Habarini wana JF,

Naomben msaada kwa yeyote aejua maduka ya jumla ya Viatu vya wa dada na chupi anielekeze plz.
 
Wana JF,

Naombeni msaada kwa anaejua maduka ya kariakoo ya jumla ya viatu vya kike na chupi anifaamishe.

Nitafurahi kama mkinipa ushirikiano wanezengwe.
 
Jengo la benki ya posta walifahamu? Basi ukimaliza lile jengo kama unakuja msimbazi police mtaa wa kwanza kata Kulia majengo yote matatu mkono wa kushoto ndio wauzaji wa viatu vya kike, usinunue kwa wale waliomwaga nje mi wauzaji wa rejareja. Usiogope ingia ndani mkono wa kushoto zunguka vya kutosha fanya window shopping mjomba, by the way zipo sehemu nyingine ila anza na hapo ukifeli nitag nije kukuelekeza.

Usiwe na papara mjini mawinga/madalali wengi
 
Nenda jukwaa la biashara Kuna mada inazungumzia machimbo ya maduka ya jumla kariakoo. Nimesahau jina la huo uzi
 
Kuhusu chupi ni sehemu nyingi, nyuma ya jengo la simba sport club mtaa ule upande wa pili kuna flame wanauza chupi jumla na rejareja, I kwa upande wa chupi za kike inakupaswa uzunguke, tena nenda asubuhi mapema kabla population na joto halijawa juu kukutia kuchoka mapema!

Maswali yasiwe mengi mda wa kulala huu
 
Jengo la benki ya posta walifahamu? Basi ukimaliza lile jengo kama unakuja msimbazi police mtaa wa kwanza kata Kulia majengo yote matatu mkono wa kushoto ndio wauzaji wa viatu vya kike, usinunue kwa wale walomwaga nje mi wauzaji wa rejareja. Usiogope ingia ndani mkono wa kushoto zunguka vya kutosha fanya window shopping mjomba, by the way zipo sehemu nyingine ila anza na hapo ukifeli ni tag nije kukuelekeza.

Usiwe na papara mjini mawinga/madalari wengi

Nimekupata bro.ila nikishindwa kupapata ntakufahamisha.tnxs
 
Kuhusu chupi ni sehemu nyingi, nyuma ya jengo la simba sport club mtaa ule upande wa pili kuna flame wanauza chupi jumla na rejareja, I kwa upande wa chupi za kike inakupaswa uzunguke, tena nenda asubuhi mapema kabla population na joto halijawa juu kukutia kuchoka mapema!

Maswali yasiwe mengi mda wa kulala huu

Daah! Tnxs bro.
 
Nenda jukwaa la biashara Kuna mada inazungumzia machimbo ya maduka ya jumla kariakoo. Nimesahau jina la huo uzi

Niliomba msaada uko hakuna alw Nijinsky.nikaona niingie uku kwa wahenga wenzanguu maaana upande huu wako active sana
 
Nimekupata bro.ila nikishindwa kupapata ntakufahamisha.tnxs
Ukishindwa hadi hapo basi tena amekwambia ingia ndani madukani ukishindwa kabisaaaa ni whatsup 0765929586 nikupeleke madukani
 
Back
Top Bottom