Wafanyabiashara wachekelea kurudisha walichopoteza. Bei ya mafuta/petrol yazidi kupanda kuumiza maskini/watu wa kipato cha chini

Ubabe ndio namna pekee ya kuongoza taifa hili sababu watu wengi wapo kimaslahi yani ukijipindua unapigwa! Magu alijitahidi kuwabana japo kwa 70% ila still 30% waliobaki walikuwa wanapiga!
Alipunguza kwa kweli....sasa wameachiwa....wanafurahi sana wanasema mpaka 2030 aende huyu huyu....walibanwa sana....
 
Bei ya mafuta hapa Sweden ni kronor 17 sawa na shillingi 4300 za Tanzania.
Tatizo sio bei angalia uchumi wa mtu mmoja mmoja! Ingekuwa tuna vipato vya 5M per month on average hata bei ikiwa 4000 kwa litre isingekuwa inaumiza sana!

Sasa hao wa Swedish wanaweza kuta average ya kipato cha raia wa kawaida ni 10M. Matumizi ya 3M kwa mwezi sio mbaya
 
Akirudi wanampangia safari nyingine tena...akirudi hajakaa sawa anapigwa safari nyingine. Ili wao wabaki wanaibia wananchi maskini. Wafanyabiashara wezi wanafurahi kwa sasa wanasema wanacheza na bei watakavyo. Hakuna wa kuwasumbua. Wanakubaliana na watu kadhaa kila mtu anachukia kamisheni yake...maisha yanaendelea.
Af kwa bahati mbaya yeye mama haelewi mchezo anaochezewa! Yani akifika wanamrusha pengine😅 watu wanaendelea kupiga!

Within 3 years kuna watu watakuwa na hela nyingi sana na zile vurumai za kununua viti kwenye ma bar zitarudi kwa kasi! This time around itakuwa ni kwa wafanyakazi wa serikali zaidi wala si wafanyabishara😅
 
Alipunguza kwa kweli....sasa wameachiwa....wanafurahi sana wanasema mpaka 2030 aende huyu huyu....walibanwa sana....
Hahahahahah yani hela huko sahizi wanachota, nina hisia mbaya sana na ile tozo za miamala kama Bwana Lameki hajaset kiwango cha kujidokolea kila mwezi wa makusanyo.

Hamna updates wala uwazi juu ya kiasi gani kinakusanywa yani mambo yanajiendea kwa siri kuna makubwa yatakuja kutokea within these 3 years😅

Napata sana ukakasi kama transactions zinaweza fika 9 trillion kwa mtandao mmoja! Halafu uniambie kwa mitandao yote mtu anakusanya 45 billions kwa miez 3?
 
Tatizo sio bei angalia uchumi wa mtu mmoja mmoja! Ingekuwa tuna vipato vya 5M per month on average hata bei ikiwa 4000 kwa litre isingekuwa inaumiza sana!

Sasa hao wa Swedish wanaweza kuta average ya kipato cha raia wa kawaida ni 10M. Matumizi ya 3M kwa mwezi sio mbaya
Pointi yangu sio kulinganisha bali hapa pia yamepanda tulizoea kununua kwa kronor 12 kwa lita. Yamepanda kwa karibu asilimia 50.
 
Pointi yangu sio kulinganisha bali hapa pia yamepanda tulizoea kununua kwa kronor 12 kwa lita. Yamepanda kwa karibu asilimia 50.
Sawa yamepanda ila je mmefikia hatua ya kupaki magari? Chakula nacho kimepanda? Point yangu mie ni kuwa uchumi ukiwa vizuri vitu kupanda bei haiwi tatizo sana maana ni bursts za muda mfupi yatashuka tena!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Uchumi Ulaya yote umeyumba na hali ya maisha imepanda sio kwa level ya nyumbani kwa sababu ya tofauti ya vipato lakini tofauti inaonekana kwa sababu ya bei ya mafuta na Corona.Inflation ipo 3,5%.
.
 
This is what they hated Magufuli for! Alijua njia zao kisha akapachika gunzi katika kila tobo njaa ilivyokithiri wakaanza kumletea upuuzi! Wanamtukana sana yani😅

Sahizi mama kaachia wajipigie hela kila mtu sahizi amegeuka mpambe nuksi. Eti mama anaupiga mwingi
Magufuli alijua wafanyabiashara na mashoga zao ndani ya chama na serikali ndio wanaoumiza wananchi.
 
Katika kinachoonekana kuwa ni survival of the fittest beii ya mafuta ya gari /petrol imezidi kupanda na kufika tsh 2510 kwa lita moja mwezi huu. Unapotoa tsh 20,000 unapata lita 7.9, kitu ambacho ni kuendelea kumuumiza Mtanzania huyu wa kipato cha chini maana yeye ndiye atakayekuja umia katika suala la upandaji wa bidhaa mbalimbali nchini pamoja na usafiri kwa ujumla.

Hawa wabunge, mawaziri na viongozi wa kiserikali hawatalalamika maana wanatumia kodi zetu katika kuhudumia hayo magari. Kwa wao hata lita moja ikiuzwa tsh 5,000 hawaathiriki sababu ofisi inawajazia magari yao ma V8 full tank na maisha yanaendelea. haya ndiyo maisha tuliyoyachagua.

Jamaa yangu mmoja amenipigia simu leo akinambia huku akicheka," nilikwambia mafuta lazima yapande maana kuna pesa nyingi tulipoteza kipindi kile"

Serikali imewasahau wananchi wanyonge watu wanaendelea kujipigia kila kinachowezekana kwa nafasi zao.

68660156-3C57-4B1F-94C9-99F570F29BB3.jpeg
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom