Wafanyabiashara wahojiwa kwa magari ya wizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyabiashara wahojiwa kwa magari ya wizi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 29, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,285
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  Wafanyabiashara wahojiwa kwa magari ya wizi
  Na Mwandishi wetu  27th May 2009


  [​IMG]
  B-pepe  [​IMG]
  Chapa  [​IMG]
  Maoni
  Magari 10 yanayosadikiwa kuibwa nchini Japan yanashikiliwa na polisi mkoani hapa.


  Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Elias Kalinga alisema kuwa magari hayo ni kati ya 145 yaliyofanyiwa ukaguzi katika operesheni ya kukamata magari yaliyoibwa nchini humo kuanzia Juni 20, mwaka huu.


  Kalinga alsiema kuwa idadi kubwa ya magari hayo yanamilikiwa na wafanyabiashara ambao wanahojiwa na polisi ili kujua jinsi walivyoyapata. Magari hayo yanayoshikiliwa ni aina ya Toyota Harrier, Mazda, Maecedez Benz na Toyota Landcruiser.


  Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (Hujuma na Operesheni za Uchunguzi) alinukuliwa na vyombo vya habari akisema jeshi la polisi lingetangaza majina ya vigogo walionunua magari ya wizi kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Japan jana, lakini hakufanya hivyo.

   
 2. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Sasa ndugu yangu, hawa wanahojiwa kwa ajili ya magari ambayo wataiba, au ambayo tayari walishayaiba? Kwani leo ni Mei
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,285
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  Source nipashe
   
 4. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kweli Vogue na X5 NYINGI ZA WIZI HAPA MJINI
   
Loading...