mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,505
Habari wakuu,
Kuna taarifa ambazo sina uhakika nazo nimezipata kutoka Arusha kwamba kuna wafanyabiashara wamechukuliwa kwa siri kuletwa huku Dar kwa mahojiano.
Je kuna taarifa zozote za ukweli kuhusu hili mwenye nayo atujuze.
Hizi taarifa nasikia zimetapakaa mkoani humo kwamba wafanyabiashara kama Olotu, Lema na Minja wameletwa Dar kwa mahojiano.
Mwenye taarifa kamili atujuze kama ni kweli ama ni uzushi tuu uliotapakaa.
Asanteni.