Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

D

Danhappy

Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
73
Points
125
D

Danhappy

Member
Joined Oct 9, 2017
73 125
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla? Maana wenyeji wengi hawapendi kutupeleka kwenye machimbo.

Ngoja nikupe machimbo eh best kizuri kula na mwenzio...Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule mnazi mmoja wengi wanaouza k.koo wanaenda kufata huko, Viatu navyo vinapatikana huu mtaa wa Narung'ombe na congo pale nenda straight kwenye maduka ya wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini nop unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile visandles wanauza 2500/pc. Cheni zama mchikichi katikati kuna mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki.Magauni nayo ingia ndanindani kule congo na aggrey wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka kutype ah.
Ngoja niwape chimbo la pochi za bei rahisi zile ronya na za kati 6000,8000,12000 lipo maeneo ya nyamwezi karibu na soko la shimoni kale kamtaa cha kati uje utokee msimbazi kota,karibu wanapouza maturubali, lingine lipo mtaa wa congo na aggrey kwa juu ghorofani kama unataka kutoka congo kituo cha basi pale wanauza high quality PU zao 22k,25k,28k,30 nk ambazo ukikuta kwenye botique ni mwendo wa 50k,70k hadi 100k. Pia tena hiyohiyo congo/mchikichi pale katikati kwa ghorofani wanauza pochi eh bei chee tatizo lenu mnapita juu juu tu ingieni maduka ya ndani na chini yana mambo mazuri Wallet nazo mchikichi zipo za kumwaga za kiume na za kike bei chee hakikisha unaingia ndani kabisa kwenye vichochoro. Haya kwa wale wa mabegi ya kusafiria kuna mchina anazalisha mwenyewe maeneo ya Veta karibu na sofia house kule anakutengeneezea design unayotaka eh,pesa yako tu. Kuna kingine nimesahau? Danhappy
 
kinywanyuku

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Messages
1,548
Points
2,000
kinywanyuku

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2015
1,548 2,000
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Messages
16,470
Points
2,000
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2016
16,470 2,000
kinywanyuku

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Messages
1,548
Points
2,000
kinywanyuku

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2015
1,548 2,000
ashy me

ashy me

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
461
Points
500
ashy me

ashy me

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
461 500
Okoa muda na fedha kwa kununua handbag 'classic' kwa bei nafuu ya kutupa tsh 37 tu ...na 35000 jumla

Nitafute nkuletee had mlangon kwako ......0687882820

img_20190411_102139_904-jpeg.1072808
img-20190130-wa0061-jpeg.1072810
img-20190130-wa0066-jpeg.1072811
img-20190130-wa0022-jpeg.1072812
img-20190130-wa0024-jpeg.1072813
img-20190130-wa0064-jpeg.1072815


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ashy me

ashy me

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
461
Points
500
ashy me

ashy me

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
461 500
Machimbo ya pochi haswa nainai za bei y chini kuanzia 15000?? Msaada na wale wanaouza viatu vya kike (high hills )kwa box
Msaada mitaa gani au anaejua hufanya hii biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninazo za special kama hizo na ndo zna wateja wengi sana now ...ntakuuzia had tsh 28 au tsh 27 kama utahitaj pisi nying ....but wasiliana nami tuongee vizur 0687882820
img_20190411_102139_904-jpeg.1072817
img-20190130-wa0061-jpeg.1072818
img-20190130-wa0066-jpeg.1072819
img-20190130-wa0022-jpeg.1072820
img-20190130-wa0023-jpeg.1072821


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kijazi07

kijazi07

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Messages
375
Points
500
kijazi07

kijazi07

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2016
375 500
Ninauza Kadeti Kwa bei ya Jumla 18,000/=
Kadeti zinazovutika
Ukiitaji Ngumu pia zipo
Duka Langu lipo Mtaa wa Kongo & Aggrey
Watsupp Number 0759 20 20 25
Insta natumia:Elae_clothing_stores
Pia Pensi kali, Mashati, na Tshirts nk ninazo.


Kukiwa na Swali Lolote waweza kunicheki hata DM
Elae
CEO!

Sent using Jamii Forums mobile app
Grade gani kadeti zako maana zip nilizo wahi nunua kwa bei rahis zikawa zaajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ignatus peter

ignatus peter

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Messages
232
Points
500
ignatus peter

ignatus peter

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2012
232 500
Ziko poah mkuu
Ni grade ya pili...Ile ya kwanza kabisa Bei zake kwa reja reja ni elfu 25
 

Forum statistics

Threads 1,325,452
Members 509,127
Posts 32,192,987
Top