Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

D

Danhappy

Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
75
Likes
154
Points
25
D

Danhappy

Member
Joined Oct 9, 2017
75 154 25
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla? Maana wenyeji wengi hawapendi kutupeleka kwenye machimbo.

Ngoja nikupe machimbo eh best kizuri kula na mwenzio...Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule mnazi mmoja wengi wanaouza k.koo wanaenda kufata huko, Viatu navyo vinapatikana huu mtaa wa Narung'ombe na congo pale nenda straight kwenye maduka ya wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini nop unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile visandles wanauza 2500/pc. Cheni zama mchikichi katikati kuna mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki.Magauni nayo ingia ndanindani kule congo na aggrey wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka kutype ah.
Ngoja niwape chimbo la pochi za bei rahisi zile ronya na za kati 6000,8000,12000 lipo maeneo ya nyamwezi karibu na soko la shimoni kale kamtaa cha kati uje utokee msimbazi kota,karibu wanapouza maturubali, lingine lipo mtaa wa congo na aggrey kwa juu ghorofani kama unataka kutoka congo kituo cha basi pale wanauza high quality PU zao 22k,25k,28k,30 nk ambazo ukikuta kwenye botique ni mwendo wa 50k,70k hadi 100k. Pia tena hiyohiyo congo/mchikichi pale katikati kwa ghorofani wanauza pochi eh bei chee tatizo lenu mnapita juu juu tu ingieni maduka ya ndani na chini yana mambo mazuri Wallet nazo mchikichi zipo za kumwaga za kiume na za kike bei chee hakikisha unaingia ndani kabisa kwenye vichochoro. Haya kwa wale wa mabegi ya kusafiria kuna mchina anazalisha mwenyewe maeneo ya Veta karibu na sofia house kule anakutengeneezea design unayotaka eh,pesa yako tu. Kuna kingine nimesahau? Danhappy
 
aimi lyatuu

aimi lyatuu

Senior Member
Joined
Dec 7, 2015
Messages
146
Likes
76
Points
45
aimi lyatuu

aimi lyatuu

Senior Member
Joined Dec 7, 2015
146 76 45
Fanya mpango hili chimbo Upate hata jina la mtaa tu boss.
Mkuu mishe zangu na hii issue imekaa kushoto kiaina ila kuna kamtaa kako karibu na bank ya UBA kkoo(tafuta hata kwa g.map) kisha fanya mazoeya na waskaji walioko nje watakufungukia ila kwa kujiongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtafutaji2016

mtafutaji2016

Senior Member
Joined
Jun 19, 2016
Messages
110
Likes
46
Points
45
mtafutaji2016

mtafutaji2016

Senior Member
Joined Jun 19, 2016
110 46 45
K

Kyindikibisi

Member
Joined
Apr 7, 2018
Messages
41
Likes
21
Points
15
K

Kyindikibisi

Member
Joined Apr 7, 2018
41 21 15
Ngoja nikupe machimbo eh best kizuri kula na mwenzio...Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule mnazi mmoja wengi wanaouza k.koo wanaenda kufata huko, Viatu navyo vinapatikana huu mtaa wa Narung'ombe na congo pale nenda straight kwenye maduka ya wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini nop unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile visandles wanauza 2500/pc. Cheni zama mchikichi katikati kuna mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki.Magauni nayo ingia ndanindani kule congo na aggrey wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka kutype ah.
Samahani naweza kupata chimbo zuri la jeans za kiume
 
Forum statistics

Threads 1,250,502
Members 481,371
Posts 29,735,823