Mmh maajabu haya
Hongera aisee

Labda naweza nikafika nijue material
Kama ni similar tunaacha kuagiza mzigo nje tunachukua kwako
Karibu ila Dorcus sina ila kuna mtaa zipo kama maduka mawili nazikutaga wanazo Dorcus ni hapa katikati ya mtaa ilipo DDC na Msimbazi kuna Cadet kama zote ila lazima uzame ndani.
 
Wakuu naomba kuelekezwa chimbo natafuta hii bidhaa...
IMG_20190109_162535.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu ila Dorcus sina ila kuna mtaa zipo kama maduka mawili nazikutaga wanazo Dorcus ni hapa katikati ya mtaa ilipo DDC na Msimbazi kuna Cadet kama zote ila lazima uzame ndani.

Kwa hiyo hizo nyingine unazo nije kesho?
 
Kiukweli sijakuelewa
Elekeza basi zinapouzwa hiyo bei
Angalia hiyo Mitaa niliyoweka alama k/koo Maduka hayana majina ko ni ngumu kukwambia duka fulani.
IMG-20190109-WA0005.jpg

Pia na hapo Aggrey Na Congo Cadet zipo Kwa Bei hiyo nilokutajia Ingia maduka ya ndani ndani sio nje nje.
 
Anaefahamu duka wanalouza spea za bajaji aina ya TVS kwa jumla jumla anifahamishe please. Pia anaejua wapi nitapata muuzaji wa Oil za bajaji kwa bei ya jumla anisaidie. Thank you in Advance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom