Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo njooni tujuzane machimbo ya bidhaa


D

Danhappy

Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
75
Likes
154
Points
25
D

Danhappy

Member
Joined Oct 9, 2017
75 154 25
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla? Maana wenyeji wengi hawapendi kutupeleka kwenye machimbo.

Ngoja nikupe machimbo eh best kizuri kula na mwenzio...Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule mnazi mmoja wengi wanaouza k.koo wanaenda kufata huko, Viatu navyo vinapatikana huu mtaa wa Narung'ombe na congo pale nenda straight kwenye maduka ya wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini nop unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile visandles wanauza 2500/pc. Cheni zama mchikichi katikati kuna mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki.Magauni nayo ingia ndanindani kule congo na aggrey wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka kutype ah.
Ngoja niwape chimbo la pochi za bei rahisi zile ronya na za kati 6000,8000,12000 lipo maeneo ya nyamwezi karibu na soko la shimoni kale kamtaa cha kati uje utokee msimbazi kota,karibu wanapouza maturubali, lingine lipo mtaa wa congo na aggrey kwa juu ghorofani kama unataka kutoka congo kituo cha basi pale wanauza high quality PU zao 22k,25k,28k,30 nk ambazo ukikuta kwenye botique ni mwendo wa 50k,70k hadi 100k. Pia tena hiyohiyo congo/mchikichi pale katikati kwa ghorofani wanauza pochi eh bei chee tatizo lenu mnapita juu juu tu ingieni maduka ya ndani na chini yana mambo mazuri Wallet nazo mchikichi zipo za kumwaga za kiume na za kike bei chee hakikisha unaingia ndani kabisa kwenye vichochoro. Haya kwa wale wa mabegi ya kusafiria kuna mchina anazalisha mwenyewe maeneo ya Veta karibu na sofia house kule anakutengeneezea design unayotaka eh,pesa yako tu. Kuna kingine nimesahau? Danhappy
 
doama

doama

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
606
Likes
297
Points
80
doama

doama

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
606 297 80
kinywanyuku

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Messages
1,120
Likes
459
Points
180
kinywanyuku

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2015
1,120 459 180
hahhahah sasa wewe mie mkali wa hizi kazi tokea nipo chuo kitamboo nimeivuruga sana hiyo k.koo hahah hadi leo nipo yaani na sibanduki ng'ooo inabidi tuwasaidie wenzetu bana maana haya maisha mtu akikuongezea jero kwenye product ni kubwa sanaaaa.Na hivi vyuma vimekaza acha tu na wenyewe wale.Ila si unajua mjini wasioujua bado wengi utawapata tu maana hawapo humu JF .Ngoja niwape chimbo la pochi za bei rahisi zile ronya na za kati 6000,8000,12000 lipo maeneo ya nyamwezi karibu na soko la shimoni kale kamtaa cha kati uje utokee msimbazi kota,karibu wanapouza maturubali, lingine lipo mtaa wa congo na aggrey kwa juu ghorofani kama unataka kutoka congo kituo cha basi pale wanauza high quality PU zao 22k,25k,28k,30 nk ambazo ukikuta kwenye botique ni mwendo wa 50k,70k hadi 100k. Pia tena hiyohiyo congo/mchikichi pale katikati kwa ghorofani wanauza pochi eh bei chee tatizo lenu mnapita juu juu tu ingieni maduka ya ndani na chini yana mambo mazuri Wallet nazo mchikichi zipo za kumwaga za kiume na za kike bei chee hakikisha unaingia ndani kabisa kwenye vichochoro. Haya kwa wale wa mabegi ya kusafiria kuna mchina anazalisha mwenyewe maeneo ya Veta karibu na sofia house kule anakutengeneezea design unayotaka eh,pesa yako tu. Kuna kingine nimesahau? Danhappy
samahani dada mabegi ya shule biowang yale yanapatikana mitaa gani kwa jumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
makaj

makaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2018
Messages
306
Likes
319
Points
80
makaj

makaj

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2018
306 319 80
Bussines as usual, wazee kuna maswali ya baadh ya bidhaa hayajajibiwa na ninataman sana maana nina uhtaj


1. Viatu vya mtumba vya ofsini(moka) grade A

2. Mashati Mapya kbsa ya ofisini na suruali za vitambaa vyote viwe classic

3.Yale makaratasi ya wallpapers za ukutani(mimi hapa nataka ya kupambia/kuvutia biashara za hotel/cafe n.k, yanakua yanapicha za kuvutia za matunda mbali mbali, juices, vitafunwa mfn sandwich, keki na sambusa pia chakulaa) yanakua ya kung'aa ng'aa hv, jitahd unielewe.
Mkuu Kama hujajibiwa 1&2....basi fika karume, kuna sehem Zinauzwa moja mpya kabisa za mitumba japo bei zao balaah mpaka 60k, pia mashati mapya jumamosi karume yanafunguliwa !!!!nimekuwekea Na pic mkuu
img_20190107_173803_241-jpg.988684


Sent using Jamii Forums mobile app
 
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Messages
3,065
Likes
5,708
Points
280
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2014
3,065 5,708 280
Mkuu Kama hujajibiwa 1&2....basi fika karume, kuna sehem Zinauzwa moja mpya kabisa za mitumba japo bei zao balaah mpaka 60k, pia mashati mapya jumamosi karume yanafunguliwa !!!!nimekuwekea Na pic mkuu View attachment 988684

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaa, yaap nataka moka za dizain hiio, kwaio ni vya ku point, jumla/baro hamna? Mm slogan yangu ni "Hasara Roho" yaani nikipenda kitu siangalii gharama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
makaj

makaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2018
Messages
306
Likes
319
Points
80
makaj

makaj

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2018
306 319 80
Asante sanaa, yaap nataka moka za dizain hiio, kwaio ni vya ku point, jumla/baro hamna? Mm slogan yangu ni "Hasara Roho" yaani nikipenda kitu siangalii gharama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna hivyo vishapontiwa , wew unachagua hadi aridhike nacho ndio mnaelewana bei.....Kwa kweli kale kachimbo napataga moka Kali aisee.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Turnoff

Turnoff

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2016
Messages
512
Likes
512
Points
180
Turnoff

Turnoff

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2016
512 512 180
Hili chimbo nimelipenda.....nahitaji maua ya kichina,msaada kwa kariakoo nitayapata wapi.
 
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
598
Likes
313
Points
80
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
598 313 80
Hili chimbo nimelipenda.....nahitaji maua ya kichina,msaada kwa kariakoo nitayapata wapi.
Si Mtaalamu wa Mitaa ila hizo decoration nazionaga Mtaa wa mchikichi na sikuu mitaa hiyo kuna decoration nyingi sana za ndani kiujumla.
 

Forum statistics

Threads 1,250,497
Members 481,367
Posts 29,735,645