NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,180
- 12,651
Hata Mimi Nina mtaji huo huo wa M 1 hata biashara sijui nichukue mzigo gan mi nipo mwanzaUnatosha sana inategemea unataka kununua nini.
Hata Mimi Nina mtaji huo huo wa M 1 hata biashara sijui nichukue mzigo gan mi nipo mwanzaUnatosha sana inategemea unataka kununua nini.
Naomba, nielekeze chimbo la nguo za ndaniKama za bidhaa gani mkuu? Mim nimejua zinazohusu viatu nguo za ndani na vitenge.
Nje ya madaNomba kufahamu chimbo wanapouza
Makounter book ya shule na madaftar+ruler,pen na penseli
Pamoja na yale mashat ya tomato na haya ya kushona chap chap kwa mafundi
Mitaa ya msimbazi pale, karibu na stand ya dala dala za Tegeta NyukiNomba kufahamu chimbo wanapouza
Makounter book ya shule na madaftar+ruler,pen na penseli
Pamoja na yale mashat ya tomato na haya ya kushona chap chap kwa mafundi
Nomba kufahamu chimbo wanapouza
Makounter book ya shule na madaftar+ruler,pen na penseli
Pamoja na yale mashat ya tomato na haya ya kushona chap chap kwa mafundi
Naomba kufahamishwa bei ya gunia la viazi mviringo,,, Kwa iringa na Chimbo lake Kwa iringa ni maeneo gan
Viatu vya kike au kiume?wiki iliyopita niliamua kwenda mwenyewe kaliakoo nikitokea singida, nilienda kwa influence ya uzi huu, nashukuru Mungu nilipata chimbo za kutosha, ukipata nafasi nenda tu kajarbu usiogope, nilienda kuchukua viatu.
order kutoka china boss utaenjoy maishaNatafuta chimbo la saa ambazo hazipauki
Natafuta chimbo la smart watches,earbuds, wireless charger
Mawasiliano 0693034903
Mwenyeji ,mwenyekujua ,muuzaji, muwazi anaejua Chimbo la water pump za umwagiliaji kama hizi View attachment 2081837
Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
Namba boss ,nataka kufanya droppshipping ya hizo bidhaa zako kupitia website yanguKwa habari ya flash na memory cards OG na copy nichek Mkuu, hapo Likoma Sina mpinzani kuanzia wachina mpaka Waswahili
Flash imation na SanDisk -4gb5000
8gb6000
16gb6500
32gb7500 bei za jumla kuanzia 10pcs kila size
Memory cards SanDisk na Microdigit 2gb 4000
4gb4500
8gb6000
16gb6500
32gb7500
Hiyo ni jumla kuanzia 10pcs kila size
Memory cards copy zenye cover ni 2100,zisizo na packing 1800 ,hiyo ni kuanzia 100pcs
Kama umepata number yke naomba n mimNamba boss ,nataka kufanya droppshipping ya hizo bidhaa zako kupitia website yangu
Sawa, subiri tuoneKama umepata number yke naomba n mim
Mkuu nipe namba yako DM tufanye kazi nayajua machimboNahitaji kujua machimbo ya spare za pikipiki za GN (MCHINA) na BM & TVS