ndio najua dada hii biashara naifanya sana sasa madera ya msomali kkoo bei juu ,na vijora hivyohivyo sasa nilikuwa nataka niagize namimi msomari bei yake ndio sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi msomali fashion yake ipo nyuma ilioko na wakati ni hii indonesia kaka angu

Hayo ndo indonesia mpenzo
Screenshot_2019-04-15-23-13-10.jpeg
Screenshot_2019-04-15-23-13-13.jpeg
Screenshot_2019-04-15-23-13-18.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Machimbo ya pochi haswa nainai za bei y chini kuanzia 15000?? Msaada na wale wanaouza viatu vya kike (high hills )kwa box
Msaada mitaa gani au anaejua hufanya hii biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninazo za special kama hizo na ndo zna wateja wengi sana now ...ntakuuzia had tsh 28 au tsh 27 kama utahitaj pisi nying ....but wasiliana nami tuongee vizur 0687882820
IMG_20190411_102139_904.jpeg
IMG-20190130-WA0061.jpeg
IMG-20190130-WA0066.jpeg
IMG-20190130-WA0022.jpeg
IMG-20190130-WA0023.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom