Habari wadau,
Pamoja na machimbo hayo nawahabarisha chimbo la pekee kwa wale wanaotaka kusajiri, Kampuni ya aina yeyote kwa haraka na kwa bei pouwa.

Nipigie 0778437201
 
Wakuu poleni kwa majukumu,naomba kujua mahali naweza kupata vifaa vya saloon za kike kwa bei nafuu ya jumla mf; dryer, blow dryer, pasi, tom, sinck, try nk..
 
Hivi Karibuni kampuni yetu itaanzisha Huduma za kuwatafutia wafanyabiashara wa mikoani bidhaa wanazohitaji hapa DSM, au nje ya nchi. Tutachukua oda zenu, tutawapa bei, mtatuma pesa, tutanunua na kuwasafirishia mlipo. Tutawatoza ada kidogo tofauti na gharama ungezitumia kuna DSM na kurudi. Stay tuned!
Mlifanikiwa kufungua?
 
Mimi nichinga wa wamitumba. malanyingi hununua mitumba kwa kusoti bidhaamojamoja yan kuchuz. na nimekuwa niki mix bidha sasa naona faida kama ni kidogo sana nawaza kununua balo zima ila najiuliza ninunue balo gani yenye kunipa faida na kuisha kwa wakati?? kwa walio naudhoefu na biashala hii wanisaidie mawazo maendeleo hayana chama"

Sent using Jamii Forums mobile app

Nibora ungeanzisha uzi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unanunuaga wap hizo nguo, na mfno kwa jeanz kal za kiume huanzia shs ngap
 
Kama wewe ni mfanyabiashara dar au mkoani xoxa wear ni kijana mwanachuo ambae anakurahisishia kazi wewe mfanyabiashara kwani anapokea oda za nguo na viatu vyakiume na kike kwa wanaohitaji nguo za jumla jumla kariakoo.
Tupe oda tukufungie mzigo
Tuamini tukuamini
Quality na uaminifu 100%
Karibuni sana
Instagram:xoxa_wear
Phone no: 0742 96 85 47
Location: NIT MABIBO
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla? Maana wenyeji wengi hawapendi kutupeleka kwenye machimbo.
 
Back
Top Bottom