Dorcus jumla ni 14 tu imezidi 15 ulihisi natania Dada Mzigo k/koo upo ila inabidi Uchimbe sana.Dorcus bei gani?
Dorcus jumla ni 14 tu imezidi 15 ulihisi natania Dada Mzigo k/koo upo ila inabidi Uchimbe sana.Dorcus bei gani?
Dorcus jumla ni 14 tu imezidi 15 ulihisi natania Dada Mzigo k/koo upo ila inabidi Uchimbe sana.
Karibu ila Dorcus sina ila kuna mtaa zipo kama maduka mawili nazikutaga wanazo Dorcus ni hapa katikati ya mtaa ilipo DDC na Msimbazi kuna Cadet kama zote ila lazima uzame ndani.Mmh maajabu haya
Hongera aisee
Labda naweza nikafika nijue material
Kama ni similar tunaacha kuagiza mzigo nje tunachukua kwako
Karibu ila Dorcus sina ila kuna mtaa zipo kama maduka mawili nazikutaga wanazo Dorcus ni hapa katikati ya mtaa ilipo DDC na Msimbazi kuna Cadet kama zote ila lazima uzame ndani.
Mimi siuzi bei hiyo Nami nachukua sehemu wanapouza bei hizo Nauza kwa bei zetu hizi Nilikuwa najaribu kukuelekeza kwamba haya Machimbo yapo K/Koo.Kwa hiyo hizo nyingine unazo nije kesho?
Mimi siuzi bei hiyo Nami nachukua sehemu wanapouza bei hizo Nauza kwa bei zetu hizi Nilikuwa najaribu kukuelekeza kwamba haya Machimbo yapo K/Koo.
Angalia hiyo Mitaa niliyoweka alama k/koo Maduka hayana majina ko ni ngumu kukwambia duka fulani.Kiukweli sijakuelewa
Elekeza basi zinapouzwa hiyo bei
Angalia hiyo Mitaa niliyoweka alama k/koo Maduka hayana majina ko ni ngumu kukwambia duka fulani.
View attachment 990262
Pia na hapo Aggrey Na Congo Cadet zipo Kwa Bei hiyo nilokutajia Ingia maduka ya ndani ndani sio nje nje.
Naweza pata mawasiliano yako chiefKaribu ila Dorcus sina ila kuna mtaa zipo kama maduka mawili nazikutaga wanazo Dorcus ni hapa katikati ya mtaa ilipo DDC na Msimbazi kuna Cadet kama zote ila lazima uzame ndani.
Inawezekana Mkuu ila pia naweza kukusaidia hata hapa kama litakuwa ndani ya uwezo wangu au unaweza nicheki PM pia.Karibu
Shukrani mkuuInawezekana Mkuu ila pia naweza kukusaidia hata hapa kama litakuwa ndani ya uwezo wangu au unaweza nicheki PM pia.Karibu
Chimbo siyo K.koo liko Mbagala ila eneo silijuiMzimbazi naona wanakuaga na punguzo kutokana na idadi unazochukua,,
Fanya mpango hili chimbo Upate hata jina la mtaa tu boss.
Mkuu mishe zangu na hii issue imekaa kushoto kiaina ila kuna kamtaa kako karibu na bank ya UBA kkoo(tafuta hata kwa g.map) kisha fanya mazoeya na waskaji walioko nje watakufungukia ila kwa kujiongezaFanya mpango hili chimbo Upate hata jina la mtaa tu boss.