelewa tu kulipia, tarehe ikabadilika, utalipa adhabu ya sh 20,000.
Hii nchi, serikali kazi yake kubwa ni kuwakomoa na kuwatesa wananchi wake kuliko kuwasaidia.
Tulihitaji ndege au LA? Tulihitaji umeme was maji au LA? Tulihitaji SGR au LA? Kama vyote tulihitaji alternatively tungefanyaje?Hali ya Maisha hata biashara lzm iwe ngumu sababu tunaexport Pesa nyingi nje kuliko kuimport Pesa Pesa zinakwenda kukuza uchumi Wa uturuki ( SGR) kukuza uchumi Wa Misri( ujenzi wa stirlglers dam),pesa zimeenda Canada na USA kununua ndege.Zaidi ya tilioni 30 zilizoenda nje kwa hii miaka 4 kujenga nchi zingine mfano zingebaki mzunguko Wa ndani zikatumika kuchochea uzalishaji Wa ndani ili tuuze nje tuimport zaidi ya hizo tilioni ziingie ndani,zingesaidia kuinua uchumi na kuboresha unafuu Wa maisha
Magu alichemka hapo tu na amefanya hivyo ili apige pesa,ananua vitu nje ili afiche dili haramu za 50% maana akifanya ndani itakuwa rahisi kuvuja.Hali ya Maisha hata biashara lzm iwe ngumu sababu tunaexport Pesa nyingi nje kuliko kuimport Pesa Pesa zinakwenda kukuza uchumi Wa uturuki ( SGR) kukuza uchumi Wa Misri( ujenzi wa stirlglers dam),pesa zimeenda Canada na USA kununua ndege.Zaidi ya tilioni 30 zilizoenda nje kwa hii miaka 4 kujenga nchi zingine mfano zingebaki mzunguko Wa ndani zikatumika kuchochea uzalishaji Wa ndani ili tuuze nje tuimport zaidi ya hizo tilioni ziingie ndani,zingesaidia kuinua uchumi na kuboresha unafuu Wa maisha