Asante sana. Ngoja nimwambie mwenyewe akachungulie mzigo.Chupi zipo mtaa wa duka kubwa la selo
Pale wana bei nzuri kuliko haya ya juu
Mengine upande wa pili wa kituo cha Msimbazi B
Asante sana. Ngoja nimwambie mwenyewe akachungulie mzigo.Chupi zipo mtaa wa duka kubwa la selo
Pale wana bei nzuri kuliko haya ya juu
Mengine upande wa pili wa kituo cha Msimbazi B
Upo mkoa gani naweza kufanya hivyoMmmmmh yaani niwatumie hela ndo mtume Mzigo? Labda Mzigo ufike kwangu ndo nalipa.
Mkuu Kama hujajibiwa 1&2, basi fika Karume, kuna sehem zinauzwa moja mpya kabisa za mitumba japo bei zao balaah mpaka 60k, pia mashati mapya jumamosi Karume yanafunguliwa !!!!nimekuwekea na pic mkuu.Bussines as usual, wazee kuna maswali ya baadh ya bidhaa hayajajibiwa na ninataman sana maana nina uhtaji.
1. Viatu vya mtumba vya ofsini (moka) grade A
2. Mashati Mapya kbsa ya ofisini na suruali za vitambaa vyote viwe classic
3.Yale makaratasi ya wallpapers za ukutani (mimi hapa nataka ya kupambia/kuvutia biashara za hotel/cafe n.k, yanakua yanapicha za kuvutia za matunda mbali mbali, juices, vitafunwa mfn sandwich, keki na sambusa pia chakulaa) yanakua ya kung'aa ng'aa hv, jitahd unielewe.
Asante sanaa, yaap nataka moka za dizain hiio, kwaio ni vya ku point, jumla/baro hamna? Mm slogan yangu ni "Hasara Roho" yaani nikipenda kitu siangalii gharama.Mkuu Kama hujajibiwa 1&2 basi fika Karume, kuna sehem zinauzwa moja mpya kabisa za mitumba japo bei zao balaah mpaka 60k, pia mashati mapya jumamosi karume yanafunguliwa !!!!nimekuwekea na pic mkuuView attachment 988684
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna hivyo vishapontiwa, wew unachagua hadi aridhike nacho ndio mnaelewana bei. Kwa kweli kale kachimbo napataga moka Kali aisee.Asante sanaa, yaap nataka moka za dizain hiio, kwaio ni vya ku point, jumla/baro hamna? Mm slogan yangu ni "Hasara Roho" yaani nikipenda kitu siangalii gharama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maeneo gani naweza kupata vifaa vya Stationery kwa Bei nafuu.?Kadeti
Dada hiyo ni bei ya Jumla au?Kadeti
Si Mtaalamu wa Mitaa ila hizo decoration nazionaga Mtaa wa mchikichi na sikuu mitaa hiyo kuna decoration nyingi sana za ndani kiujumla.Hili chimbo nimelipenda.....nahitaji maua ya kichina,msaada kwa kariakoo nitayapata wapi.
Dada hiyo ni bei ya Jumla au?
Doh naona bei ya Moto bado.Ndiyo
Doh naona bei ya Moto bado.
Kuna za 13-15 na za 17-20 hizi ni Grade ya Juu.Ya baridi huwa ni shilingi ngap!?
Ya baridi huwa ni shilingi ngap!?
Kuna za 13-15 na za 17-20 hizi ni Grade ya Juu.