Jaman msaada wanakouza vifaa vya sm like chaji, betri, cover, memory na flash, headset kwa bei poa kkoo n sehem gan
Kwa habari ya flash na memory cards OG na copy nichek Mkuu, hapo Likoma Sina mpinzani kuanzia wachina mpaka Waswahili
Flash imation na SanDisk -4gb5000
8gb6000
16gb6500
32gb7500 bei za jumla kuanzia 10pcs kila size

Memory cards SanDisk na Microdigit 2gb 4000
4gb4500
8gb6000
16gb6500
32gb7500
Hiyo ni jumla kuanzia 10pcs kila size
Memory cards copy zenye cover ni 2100,zisizo na packing 1800 ,hiyo ni kuanzia 100pcs
 
Wapenzi wa Original Caps piah tuchekini humu.
Bei ya Jumla 7500
IMG_20210926_193213_161.jpg
 
Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Vipodozi jee
 
Naomba kujua chimbo la zile simple za kike kama wanazopanga machinga jioni pale mwenge bei zao huwa wanauza elfu tano tano so natakujua huwa wanavitoa wapi vile viatu vya kike. Shukran
 
Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!

Naomba mawasiliano yako tafadhali naona pm umefunga
 
wiki iliyopita niliamua kwenda mwenyewe kaliakoo nikitokea singida, nilienda kwa influence ya uzi huu, nashukuru Mungu nilipata chimbo za kutosha, ukipata nafasi nenda tu kajarbu usiogope, nilienda kuchukua viatu.
 
Back
Top Bottom