mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,763
- 35,205
Zinapatikana wapi Madame B? Nimetoka bilabilaJengo la wakongo na wazambia.
Zipo jeans za 5000 huku uraiani zinauzwa mpaka 20,000
Zinapatikana wapi Madame B? Nimetoka bilabilaJengo la wakongo na wazambia.
Zipo jeans za 5000 huku uraiani zinauzwa mpaka 20,000
NashukuruWa specific brand
Mfano sleepy
Sweetfitpants
Huggies etc
Acha kujitoa ufahamu..soma kichwa cha habari na ulichoandika.Habari wadau,
Pamoja na machimbo hayo nawahabarisha chimbo la pekee kwa wale wanaotaka kusajiri, Kampuni ya aina yeyote kwa haraka na kwa bei pouwa.
Nipigie 0778437201
Acha kujitoa ufahamu..soma kichwa cha habari na ulichoandika.
Mlifanikiwa kufungua?Hivi Karibuni kampuni yetu itaanzisha Huduma za kuwatafutia wafanyabiashara wa mikoani bidhaa wanazohitaji hapa DSM, au nje ya nchi. Tutachukua oda zenu, tutawapa bei, mtatuma pesa, tutanunua na kuwasafirishia mlipo. Tutawatoza ada kidogo tofauti na gharama ungezitumia kuna DSM na kurudi. Stay tuned!
mrejeshoukisikia upele humuota asiye na kucha basi kwang nitofauti yaan upele umeota nilivyo fuga kucha ahsanten sana wadau sasa kwa mbaali naona mwanga wa jua
mwenyezi mungu awaongoze katika haki
Nami niunge au unipe link ni joinok ngoja nikutaftie link nakuinbox
Jengo gani mkuuMnaz mmoja
Mkuu unanunuaga wap hizo nguo, na mfno kwa jeanz kal za kiume huanzia shs ngapMimi nichinga wa wamitumba. malanyingi hununua mitumba kwa kusoti bidhaamojamoja yan kuchuz. na nimekuwa niki mix bidha sasa naona faida kama ni kidogo sana nawaza kununua balo zima ila najiuliza ninunue balo gani yenye kunipa faida na kuisha kwa wakati?? kwa walio naudhoefu na biashala hii wanisaidie mawazo maendeleo hayana chama"
Sent using Jamii Forums mobile app
Nibora ungeanzisha uzi wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei ya jumla sh ngapi??. kuanzia kiasi gani cha nguo?
Boss hand dryers nauza kubwa 28000 kwa kazi za salon ukihitaj 0652026562 nichek hapaMnao chukua vifaa vya saloon hivi dryer ya kusimama Shilingi ngapi na ya mkono sh ngapi zinapatikana mitaa gani
Mkuu mpya ya dukani hiyo, vp dryer ya kusimama bei ganiBoss hand dryers nauza kubwa 28000 kwa kazi za salon ukihitaj 0652026562 nichek hapa
Kama wewe ni mfanyabiashara dar au mkoani xoxa wear ni kijana mwanachuo ambae anakurahisishia kazi wewe mfanyabiashara kwani anapokea oda za nguo na viatu vyakiume na kike kwa wanaohitaji nguo za jumla jumla kariakoo.
Tupe oda tukufungie mzigo
Tuamini tukuamini
Quality na uaminifu 100%
Karibuni sana
Instagram:xoxa_wear
Phone no: 0742 96 85 47
Location: NIT MABIBO
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla? Maana wenyeji wengi hawapendi kutupeleka kwenye machimbo.
Kama wewe ni mfanyabiashara dar au mkoani xoxa wear ni kijana mwanachuo ambae anakurahisishia kazi wewe mfanyabiashara kwani anapokea oda za nguo na viatu vyakiume na kike kwa wanaohitaji nguo za jumla jumla kariakoo.Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla? Maana wenyeji wengi hawapendi kutupeleka kwenye machimbo.
Uko wapiBoss hand dryers nauza kubwa 28000 kwa kazi za salon ukihitaj 0652026562 nichek hapa
hivi unawajua ZARA wewe? u cannot be serious son,tell your people that is a copy